Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,301
- 27,066
Yule miaka 20. Umri wa mtu mzima kaoa/kaolewa na ana mtoto.NImemuuguza baba yangu miaka 6, hakufikia hali kama ya huyo jamaa ya kushindwa kuongea lakini ameumwa. Na hata siku moja hatukutamani aondoke, tulikuwa na matumaini atapona.