Acha kujidanganya pesa sio kila kitu

Acha kujidanganya pesa sio kila kitu

Umeongea vizuri sana.
Pesa ni muhimu sana kuwa nazo lakini haziwezi kuepusha na baadhi ya changamoto hivyo tusipende kusema pesa ni Kila kitu bali tuseme pesa zinasaidia sana.
90% zinasolvika kwa pesa then kama 10% tu inabaki, maskini fikiria tunakufa kwa cholera, tajiri atakufa kwa magonjwa ya kushiba na ajali kama hizo za kukimbiza Benz sisi tunakufa kwa magonjwa ya kula majitaka pale kwa mnyamani tunapotafuta ugali wa 500! Tofautisha
 
Umeongea vizuri sana.
Pesa ni muhimu sana kuwa nazo lakini haziwezi kuepusha na baadhi ya changamoto hivyo tusipende kusema pesa ni Kila kitu bali tuseme pesa zinasaidia sana.
Ndugu yangu maskini anaamini akipata pesa matatizo yake yoote yataisha.

Hizo ndio hisia za maskini. Ukisikia mtu anakwambia Pesa ni lila kitu moja kwa moja fahaku huyo ni maskini na hayo ndio yaliyojaa kwenye fikra zake.

Pesa hazikumsaidi Mo Dewji asitekwe siku 9 bila kujulikana alipo. Ni rehema tu ya Mungu na wasamalia wema waliomteka waliamua kumrejesha.

Pesa hazikuzuia Dr John Magufuli asiugue na hatimaye Mungu akamchukua.

Pesa hazikuzui Rugemalila asifungwe jela. Pesa hazikumponya Lowasa kwa miaka mingi licha ya kuwa Bilionea.

Pesa itakuondoshea njaa tu ya chakula, mavazi, nyuma, elimu ya wanao, gari na starehe za hapa na pale utafanya.
 
View attachment 3318502
Huyu hapa Prince Al-Waleed bin Khaled bin Talal, ambaye anafahamika ulimwenguni kwa jina maarufu la “Sleeping Prince” April 18 mwaka huu, alitimiza umri wa miaka 36, ambapo umri huo umemkuta akiwa bado kitandani ‘coma’ bila fahamu zozote.

Mwanamfalme huyo wa Saudi amekuwa kwenye hali hiyo ya kupoteza fahamu ‘coma’ tangu mwaka 2005 kufuatia ajali mbaya ya gari ambayo aliipata Jijini London, Uingereza. Kwa miaka 20 sasa, Maisha ya Prince yanategemea mashine ya kupumulia, hata kula yake ni kupitia mipira.
Pesa uzuri wake unatandaza miti at will. Nopussy can cross your path untouched.

Mudi Haoni ndani Kwa Imam Hussain

Makkah NI cha Mtoto Kwa Karbala na Najaf.

Mambo na Shia Islam maamae

Qauli thabeet za kutosha.

njumu za kosovo

Nyau de adriz
 
90% zijasolve kwa pesa then kama 10% tu inabaki, maskini fikiria tunakufa kwa cholera, tajiri atakufa kwa magonjwa ya kushiba na ajali kama hizo za kukimbiza Benz sisi tunakufa kwa magonjwa ya kula majitaka pale kwa mnyamani tunapotafuta ugali wa 500! Tofautisha
Yeah, kwa kiasi kikubwa pesa zina solve matatizo ila wakati mwingine kuwa mzima wa afya ni jambo jema zaidi. Kuna jamaa fulani ana pesa nyingi lakini hana miguu hadi akawa anasema bora nisiwe na pesa nyingi kama hizi lakini niwe na viungo vyangu vya mwili.
 
Ndugu yangu maskini anaamini akipata pesa matatizo yake yoote yataisha.

Hizo ndio hisia za maskini. Ukisikia mtu anakwambia Pesa ni lila kitu moja kwa moja fahaku huyo ni maskini na hayo ndio yaliyojaa kwenye fikra zake.

Pesa hazikumsaidi Mo Dewji asitekwe siku 9 bila kujulikana alipo. Ni rehema tu ya Mungu na wasamalia wema waliomteka waliamua kumrejesha.

Pesa hazikuzuia Dr John Magufuli asiugue na hatimaye Mungu akamchukua.

Pesa hazikuzui Rugemalila asifungwe jela. Pesa hazikumponya Lowasa kwa miaka mingi licha ya kuwa Bilionea.

Pesa itakuondoshea njaa tu ya chakula, mavazi, nyuma, elimu ya wanao, gari na starehe za hapa na pale utafanya.

Hapana anayeamini hivyo mkuu hata maskini anajua atatua mengi ila hatayamaliza ila umaskini mbaya sana, hata sisiemu inautumia kutunyima haki zetu kwa sababu tu anajua atakupa tshit, chumvi na scarf then utamkubali!
 
Pesa haikufanyi uishi kisa upo kwenye coma
Ulaya unaweza kukaa miaka coma bila kulipa hata senti na huku unahudumiwa kwa hela za walipa kodi

Kuna watu wapo coma miaka na miaka mpaka ndugu au Dr's wanaamua kuzima mashine

Kuna watu wamekaa Coma miaka na baadae wakazinduka
Wapo waliozinduka kwa mziki waliokuwa wanaupenda FACT

Yupo huyu na wengine waliokaa mda mrefu ila mziki ukawazindua
Screenshot_20250428_100057_Chrome~2.png
 
Ndugu yangu maskini anaamini akipata pesa matatizo yake yoote yataisha.

Hizo ndio hisia za maskini. Ukisikia mtu anakwambia Pesa ni lila kitu moja kwa moja fahaku huyo ni maskini na hayo ndio yaliyojaa kwenye fikra zake.

Pesa hazikumsaidi Mo Dewji asitekwe siku 9 bila kujulikana alipo. Ni rehema tu ya Mungu na wasamalia wema waliomteka waliamua kumrejesha.

Pesa hazikuzuia Dr John Magufuli asiugue na hatimaye Mungu akamchukua.

Pesa hazikuzui Rugemalila asifungwe jela. Pesa hazikumponya Lowasa kwa miaka mingi licha ya kuwa Bilionea.

Pesa itakuondoshea njaa tu ya chakula, mavazi, nyuma, elimu ya wanao, gari na starehe za hapa na pale utafanya.
Mkuu Sina cha kuongeza maana umemaliza Kila kitu. Kuna watu wana pesa lakini hawana uwezo wa kupata watoto, wengine wana pesa ila hawana viungo vya miili yao.
 
kawiyo ukiwa lofa hizo changamoto hazikupati?
Zinaweza zikupate pia, ndo maana pesa sio kila kitu.
Pili msemo huu unaweza kukufanya ujitukuze na kujiona waweza kufanya jambo lolote Duniani na ukaindoa Sehemu ya Muumba wako.

Fedha sio kila kitu ndo maana huwezi kununua msamaha wa dhambi zako😃😃.
Matajiri wa uhakika ndio wanajua kuwa fedha sio kila kitu ndo maana wanastress saaana.
Wapo matajiri walikufa kwa COVID 19
wapo walikufa kwa canser kama CEO wa apple mwaka 2011.
Michael Jackson alikufa kifo cha aibu na bado pesa yake ipo
Mwaka jana matajiri wawili walikufa na chombo cha OCEAN GATE chini ya bahari walipokuwa wanaenda kutazamba Titanic.

Mungu ndo kila kitu pesa ni matokeo tu ya utafutaji katika maisha
Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom