FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,525
- 46,612
Najiuliza. Wanaweza kufyonza mbegu zake na kupandikiza kwenye yai ili apate watoto?Wanamtesa tu Yote ya nin hayo anaweza kuamka na akafarik mda huo huo
Najiuliza. Wanaweza kufyonza mbegu zake na kupandikiza kwenye yai ili apate watoto?Wanamtesa tu Yote ya nin hayo anaweza kuamka na akafarik mda huo huo
Kwa nini pesa hazikumuepusha na ajali?Pesa ndio imefanya mpaka leo yupo, bila pesa angeshakufa kitambo sana, unajua cost za kumtunza mtu kwenye coma?
Pesa inakupa options, bila ganda angepelekwa muhimbili.Pesa sio kila kitu ni msemo wa kujifariji.
Bila pesa angeshakufa miaka mingi iliyopita ila pesa imefanya wapendwa wao kumuona hadi leo hata kama haongei.
Zina weza kufanya kazi wakifanya Ivo??Najiuliza. Wanaweza kufyonza mbegu zake na kupandikiza kwenye yai ili apate watoto
Mtoe hapo kwenye hizo mashine uone kama neema ya Mungu itamuacha hai.Kilichomfanya awe hai wala sio pesa ni Neema ya Mungu tu,
Kumbuka alipata ajali na hakufa je pesa inaweza kumuokoa mtu na kifo cha ajali?
Wapo matajiri weeengi wameshindwa kujiokoa na kifo kwa pesa.
Pesa sio kila kitu ndo maana hata bill gate aliachana na mke wake pia jeff bezo aliachana na mkewe pesa hazikuwasaidia kwenye hilo na wanamiliki zaidi ya dollor billion 100.
Pesa inatoa tu utatuzi kwa mambo yanayoshikika( tangable things) lakini haifanyi lolote kwa mambo ambayo hayashikiki
Mfano unaweza nunua mwanamke na kufanya nae mapenzi lakini huwezi kumnunua mwanamke ali akupende utafeli
Asante nawasilisha
Kwani akifa Kuna hasara gani na kuwa hai Kuna faida gani.Sasa wezangu namimi tusiokua napesa hata miaka 20 huwezi kutoboa
kawiyo ukiwa lofa hizo changamoto hazikupati?Kilichomfanya awe hai wala sio pesa ni Neema ya Mungu tu,
Kumbuka alipata ajali na hakufa je pesa inaweza kumuokoa mtu na kifo cha ajali?
Wapo matajiri weeengi wameshindwa kujiokoa na kifo kwa pesa.
Pesa sio kila kitu ndo maana hata bill gate aliachana na mke wake pia jeff bezo aliachana na mkewe pesa hazikuwasaidia kwenye hilo na wanamiliki zaidi ya dollor billion 100.
Pesa inatoa tu utatuzi kwa mambo yanayoshikika( tangable things) lakini haifanyi lolote kwa mambo ambayo hayashikiki
Mfano unaweza nunua mwanamke na kufanya nae mapenzi lakini huwezi kumnunua mwanamke ali akupende utafeli
Asante nawasilisha
So controversial brother/sister, haya ni maswali ya kati ya kuku na yai kilianza nini! Hutapata jibu la moja kwa moja. Lakini ukiwa na pesa umesolve zaidi ya 90% ya changamoto za maisha then inabaki 10% ambayo ni kama hizi halafu umesema mwenyewe ni ajali! Kuna ajali inazuilika? Unaweza pata ajali ukiwa umelala kitandani, lakini ajali zinawapata zaidi wasio na pesa kuliko wenye fweza!Kwa nini pesa hazikumuepusha na ajali?
Hawamtesi sababu hajitambui. Technically huyo mtu anaishi kwa raha kuliko 80% ya Watanzania.Wanamtesa tu Yote ya nin hayo anaweza kuamka na akafarik mda huo huo
KarmaView attachment 3318502
Huyu hapa Prince Al-Waleed bin Khaled bin Talal, ambaye anafahamika ulimwenguni kwa jina maarufu la “Sleeping Prince” April 18 mwaka huu, alitimiza umri wa miaka 36, ambapo umri huo umemkuta akiwa bado kitandani ‘coma’ bila fahamu zozote.
Mwanamfalme huyo wa Saudi amekuwa kwenye hali hiyo ya kupoteza fahamu ‘coma’ tangu mwaka 2005 kufuatia ajali mbaya ya gari ambayo aliipata Jijini London, Uingereza. Kwa miaka 20 sasa, Maisha ya Prince yanategemea mashine ya kupumulia, hata kula yake ni kupitia mipira.
😀😀😀Hawamtesi sababu hajitambui. Technically huyo mtu anaishi kwa raha kuliko 80% ya Watanzania.
Pesa ina thamani hakuna anayekataa Shida ni Nyie maskini mnadhani kwmaba mkipata pesa matatizo yote yataisha. Hizo ndio hisia za kimaskini.Watu maskini tunapenda sana kujustify umaskini wetu kwa kuonyesha mali sio kitu wakati mioyoni kwetu tunamwaga machozi tupate uwezo hata kijipasenti kadhaa
Umeongea vizuri sana.So controversial brother/sister, haya ni maswali ya kati ya kuku na yai kilianza nini! Hutapata jibu la moja kwa moja. Lakini ukiwa na pesa umesolve zaidi ya 90% ya changamoto za maisha then inabaki 10% ambayo ni kama hizi halafu umesema mwenyewe ni ajali! Kuna ajali inazuilika? Unaweza pata ajali ukiwa umelala kitandani, lakini ajili zinawapata zaidi wasio na pesa kuliko wenye fweza!