Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,535
- 139,844
Kilichomfanya awe hai wala sio pesa ni Neema ya Mungu tu,Pesa sio kila kitu ni msemo wa kujifariji.
Bila pesa angeshakufa miaka mingi iliyopita ila pesa imefanya wapendwa wao kumuona hadi leo hata kama haongei.
Kweli mkuu,Kuna siku tuko na Boss wangu, yeye alikuwa mtu wa kujisikia sana na kujiona MSOMI sana na kudharau watu!Siku Moja tumeeenda Singida njia ya Kwamtoro,Ambaye kapita njia hiyo ,anapajua ni mapori kwa kweli.View attachment 3318502
Huyu hapa Prince Al-Waleed bin Khaled bin Talal, ambaye anafahamika ulimwenguni kwa jina maarufu la “Sleeping Prince” April 18 mwaka huu, alitimiza umri wa miaka 36, ambapo umri huo umemkuta akiwa bado kitandani ‘coma’ bila fahamu zozote.
Mwanamfalme huyo wa Saudi amekuwa kwenye hali hiyo ya kupoteza fahamu ‘coma’ tangu mwaka 2005 kufuatia ajali mbaya ya gari ambayo aliipata Jijini London, Uingereza. Kwa miaka 20 sasa, Maisha ya Prince yanategemea mashine ya kupumulia, hata kula yake ni kupitia mipira.
Ndio maana naipenda JF!Kilichomfanya awe hai wala sio pesa ni Neema ya Mungu tu,
Kumbuka alipata ajali na hakufa je pesa inaweza kumuokoa mtu na kifo cha ajali?
Wapo matajiri weeengi wameshindwa kujiokoa na kifo kwa pesa.
Pesa sio kila kitu ndo maana hata bill gate aliachana na mke wake pia jeff bezo aliachana na mkewe pesa hazikuwasaidia kwenye hilo na wanamiliki zaidi ya dollor billion 100.
Pesa inatoa tu utatuzi kwa mambo yanayoshikika( tangable things) lakini haifanyi lolote kwa mambo ambayo hayashikiki
Mfano unaweza nunua mwanamke na kufanya nae mapenzi lakini huwezi kumnunua mwanamke ali akupende utafeli
Asante nawasilisha
View attachment 3318502
Huyu hapa Prince Al-Waleed bin Khaled bin Talal, ambaye anafahamika ulimwenguni kwa jina maarufu la “Sleeping Prince” April 18 mwaka huu, alitimiza umri wa miaka 36, ambapo umri huo umemkuta akiwa bado kitandani ‘coma’ bila fahamu zozote.
Mwanamfalme huyo wa Saudi amekuwa kwenye hali hiyo ya kupoteza fahamu ‘coma’ tangu mwaka 2005 kufuatia ajali mbaya ya gari ambayo aliipata Jijini London, Uingereza. Kwa miaka 20 sasa, Maisha ya Prince yanategemea mashine ya kupumulia, hata kula yake ni kupitia mipira.
Huyu jamaa alipata brain haemorrhage baada ya ajali, akaingia kwenye comma.Kilichomfanya awe hai wala sio pesa ni Neema ya Mungu tu,
Kumbuka alipata ajali na hakufa je pesa inaweza kumuokoa mtu na kifo cha ajali?
Wapo matajiri weeengi wameshindwa kujiokoa na kifo kwa pesa.
Pesa sio kila kitu ndo maana hata bill gate aliachana na mke wake pia jeff bezo aliachana na mkewe pesa hazikuwasaidia kwenye hilo na wanamiliki zaidi ya dollor billion 100.
Pesa inatoa tu utatuzi kwa mambo yanayoshikika( tangable things) lakini haifanyi lolote kwa mambo ambayo hayashikiki
Mfano unaweza nunua mwanamke na kufanya nae mapenzi lakini huwezi kumnunua mwanamke ali akupende utafeli
Asante nawasilisha
Ana maanisha haiwezi kukuokoa vile utakavyo!Pesa ndio imefanya mpaka leo yupo, bila pesa angeshakufa kitambo sana, unajua cost za kumtunza mtu kwenye coma?
Na hapo unaumwa kisukari tu 😂😂😂Sasa wezangu namimi tusiokua napesa hata miaka 20 huwezi kutoboa
VEry true haya maisha bila ya pesa utaishia kudhalilika tu hadi mke wako utagongewa, pesa ndio heshima ya binaadamu, angalia leo musk amekuwa kama waziri mkuu wa marekani kisa pesa tuPesa sio kila kitu ni msemo wa kujifariji.
Bila pesa angeshakufa miaka mingi iliyopita ila pesa imefanya wapendwa wao kumuona hadi leo hata kama haongei.
Kama Hautonipenda Mimi utapenda pesa zangu, Tupambane Tupate pesa, kwa Upande huuu wa wanawake Bora usingesema wanapenda sana Pesa dada Zetu.Kilichomfanya awe hai wala sio pesa ni Neema ya Mungu tu,