Acha kabisa! Pilau kitu ingine ati

Acha kabisa! Pilau kitu ingine ati

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421673345484.jpg
 
hahahaaaaaa tuoneane huruma mshana hizi mbazu hazina spea
 
Last edited by a moderator:
Na mwenye miguvu ya kushusha hayo mawe na mwenye funguo ni Baba Baunsa mwenyewe! Huna jinsi inabidi umsubiri arudi ili sherehe ianze....akirudi amependeza na kama funguo kasahau nyumbandogo ndio basi tena....vitu vinachacha! LoH..

Labda panyaroad wasiwepo
 
Chakula cha mikwara namna hii hata hamu huisha kabisa
 
Nahisi hii ni kabla wazungu hawajangudua PRESSURE COOKER!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom