Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

Ku deal na chama chenye kibali xha Mungu ni kujisumbua.
 
Utachangishwaje pesa na watu ambao serikali (msajili) haiwatambui? Chadema iache ukaidi. Wanashindwaje kuitisha kikao cha dharura cha baraza kuu lao ili kumaliza uhalali wa wajumbe wa secretariat yao ? Ona sasa hata viwanja vya kufanyia mikutano ya hadhara wananyimwa.
 
Mkuu unaweza ukawa hujakosea! Haihitaji elimu ya darasani kujua hilo, upepo unavyoelekea Serikali inataka kukifuta kabisa.
Kama wana masikio na macho waanze kulifanyia kazi hilo.
 
Hizi roho za kihutu kabisa sasa! Zililetwa na Bwana yule na sasa liroho lishakomaa kabisa hamna wa kuzima mabadiliko kwa sasa wajue tu
Inasikitisha sana
 
Be
Be blessed Britanicca Mungu akutunze sana
 
Hivi ni kwa nini wanaichukia sana hiyo Chadema? Muulize huyu mnyetishaji wako tafadhari.
Matendo yao dhidi ya wanyonge ni machukizo mbele ya Muumba wao- hivi wanajua au wanapotezea?
Mwanamke aliye kwenye ndoa kama ni mchafu na hajui kupika lazima achukie na aogope mchepuko wa mumewe
 
Kwa trend iliyopo hilo lina uwezekano mkubwa wa kuwa kweli ila wakifanya hivyo wataifanya CDM iwe na nguvu zaidi.
 
AKILI YAKO NIKAMA YA MBUZI WA SUDANI
CAG HUYO HUYO ALIOTAKA KUFICHUA UFISADI WA SEREKALI HII, AKALETEWA MALALAMIKO NA KUAMBIWA AJIELEZE NA WABUNGE BADALA WAJADILI HUO UFISADI CAG ANAAMBIWA AJIELEZE....HII LEO MTU AMBAE NI MBUMBUU ANASEMA CAG ACHUNGUZE ELA YA CDM UNAJUA KAZI YA CAG?
 
BINAFSI SIJAWAHI KUONA CHAWA WA CCM MKE WAKE HAJAMSALITI AU MCHUMBA WAKE BILA WAO KUFAHAMU..,HUO NDIO UKWELI MWINGINE AKIPENDA AFWATILIE
 
Mtahangaika sana na kwa vile Mungu kaiacha ccm ife, tutashuhudia mengi.
Ccm ilipoanza tu kuteka na kuua watu, Mungu akaachana nayo.
 
Kama wanaweweseka kwa michango ya tonetone tu kiasi cha kuhoji inatumikaje, basi hawa wahuni wako kwenye confusion na desperation mbaya kabisa...

Unahoji pesa ya chama kama CHADEMA zinatumikaje wakati wanaona chama kipo barabarani kila siku kujijenga na kujiimarisha..?

After all, mbona huwatumia watu kama kina Yericko Nyerere kubeza wakisema kuwa "ooh tuone tonetone kama itaendesha chama" cha ajabu leo kumbe wameona tonetone inalipa na sasa wanafikiria kutafuta mbinu ya kuidhoofisha...

Hawawezi kufunga akaunti wala kuzuia michango ya wananchi...!!
 
Wanahangaika tu hao, muda umeishafika na miti yote inateleza nyani hana pa kushika akashikamana tena. Mkoloni mweupe aiyewarithisha utamu hawa wakoloni weusi nae alijaribu kumzuia Julius Nyerere asiweze kukanyaga ofisi za Umoja wa mataifa.. Washington DC!.
Wananchi walichangishana Nashauri CHADEMA waendelee na hii kampeni ya NRNE bila ukomo. Habari ya uchaguzi wawaachie CCM na vyama vya mfukoni wakati huu na ujao wautumie kujijenga kichama kwa kuandikisha wanachama wapya, kufungua matawi mengi iwezekanavyo katika kila mkoa nchi nzima na waweke kiongozi makini huku mitaani wakati ngazi za juu wakishinikiza Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi.
Agenda ya Ardhi na Rasilimali za taifa kumilikiwa na wananchi badala ya Serikali iwe wimbo kwenye kila jukwaa lakini pia suala la kuelezea kwa kina umuhimu wa kuwa na Serikali ya Tanganyika yenye makao yake makuu Dodoma izungumzwe sasa kwenye majukwaa kwa nguvu kubwa.
 
Na hapo ndipo watazidisha huruma ya wananchi....wao wafanye vyote watakavyo...ni faida.
Watu watawawekea Magari ya mafuta kwenye station nyakati ya kuendelea na operation.
Watu watawapa ofa ya kula na kulala bure kwenye hotel zao pamoja na Bahasa zenye pesa asubuhi kama posho.
Watu watawaruhusu kudurufu bure stationary kwenye ofisi zao.

Kumzuia binadamu asifanye anachokipenda ni sawa na kuzuia kijambo kisitoke tumboni.
 
Mtahangaika sana na kwa vile Mungu kaiacha ccm ife, tutashuhudia mengi.
Ccm ilipoanza tu kuteka na kuua watu, Mungu akaachana nayo.
Hakuna huruma ya wananchi mtakayopata mkivunja sheria ni lazima mshughulikiwe
 
Hili wala halihitaji utabiri au nini.
Samia alivyo 'desperate' sasa, hii ni hatua iliyo wazi kuitumia.

Kama anadiriki kuteka watu na kuwaua watu ili awatie woga waTanzania, hili la kufungia akaunti na kuzuia michango lipo wazi sana.
Nashangaa kachelewa kulifanya kiasi hiki.
Na kadri siku zinaendelea kusonga, bado kuna mengi atakayofanya kuwabana CHADEMA wasiweze kuwafikia wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…