Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,599
- 97,118
Dah tokea happ nimekua mkorofi x100.Kama ulikosea ukaomba radhi akagoma, ni sahihi kubeba Hiyo adhabu kama alionao ni sahihi kwako..
Mi nipo hivyo, ila nae ajiandae akija kuingia box, ntachomfanyia atasimulia hadi vinying'inya