According to your Ex, what was your main problem?

According to your Ex, what was your main problem?

Na niliondoka bila kuumia moyoni, bila lawama wala kilio kjwa nimeachwa.

Niliondoka na furaha na amani ya kuachwa kistaarabu...🤣🤣🤣🤣

Nikalipiwa na trip ya Zanzibar siku 2 hotelini niko mwenyewe....😁😁😁

Nimsahau kwa starehe sio kwa huzuni...😆😆😆.

Maisha bana, yana vitimbwi na visa kedekede 😅😅.
Wastaarabu Kama hao Mungu awatunze,,sio mbuzi nyingine ikikuacha mpaka ikupe maneno ya kashfa na na karaha.
 
mm ckuachwa,,niliacha. alikuwa anang'ata mno sembe msukuma yule, hajui bajeti, nikaona tusije kuolewa wote mjini apa
 
Good morning watu wa Mungu.

Basi wakati tukiendelea kuisubiri ndege yetu mpya ya mizigo kutua.nimeona niwaulize haka kaswali.

Juzi kati hapa nimekutana na ex girl wangu,sasa katika story za hapa na pale tukajikuta tunaanza kuulizana viswali vya kichokozi, nilimuuliza tatizo langu kubwa lilikua nini katika yale mahusiano yetu? akanijibu eti aliona kuna jam kubwa sana ya wanawake wanaonitaka hivyo akaona isiwe kesi ngoja awaachie na wengine wafaidi.

So ebu kila mmoja wetu aweke wazi hapa tatizo lake kubwa ambalo ex wake anasema alikua nalo.
Nilimuacha yule msafwa alikuwa hanogi jmn yaan alipoaa km uji wa magimbiiii
 
Ujakutana na vichwa panzi wewe...
Mbona ungekaa alaaah😂😂😂
Mkuu kichwa yangu mbovu aisee.. By nature ni mpole ila mtu akishaleta masuala ya kiduanzi aisee...

Kuna demu nilikuwa namfukuzia, nikafika hatua nzuri kabisa. Alikuwa amezoea kuniita chaupole sababu naonekana mpole. Sasa alikuja kujichanganya kutaka kubaki na Hela zangu wakati nimemuagiza dukani.. ananichekea muda huo nipo serious ananletea utani. Nilichomfanyia hakuwahi kutegemea ningefanya kwa nilivyokuwa namkubali. Since then hata salam hakuna na sihitaji tena
 
😬 😬 🤣 🤣 🤣 🤣
 
anatakiwa afanye umafia aiguse kabla,, inamtosha ama niaje
Kuigusa ndio nini mkuu, na mimi ntaigusaje? Mwanaume ukimgusa mboo anajua unaitaka sababu hakuna mtu anaigusaga mboo yake zaidi yake ye mwenyewe na mwanamke anaemtombaga... Huo ndio ukweli
 
Oyaaaa.. Nilipigwa na demu flani aisee Wakurya ata kama kazaliwa Dar Ni wababe.
Kama ulikosea ukaomba radhi akagoma, ni sahihi kubeba Hiyo adhabu kama alionao ni sahihi kwako..

Mi nipo hivyo, ila nae ajiandae akija kuingia box, ntachomfanyia atasimulia hadi vinying'inya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom