Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,341
There was no problem...nilikuta tu kanisave "ghafla bin vuu" nikamuuliza kwanini umenisave hivi akasema nawahi kumwaga ...so sad..nkamove on
![]()

Sent using Jamii Forums mobile app
There was no problem...nilikuta tu kanisave "ghafla bin vuu" nikamuuliza kwanini umenisave hivi akasema nawahi kumwaga ...so sad..nkamove on
![]()

Umenichekesha sana Mkuu1. Lack of Capital
2. Forced labor
3. Poor communication
4. Poor infrastructure
5. Unrealiable
6. Lack of transport
7. High Taxes imposition
Hahahaha zina ukweli??Umenichekesha sana Mkuu
Atleast he is honest,
That's called 'it's not you, it's me' trick.
In other words your were dumped with grace🤣
Hii ni kauli ya kistaarabu ya kuacha mtu bila kumuumiza.
Poor government support1. Lack of Capital
2. Forced labor
3. Poor communication
4. Poor infrastructure
5. Unrealiable
6. Lack of transport
7. High Taxes imposition

Huyo alikua na upendo kweli kutoka moyoniNa niliondoka bila kuumia moyoni, bila lawama wala kilio kjwa nimeachwa.
Niliondoka na furaha na amani ya kuachwa kistaarabu...
Nikalipiwa na trip ya Zanzibar siku 2 hotelini niko mwenyewe....
Nimsahau kwa starehe sio kwa huzuni....
Maisha bana, yana vitimbwi na visa kedekede.

Huyo alikua na upendo kweli kutoka moyoni![]()
Duhh.. sikumbukiGood morning watu wa Mungu.
Basi wakati tukiendelea kuisubiri ndege yetu mpya ya mizigo kutua.nimeona niwaulize haka kaswali.
Juzi kati hapa nimekutana na ex girl wangu,sasa katika story za hapa na pale tukajikuta tunaanza kuulizana viswali vya kichokozi, nilimuuliza tatizo langu kubwa lilikua nini katika yale mahusiano yetu? akanijibu eti aliona kuna jam kubwa sana ya wanawake wanaonitaka hivyo akaona isiwe kesi ngoja awaachie na wengine wafaidi.
So ebu kila mmoja wetu aweke wazi hapa tatizo lake kubwa ambalo ex wake anasema alikua nalo.
Poor leadershipPoor government support![]()
Kuwa serious basi. Wenzako wanashare experience za ukweli ili kujifunza wewe unahangaika na vituko ili uonekane comedian. Sio sawa bwana.1. Lack of Capital
2. Forced labor
3. Poor communication
4. Poor infrastructure
5. Unrealiable
6. Lack of transport
7. High Taxes imposition
Wewe ni mkenya??Eti natumia mda mwingi kufanya mapenzi kuliko kufanya vitu vya msingi.. akasema ngoja atafute mtu mwenyewe Yuko na future nae..namm nikasema Amina mama unaweza enda
Hakuna ustaarabu wowote, anaachaje mtu kisa tu hisia zake zimeleta shoti kwenye likichwa lake kama mtungi mdogo wa oryx?Hii ni kauli ya kistaarabu ya kuacha mtu bila kumuumiza.
ConclusionLand alienation