Hii ni kauli ya kistaarabu ya kuacha mtu bila kumuumiza.Too good for him, he said I deserve better man than him, cause he had no way to change be a better man....😌
Kwa Nini Sasa una kiburi jamani?Kiburi na dharau,, na ninavyo kweli ila ni mpaka nipate sababu,
Sahihimnapataga Muda wa kuwauliza max zenu aisee tukiachana kilamtu apambane na haliyake
![]()
There was no problem...nilikuta tu kanisave "ghafla bin vuu" nikamuuliza kwanini umenisave hivi akasema nawahi kumwaga ...so sad..nkamove on
![]()








Inaashiria hamna chako hapoHivi mtu yupo online siku nzima na cm apokei ila mesej ana jibu alf weekend ina ashiria nini?![]()
😂😂😂There was no problem...nilikuta tu kanisave "ghafla bin vuu" nikamuuliza kwanini umenisave hivi akasema nawahi kumwaga ...so sad 😣..nkamove on😭
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti kiba100 changu hakimfikishi popote, so embarrassing 😳
Mzee wa hovyo hovyo🤣🤣🤣Kuna mafalla wamezeeka kumbe🤣🤣🤣
Point ni zile zile sio1. Lack of Capital
2. Forced labor
3. Poor communication
4. Poor infrastructure
5. Unrealiable
6. Lack of transport
7. High Taxes imposition

Watu ukiwapuuza wanaitafsiri kama kiburi,Kwa Nini Sasa una kiburi jamani?
Kweli...na hiyo ni njia Bora ya kuepusha mgogoroWatu ukiwapuuza wanaitafsiri kama kiburi,