ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

Rais wetu mpendwa tunakuombea kwa mwenyezi mungu azidi kukujalia busara na hekima ktk kipindi chako cha miakq mitano ya mwanzo.
 
Hii nchi inapaswa kuongozwa kwa Torati au Sharia. In sha Allah tutafikia malengo. Hon. Magufuri be blessed.


Hapo unaipamba CCM tu. Ndio waliotuletea haya yote. Hatuhitaji torati wala sharia hapa sio middle east.
 
ACACIA nibora mngeleta data kuthibitisha kuwaninyi siwaidhi itakua ngumu kuwaamini kabisa.
Nainaitaji uwendawazimu kuwaamini bila data kwakuzania kinachofanywa naserikali nikosa aisee ninauchungu namadini yetu aisee ACACIA leta data amasivyo nibora ushughulikiwe tuu maana hamna namna
 
ACACIA nibora mngeleta data kuthibitisha kuwaninyi siwaidhi itakua ngumu kuwaamini kabisa.
Nainaitaji uwendawazimu kuwaamini bila data kwakuzania kinachofanywa naserikali nikosa aisee ninauchungu namadini yetu aisee ACACIA leta data amasivyo nibora ushughulikiwe tuu maana hamna namna
Mkuu utakuwa hufatilii.ACACIA walete data gani; wakati ndio hizo tume imesema za uongo
 
Swala hili ni kama kiini macho mbele ya watanzania. How comes mwizi wa multitrilions asiyesajiliwa akaribishwe kwenye meza ya mazungumzo badala ya court of law! Two inakuwaje investor makini anayeingia hasara ya billions of money daily kwa kuzuiwa mchanga na kuporomoka kwa hisa ktk soko aombe mazungumzo badala ya kwenda court of law kudai haki yake?

Mkapa, Kikwete na Mh. Rais huenda wanamajibu ya ziada ktk hili. Good God Mh. Amesimamisha kwanza biashara hii Haram u
 
Tatizo JPM anatenda kwa imani na hisia! Sijui ingekuwaje leo kamati ingesema tofauti na imani na hisia hizo!

Kama lipo tatizo ni vigumu sana kuwapata katika meza huru! Waliotuangusha ni viongozi wetu, watendaji wetu , wanasheria wetu na wabunge wetu! Hawakutafakari walichoamua na hawakuamua walichotafakari!
Anatenda kwa hisia zipi wakati ameunda kamati,???????????unafikiri km ingekuwa hisia zake hizo kampuni leo zingekuwepo??embu mue na shukrani Rais anataka haki itendeke mshukuruni mmepata mtu wakukataa huo wizi, sisi watanzania bwana taabu kweli yakitendwa mazuri maneno mabaya maneno,nchi ya wapinga maendeleo
 
Babu zetu walipewa vioo (mirrors) wagawa ardhi kwa wamisionari wazungu, karne ya 20/21 waswahili tunarudia yaleyalee kwa kugawa rasmali zetu kwa makaratasi yanayonukia (dolari) kwa walewale wazungu halafu woote kwa ujumla wetu tunajifanya kushangaa!!! Hivi chama tawala wanashangaa nini leo? Huwezi kupewa uwaziri,ukurugenzi, ukamishna wala ngazi yoyote ya maamuzi kama sio sisiem, acacia kama tapeli yeyote ana haki ya kutupiga sana kwani alikuja, akaona, akachukua. Kama asemavyo JPM tumerogwa na sisiem ndio hasa.
 
Watu weusi huwa wanaamini mweupe ana wapenda mpka leo unataka waendelee kuiba wengine ni rana siyo hivi hivi

Kutawaliwa huwa kunaanzia mawazoni ndugu yangu. Utumwa wa watz unekomaa inafika hatua kila aliyesoma ndio anakuwa na hali mbaya zaidi kuliko asiyesoma mlolongo wa watz waliosaini mikataba wote ni wasomi. Na hata sasa wanaowatetea wawekezaji ni wasomi tena waliobobea can u imagine. Ukoloni ulitutafuna tz kisawasawa kiasi kwamba hata mtu akitaka kutuweka huru tunamuona adui kabisa.

Hatujalaaniwa ila ni mind set tu inatakiwa kubadilika
 
Wabunge hasa wa upinzani kuna wakati walitaka mikataba yote mikubwa ya madini iletwe bungeni, walio wengi (wa CCM ) walikataa, tukaambiwa mikataba ni siri nk. Leo tunarudi kule kule na inawezekana baadhi yao bado wamo bungeni. Namuomba rais apitie hansard za wakati huo na kila mbunge aliyepinga mikataba isiletwe bungeni ahesabiwe kuwa sehemu ya mkakati wa kuiba madini yetu, vinginevyo tutakuwa kama tunafanya usanii!
 
Hatua zilizochukuliwa
1. Hatua ya JPM kusitisha mchanga kwenda nje kwa ajili ya uchunguzi ni sahihi.
2. Report ya kwanza na Mapendekezo yake ni sahihi.
3.Report ya pili na Mapendekezo yake ni sahihi pia.

Mkakati ya Team JPM
Hatua zote tatu ni sahihi kwasababu alichofanya JPM sio kuvunja mkataba au kuzuia moja kwa moja usafilishaji wa mchanga bali ni strategy za kuwafanya ACACIA warudi kwenye meza ya majadiliano wakiwa hawana confidence kwa kudai share kubwa ukilinganisha kama wangeitwa bila JPM kutengeneza Cheos, kwahiyo uundaji wa tume zote mbili pamoja na ya Tatu ambayo alisema yeye mwenyewe haijui ni mpango mkakati wa kutengeneza room nzuri ya negotiation ili apate faida kama nilivyoanisha hapo chini.
Kumbukeni kamati ya bunge ilishawahi kupitia sera na mikataba ya madini wakaishia kuambulia mabadiliko madogo sana.

Faida ya kutengeneza mtafaruku
1.JPM atakuwa na evidence ya uwizi wanaofanya wakati wa majadiliano mapya
2. JPM atakuwa anajua na ataenda na share anayoitaka kuidai kwenye meza ya majadiliano
3. Hata kama ACACIA wanabebwa na baadhi ya vipengele kwenye mkataba, watakuwa hawana confidence ya kudai share kubwa kutokana na Guilty Consciousness baada ya kuvuliwa taulo.
4.JPM atakuwa na room ya kudai share nyingi hadi kwenye pure gold mbali na makinikia
5.JPM atapata room kubwa ya kureview mikataba ya madini na gas kama ambavyo ameshaagiza kwasababu wawekezaji watamuona yuko serious tofauti na waliopita.
6.Kulingana na mazingira na ukweli uliojulikana, ni ngumu kwa ACACIA kwenda mahakamani, watataka hili swala liishie mezani. Kwahiyo habari ya ACACIA kwenda mahakamani sahauni.

Toafuti ya JPM na Lissu kimkakati

1.JPM aliamua kutengeneza mgogoro ili apate faida nilizo hainisha hapo juu na zitampa faida-Best Approach.
2.Lissu alitaka tuilete mikataba bungeni kwa ajili ya marekebisho, akaiponda aproach ya JPM-Weak Approach

Kwanini JPM yuko sahihi

Mikataba itakavyorudishwa bungeni kujadiliwa JPM atakuwa na evidence, na watajadili kulingana na evidence na Loop holes zilizoainishwa na kamati zote.

Kwanini Lissu hayuko sahihi sana

Approach yake ingesababisha bunge kujadili mikataba Blindly bila evidence yoyote hivyo serikali kuambilia kiduchu kama kamati ya akina Zitto.

Dhamira
Lissu anadhamira nzuri kama JPM, ila kwenye hili wamenzidi ujanja kweye approach ataonekana kama msaliti wakati siyo msaliti, na wanamchafua kwa kunakili mistari michache na mifupi kwenye hoja zake ili waonyeshe ni msaliti.


Hitimisho
JPM amejipanga kwenye hili swala na ndiyo maana kwenye conclusion yake aliwaita ACACIA kwenye majadiliano, na kabla ya kuwaita aliwapiga mkwara kama wataenda kumshtaki hawatachimba madini Tanzania, na unajua madini yamebaki nchi chache duniani, huamuzi wa kuondoka jumla utakuwa ni mgumu.

Hayo ndiyo maoni yangu.


 
ACACIA selling it's shares in Dar es salaam stock exchange na wakati hawajasajiliwa na BRELA!!! mmmmmmmmmm ngumu kumeza ujue.
Ngja nifungue kwa kujidunga na Valuu.
 
Watanzania hatuna cha kumlipa Rais Magufuli kwa uthubutu tu wa kuyafanya haya akiwa anatoka kwenye kundi la viongozi waliopita.
Hata kama kuna mapungufu yoyote yale, tunatakiwa tumpongeze na kumsaidia kutimiza nia yake.
 
Hivi tunajadili issue ya madini ama lisu??? Yaani hili linchi sometimes linanipa hasira na nyie bila kujua mnampa kiki tu lisu za bure..... sasa hata leo magufuli 80% ya lawama kwenye hotuba kazimalizia kwa lisu????

Yaani tunaacha kuwatolea uchungu kina chenge na yona anaanza kumdukua lisu??? Ndio maana hatuendelei sasa mkishamshughulikia lisu mtapata nni???? Madini yatakuwa hayaibiwi tena????

Pita pembeni mkuu sitaki kujiharibia mfungo kabisa
Mkuu umenena vizuri sana, Lisu hana tatizo na suala hili na issue ya mkuu kumshambulia Lisu haikuwa na umuhimu wowote, apambane na walioliingiza Taifa kwenye sakata hili.
 
Back
Top Bottom