ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

eti anauliza nani alietuloga..???.huyu rais vipi ilitakiwa ajiulize na awaulize ccm wenzake nani aliewaroga wao akiwepo na yeye mana wao ndo walipitisha hii mikataba yote halafu anajifanya anashangaa.ccm ni janga baya sana
 
watanzania wanapaswa waelezwe kwa kina kuhusu acacia:

1. acacia ni kampuni ya wapi na inamilikiwa na watu gani???

2. acacia inapata kiburi wapi cha kubishana na serikali??
 
Magu si kaukbali watu kushtakiwa bana, wakidakwa hao wanasheria wakuu, mawaziri na manaibu + vipele wengine wadogo picha litakua tamu sana!...Ila kwa kuanza turekebishe sheria ya kinga ya raisi!..hapo tutakua tumeipa vita uwanja mpana!!..
 
Tutarajie kuporomoka kwa hisa za kampuni ya Acacia kwenye soko la hisa la Dar-es-salaam (DSE) kuanzia kesho.
 
Update on the 2nd Presidential Committee Findings

12 Jun 2017

Acacia notes the disappointing findings of the Presidential Second Committee’s report which were presented to the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli this morning and which considered the historical economic and legal aspects of the export of metallic mineral concentrates.

The Second Committee has primarily based its findings on those of the First Presidential Committee, announced on 24 May 2017, that Acacia strongly refutes. That Committee based its findings on samples from 44 containers. Based on more than 20 years of data available to us it is impossible to reconcile those findings and they grossly overstate the value of the concentrates by more than 10 times.

The Second Committee has alleged that Acacia has under-declared revenues and tax payments over a number of years by tens of billions of US dollars. As a result it has made a series of recommendations including the payment of outstanding taxes and royalties, re-negotiation of large-scale Mineral Development Agreements, Government ownership in the mines, and the continuation of the export ban.

Acacia strongly refutes these new unfounded accusations. We have always conducted our business to the highest standards and operated in full compliance with Tanzanian law. We re-iterate that we have declared everything of commercial value that we have produced since we started operating in Tanzania and have paid all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce. In addition, our published accounts are annually audited to an international standard in accordance with IFRS.

Acacia has long sought to be a partner with the Government of Tanzania as we believe that we have similar goals in enhancing social and economic development in the country. However, this partnership must be based on fairness for all stakeholders, including the 96% of our employees at our mines who are Tanzanian, and our shareholders who have funded the US$4 billion of investment that Acacia has made into the country to date.

Acacia remains open to further dialogue with the Government regarding this issue and continues to assess all of its options. We will provide a further update to the market as soon as practical.
 
Kwahiyo wakienda wakashinda kesi na ukawalipa mabilioni wakaamua kufunga mgodi wanapata hasara gani??? Kwani kabla hawajaitwa ACACIA si walikuwa na jina jingine na walikuwa wanatuibia kama kawa????? Wataondoka ila watarudi kwa jina jingine na kuendelea kutunyoosha

Na je tukishindwa kesi magu yupo radhi kujiuzulu kwa kuingiza nchi kwenye hasara ama mzigo tutaubeba sisi???? kwa wachina si alisema hivi hivi hadi akaishia kuzigawa samaki zao ila tulilipishwa bila kupenda

Kaz kwelikweli
Hapo sijajua tumejipangaje
 
Ngoja nipige nguchu moja ya Kiroba changu cha Jogoo....
Naomba niulize kitu: Baada ya ripoti ya kwanza aliyopewa Mheshimiwa raisi, ACACIA waliomba "private auditors" wakawakague tena. Walidai kamati aliyoiunda mheshimiwa imemdanganya. Je hawa private auditors walishaenda kufanya huu uchunguzi?!!
 
Magu amefulia anatumia blackmail tacticts anazopewa na bashite. Kampuni za fortune500 hazitishiwi nyau.
 
ACACIA wanakiburi, kiburi cha kijinga, eti tumeacha Mipango wazi ya kuwasiliana na Serikali. Serikali ndiyo wenye Mali we eti ujidai una acha milango wazi ili Serikali ije Ku kuomba mjadala? Wapuuzi sana hawa.

Nilifikiri wamemwelewa Rais alipoongea kwa busara na hekima kubwa sana kwamba wakitaka waende wakaseme ukweli, wakatubu na ndiyo tukubaliane juu ya kodi zetu na mikataba.

Wameniudhi sana kwa taarifa yao hii. That means wa nataka Kupima ubavu na Rais?
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
 
Magu naona kuna watu anawafuta Sema approach anayotumia itakula kwake, nakumbuka kikwete naye wakati anaingia madarakani alianza hivi hivi kumtafuta che nkapa kutokana na bifu zao, tatizo likawa approach maana kila anapogusa iliamalize anajikuta na yeye yumo matokeo yake yeye mwenyewe ilibidi aombe poo.
 
Ati "new unfounded accusations". I think these have been " founded". ACACIA wajipange na wachukue legal steps badala ya kupiga kelele. Bahati nzuri Rais kawapa muda wajongee mezani na kuzungumza.
 
Hakuna anyewatetea ACACIA,wala makampuni mengine,tunachosema tufuate sheria ili tuweze kuwashinda,kwa kukurupuka hatufiki hata posta.

Tusifanye kazi kama punguani tufanye kazi kwa umakini.Waliotuangusha wala siyo Lissu,kama Lissu angesikilizwa miaka 17 iliyopita leo kusingekuwa na haya madubwana.

Kwangu mimi Lissu is my hero
Lisu is an escape goat
 
Hawana maana ndugu zetu wa nyamongo wanalia huko wamenyang'anywa mashimo yao wanaburuzwa tuu
 
Back
Top Bottom