Halina uzungu wala maajabu yoyote.Abood ni basi la kiswahili sana Tena sana,inabidi ulizoee tu. Pia wafanyakazi wake kila mmoja ana nguvu kama vile hakuna management. Yeye analeta mabus tu lakini wafanyakazi ndio wanayoendesha.
Abood zote lazima mjazane ndani ya gari ndio wanaondoka.
Hii gari takataka kabisaGari imegoma kuwaka hata wslipoweks mafuta ya kidebe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
exactlyMagari ni mengi anachana na hizo mkweche
Mmeshuka hotelini au 😁Hii gari takataka kabisaView attachment 2521839
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wana utaratibu wa hovyoNa hapo bado mkifika Morogoro mnapelekwa Yard yao
Mara moja moja.Wow nawe ulikuwa ukipanda
Hawaweki mafuta kwy Petrol Station ya mtu ila ya kwao tu Moro na Dar ndiyo maana wakiishiwa mafuta wanasubiri hadi gari la patrol lifike. Wako kama Wapemba ambao hawanunui bidhaa duka lisilo la Mpemba.Kuna mwaka niliwahi kupanda hilo basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro! Ile tuko maeneo ya Melela kwa mbele, si mafuta yakaisha!!
Tulilazimika kusubiri mpaka gari yao ya patrol itoke Morogoro kuja kutuwekea mafuta, ndipo tukaondoka! Achilia mbali kila unapopanda gari zao za Mikoani, ni lazima muingie kwenye karakana yao kule mjini kati, ndipo muendelee na safari.
Mimi Abood napanda pale ninapokosa basi lingine. Kinyume na hapo, hapana aisee.
Basi nakuelewa wewe tu hapa JFMara moja moja.
Na hao wote wanaosimama Bima haiwatambui, wanapanda kwa tahadhari yao wenyewe.Hata hivyo nilichelewa bus zingine ikabidi nikate hiyo Abood Kuna abiria wamesimama kutoka mbeya hadi mda huu tuko mikumi wamesimama
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Imevuta Upepo Kwenye TankGari imegoma kuwaka hata wslipoweks mafuta ya kidebe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
😂😂😂Gari lina mende ndani Yani hawa jamaa bure kabisa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo mkuu umeamua kunichomea ugali wangu kwa mabosi😓Wakuu habari za asubuhi
Abood ameleta mabasi mengi tu lakini hadi sasa hawataki kubadilika na tabia zao za ajabu ajabu.
Leo na safiri na Bus lao la Abood kutoka Tunduma kwenda Dar lakini cha kushangaza linabeba abiria Kama daradara njiani gari imejaa lakini konda bado anapakia watu njiani viti vyote vimejaa Hadi watu wengine wamekaa kwenye korido na wengine wamesimama.
Lakini pia siti uliyokatiwa ticket siajabu usikae unaambiwa kaa popote pale mjiriekebishe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Upepo umeingia kwenye pump, hizo kenge zinafanya kazi ya usafirishaji wanatakiwa wajue hii kituGari imegoma kuwaka hata wslipoweks mafuta ya kidebe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na ustaarabu na comfort lkn kwa nauli iliyoenda shule...Dar to mwz gari ni ally's star tu ndo unafika kwa wakati
Kiongozi si uwahi ukabadilishe gari. Kama hali yenyewe ndio hii kutoka kwa wadauDa. Nimekata tiketi kwenda Musoma kesho. Nitawajua kitakachotokea.
Kuna mdau kasema inawezekana wafanyakazi hawalipwi, naweza kukubali swala. Limekua kama daladala yaaani dereva,makonda,vishoka wote wanapeleka hesabu kwa boss tu ila mishe zote wanafanya wao kuanzia mafuta mpaka kujilipa.Halina uzungu wala maajabu yoyote.