Abood bado hawajabadilika hadi sasa

Wewe Siyo Mnafki Abood Bure Kabisa Ni Rangi Tu
BM Ndiyo Luxury Wanajaribu Muda Hakuna Kupakia Watu Wasio Na Seat
BM sio kampuni ya muda kama ilivyo Abood ila wapo very professional,sina Hisa kwao hao BM ila ukweli ni kusema,kwenye huduma wanajitahidi mnoo na ndio maana kwa huku kanda ya kaskazini,wanasumbua sana,hata zili zinazoanzia Dar wanazitia jambajamba sana kampuni za mabasi kongwe zilizozoeleka
 
Mtakwenda Kwa Mafuta Ya Kidebe Mpaka Singida Ndiyo Wajaze, Buses Zao Zote Za Kwenda Mara,Tabora, Bukoba Mnapoteza Muda Njiani Kwaajili Ya Kukosa Mafuta
 
Mimi Nipo Hapa Morogoro Huyu Abood Ni Ubabaishaji Ana Vishoka Wengi Kuhadaa Abiria Lakini Huduma Bure Kabisa Yaani Yeye Anaweza Dar Es Salaam ~Morogoro
Mikoa Mingine Shida Tupu
 
sasa nduga yangu hapa hakuna msada kuanzia tunduma mpaka dar polisi wako wengi jiani kwann usiwambie?au ukchukua namba za sumatara ukawapigia mbona ziko humo juu ya kiti chako ulichokalia ebu angaza utazio kisha wapigie au watu ujumbe mfupi
 
Mimi Nipo Hapa Morogoro Huyu Abood Ni Ubabaishaji Ana Vishoka Wengi Kuhadaa Abiria Lakini Huduma Bure Kabisa Yaani Yeye Anaweza Dar Es Salaam ~Morogoro
Mikoa Mingine Shida Tupu
Hakika,hiyo ndio root pekee anayoiweza,kwingine huku hana maajabu kabisa
 
Nilipanda hilo bus kutoka dar kwenda mwanza, kwanza stand lilitoka saa 2, tulivyofika Moro likaingia kwenye yard yao pale mjini wakatukalisha pale almost masaa mawili. Tulifika Mwanza saa moja asubuhi.
kwanini ukupiga cm sumatara?
 
Nilipanda Abood Inayotoka Mwanza Kwenda Dar Es Salaam
Ajabu Tulipofika Dumila Bus Ikaanza Kuonyesha Ishara Kwenye Dash Board Kuwa Mafuta Yanakwenda Kwisha
Driver Aliendesha Mpaka Bus Ikaisha Wese Porini Konda Akashuka Akahaha Kutafuta Mafuta Tena Kidumu
 
Waafrika ndo tulivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…