(Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

(Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

Status
Not open for further replies.
Anatambua analofanya angalia hata jina lake Jackme mwanaume hawez kujiita hvyo.dawa ni yy nwenyewe kuamua kutoka katika hali hyo

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Katika pilika za ujana za kutoroka shule na kwenda kujifungia chimbo kuangalia picha za ngono, nilikuja kujifunza kuwa "Jack me" ina maana "f**ck me (kuijaza manii asshole ya mtu)".

Nakuunga mkono, hapa ndugu yetu anaonekana yupo relaxed sana na hii hali.......anainjoi haswaa!! Kwamba haitaki anatutania tu.
 
1.You need to unlearn everthing.

2.you need to unleash your Devine superior masculine mode.

3. Activate your God mode

The thing is
Upo na feminine energy kubwa kuliko masculine enegy. Yaani una emit feminine enegy automatically unajikuta upo attracted to masculine energy hiyo ni nature haipingiki brother.

Usiwe balanced brother.

Jaribu sasa kuwa masculine.

Your aura need to be full of masculine energy brother. Inawezekana unaweza kuichange aura yako bro ikawa full of masculine energy.

Ni safari ndefu ila mimi naamini ni swala la wewe kuamua.

Activate your God mode brother
ushauri mzuri sana mkuu, so how do i change my aura iwe totaly msculinity? nianze kudeal vipi with this? i need to focus on that seriosly
 
Man Jack?
Hivi watu walioathirika kisaikolojia huwa wanajitambua?

Bro!
Mimi ninachoamini kulingana na story yako, You know what you are doing brother.

Kuhusu hiyo no 3 brother nina uhakika wewe haupo humo!!!
thanks, shukrani mkuu
 
One man down 😠😠😠
20230820_185714.jpg
 
Pole sana.

Unaweza kusaidika ili hali umetambua ulipo si sehemu yako.

Jambo la msingi ni kutambua msingi wa tatizo. Huwezi kupigana vita bila kujua adui.

Msingi wa kwanza ni kujua kilichokufikisha huko:

1: Malezi ndani ya familia/ composition(male vs female).

2: Biolojia haijabalansi/mwili.

3: Abuse

4: Matumizi mabaya ya uhuru.

NB: Ukikutana na wataalamu wa afya/Saikolojia, kuangalia chimbuko lako la maisha, kuangalia mwili pamoja na homoni pia kutumia upande wa kiroho vyema utaweza kuondoka huko. Siraha ipi itatumka zaidi au muunganiko upi, itategemea na tatizo lilikoanzia.

Keep on fighting positively.
Amen , so mwana psychology gani mzuri unaweza nielekeza alipo wa nasuala ntambuka ili nianzie hapo aone haya yote na ajue nianzie wapi?
 
Hii ni changamoto ya akili pia. Kuna wakati uliiambia akili yako ikadaka hizo tabia. Iambie unachukia hilo jambo. Chukua hatua za dhati kabisa na umchague mke akusaidie uachane na hayo mauchafu
kabisa, hapa kuoa kwa haraka ni muhimu, asante sana mkuu
 
JF members habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote mko salama.

Dah guys i need advice katika jambo lenye limekua linanipa stress na mawazo na sijui nitafix vipi niwe normal cas nishajitahidi sana ila narudi nyuma.

nilisoma thread moja hapa i think iliandikwa na somebody Bharka if nakumbuka vyema, na alivyo andika hadi nkaogopa nikasema au mtu ananifahamu ameamua kuniandikia JF akijifanya ni mtu mwingine[emoji32] ok tupotezee hiyo

Ndugu mimi kama mwana JF mwenzenu, mdogo wenu, mtoto wenu, ndugu yenu nna changamoto moja, ambayo hata jf naogopa kuiandika, Sjawahi kupenda mschana, ndio nnademu wa kuzugia kama huyo bharka sjui, ila kiukweli najihusisha kwa siri sana na mapenzi ya jinsia moja(gays), whats wrong with me?nmelelewa familia nzuri as normal, nmesoma private schools nzuri tu za bei ghali , nmesoma degree yangu university of Nairobi tena course ngumu ina ma physics issues, nimeshi ulaya kiasi, nilipata job nzuri and everything is ok, but why navutiwa sana na handsome mens than beautiful ladies? why?

Je wazazi wangu wamenizembea? ni uzembe wangu mwenyewe maybe hisia nazilazimisha? but why ma manzi hawanvutii but handsome mens wananivutia sana? au kuangalia porn tangu mdogo kuliniharibu? cas dah nahisi porn ziliniharibu psychology hadi one day nilipoona ya gays ikanivutia zaidi?

Ndugu kama una watoto wadogo hebu wakatazeni kutumia tumia cm zenye internet, au laptops ets zinaharibu watoto, i think hata me ndio ziliharibu mindset yangu, imagine nmekua nachezea na laptop na internets, smartphones etc, wawekeeni mipaka ya baadhi ya vitu ni muhimu sana, hata i hate kuzaliwa family yenye uwezo, imeniharibu[emoji26]

sasa nahitaji msaada wenu, im very serious katika hili, rafki zangu wanaoa, wengine wana watoto wazuri tu, na very serious relationships why not me? why sivutiwi na women? i hate this feelings, msaada wenu please najiskia vibaya,wazazi hawajui na kila cku wamauliza taoa lini nazuga tu, naondoaje hii hali, please help me guys nashindwa na nishafika 27 old now[emoji26], nipeni ushauri wenu tafanya na kufata kila ushauri , nishauri nifanye nini niache, nisaidieni please, sitaku haya na feelings, ni ushetani.

Natanguliza shukrani.
Be you and do what u like. Kama unapenda mademu wewe tu Kama unapenda wanaume wewe tu. Nobody should control ur sexuality
 
Anza kwa kubadilisha jina la ID yako imekaa kike kike...

Pili, kuwa karibu na mafundisho ya Mungu na tumia muda mwingi kutafakari mambo ya ibada na sala...

Mwisho, uzi wako umeuandika kama tangazo hivi, hivyo tarajia kutokewa na mabasha huko PM...
hapana mkuu, sio tangazo and please mtu asinidm if hakuna solution ya maana, napokea ushauri tu sio kutoa my contacts na siwez toa my contacts kwa mtu yoyote humu so please dont even ask

Id yangu nimemix my name kiasi na other letters but ok nitachange, nafundisho ya Mungu kiukweli inabidi niwe nafatilia sana aisee, thanks mkuu
 
si muda utatia aibu familia yako endelea tu ufala wako huo
kwa kweli tatia aibu my family, ndo nahangaika nibadirishe everything,cas wazazi wanaheshimika sana na watu, sitaki niwadharirishe kiukwwli
 
Aisee we mpwayungu village ndio umefikia hali hii kweli?,ulianza kujadili vifua vya diamond na harmonize sasa umefikia kutaka mjegeje
 
Unahitaji kumuona daktari akupe(asubscribe for you) hormones za kiume. And that is all really. Quite simple. Hakikisha unakuwa na proper eating habits ili uwe na balanced diet.
We ni choko. Labda onlyalvira anaweza kukusaidia.
And,ah,yes,soma Six Yogas of Naropa.
You seek to do these things which give you the highest pleasure. But you are debasing yourself.
Sex desire is the second greatest power on Earth.
The greatest power on Earth is the power of imagination. The sex urge is juniour to the imagination,and so it can be controlled by controlling the imagination.
thanks for the advise mkuu, i will deal with it, thank you so much
 
Kule jukwaa la afya kuna uzi unaongelea mitishamba kuda jamaa alielezea kuna aina ya dawa ukinywa zina balance hormones bt uzi ni mrefu mpaka aje aione atumie mda mwingi sana

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
sawa mkuu haina shida, nipe heading ya huo uzi niusome, naweza pata kitu please and thank you
 
acha kutuona wajinga we shoga wa buza, eti umesoma mpaka ulaya halafu unavutiwa na handsome mens!? mens!? kuna kiiengereza kama hicho wapi!? sio lazima utuletee story zako zakutunga kuhalalisha ushoga wako kwa kujifanya matawi,
dah, sawa mkuu naheshimu mawazo yako
 
yes, nshalala na dem na ilikua normal tu but nkilala na men nakua more comfortable aaghhh[emoji34]

Madem nakaza but men boyfriends wanankaza mimi, what a shame

Yes dude linasimama fresh japo kwenye sex na men kuna mda inalala
Duuh[emoji15][emoji15]
 
Wewe unachofanya hapa ni kujitangaza au unajaribu kutafuta attention.

Nimejifunza namna yako yakufikiria wewe huna nia yakuacha huo ushoga au unajaribu kuandika uwongo hapa.

Kumbuka baadhi ya watu hapa ni wadadisi na wanasoma neno kwa neno lakini pia kutaka kufahamu nia yako hasa ni nini.

Aiana ya mifano katika hadithi yako inaonyesha hivyo, wewe unatangaza ushonga kiaina au unatafuta attention kwa mambo yakutunga.

Bisha nikuambie kwa sababu gani.
dah, lakini shukrani kwa your comment
 
Wachangia mada,kuweni makini.....hii ishu siyo ya kuoneha huruma.bible inasema ni bora kuingia Mbinguni ukiwa chongo. Hii ni dhambi mkuu huruma ya mtu haikusaidii Tambua unamuudhi aliyekuumba ,Tambua wewe niwanaume .
Tubu KWA imani funga,toa sadaka,badalisha Maisha,afu Tambua unakosea na juta usirudie,weka toba huo ni ushenzi,ujinga na Motoni utaenda
Amen mkuu, Mungu anisamehe sana na anisaidie, nitachange my lifestyle kabisa niwe mtu wa dini nijihusishe na dini zaidi, Mungu ni mwema ataniokoa, thanks again
 
Aamin, and yes nioe haraka it may halp and change everything
Qur'an 29:45. SOMA uliyo funuliwa katika Kitabu, na ushike Sala. Hakika Sala inazuilia mambo machafu na maovu. Na kwa yakini kumdhukuru Mwenyezi Mungu ndilo jambo kubwa kabisa. Na Mwenyezi Mungu anayajua mnayo yatenda. 45
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom