(Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

Status
Not open for further replies.
Nimewahi kutana na kesi kama ya kwako kwanza nikupe Pole sana. Siijui Imani yako lkn naamini katika Mungu yote yanawezekana.

Kwanza ichukie hiyo hali kisha Simama katika Imani.

Jambo la muhimu kuwa makini na unaowaomba ushauri maana kuna kijana alikuwa na shida kama yako, akaenda church kuomba Msaada pastor akamgeuza mke.

Mungu akusaidie
 
Why are you gay
IMG_20230914_204928.jpg
 
JF members habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote mko salama.

Dah guys i need advice katika jambo lenye limekua linanipa stress na mawazo na sijui nitafix vipi niwe normal cas nishajitahidi sana ila narudi nyuma.

nilisoma thread moja hapa i think iliandikwa na somebody Bharka if nakumbuka vyema, na alivyo andika hadi nkaogopa nikasema au mtu ananifahamu ameamua kuniandikia JF akijifanya ni mtu mwingine[emoji32] ok tupotezee hiyo

Ndugu mimi kama mwana JF mwenzenu, mdogo wenu, mtoto wenu, ndugu yenu nna changamoto moja, ambayo hata jf naogopa kuiandika, Sjawahi kupenda mschana, ndio nnademu wa kuzugia kama huyo bharka sjui, ila kiukweli najihusisha kwa siri sana na mapenzi ya jinsia moja(gays), whats wrong with me?nmelelewa familia nzuri as normal, nmesoma private schools nzuri tu za bei ghali , nmesoma degree yangu university of Nairobi tena course ngumu ina ma physics issues, nimeshi ulaya kiasi, nilipata job nzuri and everything is ok, but why navutiwa sana na handsome mens than beautiful ladies? why?

Je wazazi wangu wamenizembea? ni uzembe wangu mwenyewe maybe hisia nazilazimisha? but why ma manzi hawanvutii but handsome mens wananivutia sana? au kuangalia porn tangu mdogo kuliniharibu? cas dah nahisi porn ziliniharibu psychology hadi one day nilipoona ya gays ikanivutia zaidi?

Ndugu kama una watoto wadogo hebu wakatazeni kutumia tumia cm zenye internet, au laptops ets zinaharibu watoto, i think hata me ndio ziliharibu mindset yangu, imagine nmekua nachezea na laptop na internets, smartphones etc, wawekeeni mipaka ya baadhi ya vitu ni muhimu sana, hata i hate kuzaliwa family yenye uwezo, imeniharibu[emoji26]

sasa nahitaji msaada wenu, im very serious katika hili, rafki zangu wanaoa, wengine wana watoto wazuri tu, na very serious relationships why not me? why sivutiwi na women? i hate this feelings, msaada wenu please najiskia vibaya,wazazi hawajui na kila cku wamauliza taoa lini nazuga tu, naondoaje hii hali, please help me guys nashindwa na nishafika 27 old now[emoji26], nipeni ushauri wenu tafanya na kufata kila ushauri , nishauri nifanye nini niache, nisaidieni please, sitaku haya na feelings, ni ushetani.

Natanguliza shukrani.
Pole sana mkuu, kwa kuwa ushalitambua kosa lako nirahisi kulitatua na ukaondokana nalo your still young, ondoa shaka iko ivi

1: kwanzia sasa achana na homosexual, jitengenezee misinamo yako kwanzia sasa yakuto ku practice izo issue.Nakama una watu wanaokuzunguka wanapractice au wana ku influence kwa namna moja au nyingine achana nao wafutilie mbali. kama kweli ume jidhatiti kuacha utaacha tu. Najua sio rahisi ila inawezekana mkuu amini kwamba kila kitu kinawezekana ukiamua

2: Kua karibu na Muumba wako, Hu ndo mda wa kukaaa na muumba wako wakumwelezea matatizo yako. Broh miracle exist piga sala nyingi ikiwwzekana mtafute either kama ni sheikh au padre as mentor mweleze tatizo lako na ata kusaidia. kwenye kutafuta hapa akikisha unatafuta mtu anae jielewa na mwelewa.

3: Tafuta Msaada wa Kitaalam, Consider speaking with a therapist or counselor who specializes in LGBTQ+ issues. kwa mfano Criss Mauky utaeza ukaomba appointment nae ikishindikana ana YouTube channel anatoa mafundisho mbali mbali atakusaidia sana.Mwingine ni Joel Nanauka uyu kwa mbali ila uki mu approach awezi acha kukusaidia. Hakikisha unapo waa approach counselor yoyote hakikisha una jielezea vizuri usiwadanganye yaani funguka vyote.

4: Jielimiashe mwenyewe, kivipi kwa sasa tupo kwenye ulimwengu wa internet kila kitu kinapatikana kwenye internet. Sio nakala wala majarida mbali mbali. Tafuta sites mbali mbali utapata majarida yatakayo weza kukusaidia. Pia kwa kufanya hivi utaweza kukutana na watu wenyewe case kama yako na washaondokana nayo yaani utapata ushuhuda na njia walizo tumia kuondokana na iyo issue yako.

5: Vikundi vya Msaada: Jiunge na vikundi vya msaada au jamii za wenye hali sawa na yako ambapo unaweza kuunganisha na wengine wanaopitia uzoefu sawa. Kushiriki mawazo na hisia zako na watu wanaopitia hali kama yako kunaweza kupata njia mbali mbali walizo zitumia kuondokana na hali kama yako.

Kama kweli umeamuamua kuondokana na hiyo hali amua kweli maana ni fedhea kwako na kwa jamii inayo kuzunguka yaani ni ni aibu sana utadharaulika sana zaidi ya maskini ambaye hana hela, atakama una hela kiasi gani hi hali ni utadharaulika tu labda ukaishi abroad.

Mwenyewe nilikua addicted na porn ila baada ya kupata counseling na kuchukua personal effort nilikuja kuacha. Now sina tatizo lolote mademu nawachakata kama sina akili. Na hakuna utamu mzuri duniani kama kusex na mademu.
 
Shukrani mkuu, umenishauri vizuri sana aisee, tafanya hayo yote, najua is not easy kuchange but nitajitahidi, asante sana
 
Nimewahi kutana na kesi kama ya kwako kwanza nikupe Pole sana. Siijui Imani yako lkn naamini katika Mungu yote yanawezekana.

Kwanza ichukie hiyo hali kisha Simama katika Imani.

Jambo la muhimu kuwa makini na unaowaomba ushauri maana kuna kijana alikuwa na shida kama yako, akaenda church kuomba Msaada pastor akamgeuza mke.

Mungu akusaidie
Amen Mungu anisaidie kiukweli, na ni kweli sio kila mtu ni mwema , wengine ni wakunikatisha tamaa ya kuchange au kunitamani , yani ujinga tu nakutana nao inbox, wengine wananishauri vzuri sana na nawaekewa, but wengine dah[emoji22], thats why i dont give anyone my contacts kuepusha mengine, asante sana mkuu
 
Aisee pole. Ila mimi hua nashangaa sana hua mtu anawezaje kua addicted na porn? How?
Binafsi hua nikiangalia watu wakifanya ngono napata kinyaa sana
dah sjui kwa nini, hebu mungu anusaidie niwe kama wewe nione kinyaa kuona hayo mavitu
 
Nimeogopa na kutetrmeka.
Sie wenye watoto wa kiume tuna mtihani mkubwa huko mbeleni na hawa vijana wetu.
Nikiwaangalia ma uncle zangu wanavyokuwa na hiki unachokisoma hapa, unasema Mungu aingilie tu Kati.
Hongera Kama unataka kutoka Huko,
Mungu akusaidie
 
i dont wanna say that but Yes, nishauri mkuu nifanyeje, thia is very bad indeed, leo mshkaji wangu tena bestfriend katangaza ndoa na gf wake (anafanya job airport as plane controler), nmejiskia vbaya sana, na hajui hata kama hua nafanya haya[emoji30]
Kama hili jambo ni kweli basi hapa umeshajitangaza kwa huyo mwanao.

Kama yupo humu atapitia ma-file yake ni mshkaji wake yupi alisoma Nairobi university na ameishi ulaya akifikia hapo lazima atakugundua tu,Mungu atakusaidia ktk hili maana umeonyesha nia ya kujutia siyo kufurahia kama wafanyavyo wengine.

Pole sana dogo.
 
Unaitwa nani ? , unishi wapi ? Je ushawahi kutembea na huyu mdada wako wa kuzugia
 
asante sana, i wish nisingeandika hivo aisee cas is true akiona ataconnect dots, but sidhan kama anatumia jf cas itakua noma, ngoja niedit asee
 
Mungu akusaidie utoke huko....naona wadau wamekushauri vizuri...utatoka huko as naona unamaanisha na una Nia ya kutoka
 
Unaitwa nani ? , unishi wapi ? Je ushawahi kutembea na huyu mdada wako wa kuzugia
Jina linaanzia herufi sitaitaja, naishi dsm kww sasa, yes hua natembeavnae sometims but hajui hii issue at all
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom