Zingatia hapa sana mengine ni porojoOa haraka sana
Umeshajaribu kuamua kukaa miez sita bila kufanya hicho kitendo??ushauri mzuri sana mkuu, so how do i change my aura iwe totaly msculinity? nianze kudeal vipi with this? i need to focus on that seriosly
Amen amen, thanks kiongozi, thats why nafanya kila njia niwe normal again na kurudi kwa Mungu mazima, vijana sometimes tuna changamoto sana, God help meYou wanna change the situation? Asin do you really mean it deep down in your heart? Well natamani kusema umeamini uongo all this time. Moyo ni mdanganyifu sana una ugonjwa wa kufisha..moyo wako umekuaminisha wewe ni wa darkness na ukaamini ukaishi nayo. Toka huko, you are a man, be a man.
Natamani niseme jambo na wazazi walezi na wote tunaoelekea huko. Kwenye haya mashule hasa hizi boarding schools kuna shida nyingi sana miaka hii. Hata kama hyo shule ulisomaga zamani, lkn sasa hv kuna maagent wa kuzimu wako so active kudondosha maroho haya ya uharibifu kwenye mashule. Hizi roho za chukizo watoto wanazibebea mashuleni. Na ndo zinakuja kujifunua huku uraiani. Tuombee sana watoto walioko mashuleni maana ndo target no 1 ya adui kuliangamiza taifa.
Mleta mada, achana na hiyo dunia uliyoingia..utawezaje? ijue kweli, nayo ikuweke huru. Katika YEYE tunaishi, tunakwenda na kuwa na uhai wetu. Yesu ni yeye yule jana, leo na hata milele. May God save you from that dungeon!!!
duh mkuu, sitanii and i dont enjoy at all, ni hisia tu hunizidi but siienjoy, mschukulie like that, ni kweli sio sawa thars why najitahid niacheKatika pilika za ujana za kutoroka shule na kwenda kujifungia chimbo kuangalia picha za ngono, nilikuja kujifunza kuwa "Jack me" ina maana "f**ck me (kuijaza manii asshole ya mtu)".
Nakuunga mkono, hapa ndugu yetu anaonekana yupo relaxed sana na hii hali.......anainjoi haswaa!! Kwamba haitaki anatutania tu.
hapana sijawahi, maybe nijaribu mkuu, inaweza saidia kiukweliUmeshajaribu kuamua kukaa miez sita bila kufanya hicho kitendo??
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwani zipo sindano za homoni za kiume?Unahitaji kumuona daktari akupe(asubscribe for you) hormones za kiume. And that is all really. Quite simple. Hakikisha unakuwa na proper eating habits ili uwe na balanced diet.
We ni choko. Labda onlyalvira anaweza kukusaidia.
And,ah,yes,soma Six Yogas of Naropa.
You seek to do these things which give you the highest pleasure. But you are debasing yourself.
Sex desire is the second greatest power on Earth.
The greatest power on Earth is the power of imagination. The sex urge is juniour to the imagination,and so it can be controlled by controlling the imagination.
We kubadilika itakua ngumu,mtu mpk unafungua account unajiita Jackyme,kwnz kabla sijaanza kusoma nikajua demu humu kuja kusoma kumbe papai,sijashangaa!sjui nsemeje, but wanikaze sio niwakaze[emoji26]
Dah wacha nichange jina, cas ni jina yangu nyingine cas niliitwa Jackson nlipokua young nkachange so nina official name ingine tuWe kubadilika itakua ngumu,mtu mpk unafungua account unajiita Jackyme,kwnz kabla sijaanza kusoma nikajua demu humu kuja kusoma kumbe papai,sijashangaa!
Why are you gay?JF members habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote mko salama.
Dah guys i need advice katika jambo lenye limekua linanipa stress na mawazo na sijui nitafix vipi niwe normal cas nishajitahidi sana ila narudi nyuma.
nilisoma thread moja hapa i think iliandikwa na somebody Bharka if nakumbuka vyema, na alivyo andika hadi nkaogopa nikasema au mtu ananifahamu ameamua kuniandikia JF akijifanya ni mtu mwingine[emoji32] ok tupotezee hiyo
Ndugu mimi kama mwana JF mwenzenu, mdogo wenu, mtoto wenu, ndugu yenu nna changamoto moja, ambayo hata jf naogopa kuiandika, Sjawahi kupenda mschana, ndio nnademu wa kuzugia kama huyo bharka sjui, ila kiukweli najihusisha kwa siri sana na mapenzi ya jinsia moja(gays), whats wrong with me?nmelelewa familia nzuri as normal, nmesoma private schools nzuri tu za bei ghali , nmesoma degree yangu university of Nairobi tena course ngumu ina ma physics issues, nimeshi ulaya kiasi, nilipata job nzuri and everything is ok, but why navutiwa sana na handsome mens than beautiful ladies? why?
Je wazazi wangu wamenizembea? ni uzembe wangu mwenyewe maybe hisia nazilazimisha? but why ma manzi hawanvutii but handsome mens wananivutia sana? au kuangalia porn tangu mdogo kuliniharibu? cas dah nahisi porn ziliniharibu psychology hadi one day nilipoona ya gays ikanivutia zaidi?
Ndugu kama una watoto wadogo hebu wakatazeni kutumia tumia cm zenye internet, au laptops ets zinaharibu watoto, i think hata me ndio ziliharibu mindset yangu, imagine nmekua nachezea na laptop na internets, smartphones etc, wawekeeni mipaka ya baadhi ya vitu ni muhimu sana, hata i hate kuzaliwa family yenye uwezo, imeniharibu[emoji26]
sasa nahitaji msaada wenu, im very serious katika hili, rafki zangu wanaoa, wengine wana watoto wazuri tu, na very serious relationships why not me? why sivutiwi na women? i hate this feelings, msaada wenu please najiskia vibaya,wazazi hawajui na kila cku wamauliza taoa lini nazuga tu, naondoaje hii hali, please help me guys nashindwa na nishafika 27 old now[emoji26], nipeni ushauri wenu tafanya na kufata kila ushauri , nishauri nifanye nini niache, nisaidieni please, sitaku haya na feelings, ni ushetani.
Natanguliza shukrani.
Pole sana, Mungu ni mwema utatoka huko ukiwa serious...nitakumpa namba DM, huyo ndugu atakusaidia ila amua kutoka moyoni kwamba unataka kuacha hiyo tabiaJF members habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote mko salama.
Dah guys i need advice katika jambo lenye limekua linanipa stress na mawazo na sijui nitafix vipi niwe normal cas nishajitahidi sana ila narudi nyuma.
nilisoma thread moja hapa i think iliandikwa na somebody Bharka if nakumbuka vyema, na alivyo andika hadi nkaogopa nikasema au mtu ananifahamu ameamua kuniandikia JF akijifanya ni mtu mwingine[emoji32] ok tupotezee hiyo
Ndugu mimi kama mwana JF mwenzenu, mdogo wenu, mtoto wenu, ndugu yenu nna changamoto moja, ambayo hata jf naogopa kuiandika, Sjawahi kupenda mschana, ndio nnademu wa kuzugia kama huyo bharka sjui, ila kiukweli najihusisha kwa siri sana na mapenzi ya jinsia moja(gays), whats wrong with me?nmelelewa familia nzuri as normal, nmesoma private schools nzuri tu za bei ghali , nmesoma degree yangu university of Nairobi tena course ngumu ina ma physics issues, nimeshi ulaya kiasi, nilipata job nzuri and everything is ok, but why navutiwa sana na handsome mens than beautiful ladies? why?
Je wazazi wangu wamenizembea? ni uzembe wangu mwenyewe maybe hisia nazilazimisha? but why ma manzi hawanvutii but handsome mens wananivutia sana? au kuangalia porn tangu mdogo kuliniharibu? cas dah nahisi porn ziliniharibu psychology hadi one day nilipoona ya gays ikanivutia zaidi?
Ndugu kama una watoto wadogo hebu wakatazeni kutumia tumia cm zenye internet, au laptops ets zinaharibu watoto, i think hata me ndio ziliharibu mindset yangu, imagine nmekua nachezea na laptop na internets, smartphones etc, wawekeeni mipaka ya baadhi ya vitu ni muhimu sana, hata i hate kuzaliwa family yenye uwezo, imeniharibu[emoji26]
sasa nahitaji msaada wenu, im very serious katika hili, rafki zangu wanaoa, wengine wana watoto wazuri tu, na very serious relationships why not me? why sivutiwi na women? i hate this feelings, msaada wenu please najiskia vibaya,wazazi hawajui na kila cku wamauliza taoa lini nazuga tu, naondoaje hii hali, please help me guys nashindwa na nishafika 27 old now[emoji26], nipeni ushauri wenu tafanya na kufata kila ushauri , nishauri nifanye nini niache, nisaidieni please, sitaku haya na feelings, ni ushetani.
Natanguliza shukrani.
Pia nitakutumia links inbox kama hutajalishukrani, ngoja nitafute hilo somo online nijifunze zaidi