(Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

(Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

Status
Not open for further replies.
Ni vizuri kujua kama kibiologia upo vizuri, namasnisha urijali wako je upo vizuri ? Kwani wakati mwingine tatizo hili ni la kisaikolojia tu, wakati mwingine linatokana na maumbile ya kibiologia. Na je wewe huwa upande wa me au ke katika hayo mahusiano?
nakua upande wa KE ndio mbaya zaidi[emoji30]
 
Jambo moja hujaeleweka.

Unakaza au unakazwa? Au unafanya vyote? Je dude linasimama? Umefanya/fanyiwa kwa muda gani?

Ushajaribu kulala na mwanamke?

Unapiga nyeto? Unamiliki diliido?
yes, nshalala na dem na ilikua normal tu but nkilala na men nakua more comfortable aaghhh[emoji34]

Madem nakaza but men boyfriends wanankaza mimi, what a shame

Yes dude linasimama fresh japo kwenye sex na men kuna mda inalala
 
Jambo moja hujaeleweka.

Unakaza au unakazwa? Au unafanya vyote? Je dude linasimama? Umefanya/fanyiwa kwa muda gani?

Ushajaribu kulala na mwanamke?

Unapiga nyeto? Unamiliki diliido?
sijawah kutumia dildo hata kuishika cjawahi, hata kuiona sjawahi

nimefanya since standard 7 mwishon kwa mala ya kwanza, Mungu amlaani jamaa alinifanya first time, afu alikua bro wa rafki angu, yea ni hb sana alikua na madem anawagonga sana, but hiyo siku cjui aliwaza nini akanivuta[emoji46], tawaelezea ilikuaje ila dah watoto wapunguze mazoea na wanaowazidi umri aisee, cas wakiwa na nyege zao waneza kuharib watoto
 
imagine[emoji22], yani nkiwa ofisini akija mtu hb nachanganyikiwa, i feel good yani tamtake care as a manager, kila atachoomba tkua tu nasema yes, mbona nisiwe na hizo feelings kali kwa madem, why handsome men[emoji51]
 
Hebu niambieni, hizu feelings tulizonazo as human zinasababishwa na nini hasa? why men apende ladies? and why madem wapende boys, na why itokee wengine kama mimi kupenda same gender? this is crazy, Hizi hisia zangu inakuaje nkiona mwanaume mwenzangu hb nipate sex feelings kama wanazopataga ladies kwangu? whats wrong? nimejitahidi kuziondoa feelings kwa lazima nashindwa whyyy, sitaki kua hivi wazee
 
Duh, sasa nmezaliwa nmekuta parents wana uwezo wao na pesa zao, mi ningefanya aje mkuu? bora hata nngezliwa na maskini maybe nngekua normal, only God knows why
U seem to be something wrong on ur mind Sasa kuwa gay na kutoka Familiya yenye stable financially vinahusiana vipi?
 
Mkuu?
Now days kuna gebder za aina 3.

1. Male
2.Female
3.people with mental illiness

Brother?
Unadhani wewe upo kundi lipi hapo?
Au unataka kuwa kundi lipi hapo kati ya hayo matatu?
 
U seem to be something wrong on ur mind Sasa kuwa gay na kutoka Familiya yenye stable financially vinahusiana vipi?
i dont realy know inahusiana nini, but nlisoma coments kwenye thread ya bharka, wepo walosema it may be life style etc but im not sure
 
Mkuu?
Now days kuna gebder za aina 3.

1. Male
2.Female
3.people with mental illiness

Brother?
Unadhani wewe upo kundi lipi hapo?
Au unataka kuwa kundi lipi hapo kati ya hayo matatu?
duh, inafikirisha[emoji22], am i number 3? no way, mbona mambo mengine niko fresh tu had watu huniita genious, no way
 
1.You need to unlearn everthing.

2.you need to unleash your Devine superior masculine mode.

3. Activate your God mode

The thing is
Upo na feminine energy kubwa kuliko masculine enegy. Yaani una emit feminine enegy automatically unajikuta upo attracted to masculine energy hiyo ni nature haipingiki brother.

Usiwe balanced brother.

Jaribu sasa kuwa masculine.

Your aura need to be full of masculine energy brother. Inawezekana unaweza kuichange aura yako bro ikawa full of masculine energy.

Ni safari ndefu ila mimi naamini ni swala la wewe kuamua.

Activate your God mode brother
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom