Abdulrahman Kinana: Who is he?

kati ya biashara nyingi anazomiliki Kinana ni WIA, Internet providers. Aliwahi kuhusishwa pia na mipango ya ujenzi wa Waterfront City pale baada ya Selander Bridge
 
I believe that twenty years ago while trying to contest for a parliamentary seat in consituency in Arusha he got into some immigration trouble whereby he went underground to smoothen up things before reemerging in the roles he has been taking since 1995. I doubt whether he was born in Tanzania, I believe he is a naturalised citizen.
 
tatizo hapa ni KINANA THE MUSLIM


Hii nchi tunaipeleka wapi kwa nini tunapenda kujifunika na ngao ya dini .....i hate mtu kusema ...naonewa kwa sababu[dini! au Kabila!].....ni aina fulani ya inferiority complex syndrome ........mjadala uachwe uende mlikuwa mnaenda vema mnabishana kwa hoja.....ni nadra sana kukuta mtu anampiga madongo mtu just kwa sababu ya dini yake ....kama yupo naye hana hoja!!!

MYTAKE is as i said ...kinana ni mwanamkakati mzuri......wanamuita THE KING MAKER....ni dhahiri kuwa angestahili nafasi kubwa zaidi .....lakini mara zote maadui zake wa kisiasa wamekuwa wakimuhukuumu kwa historia ,ikidhaniwa kuwa baba yake alihamia pale arusha mtaa wa somali....[alipokulia]....kinana akiwa mtoto mdogo...ambaye hajaanza shule...ni dhahiri kuwa kama uhuru wa Tanganyika ulimkutia Tanganyika anakuwa raia.....lakini complication inaweza kuwepo kama hakutoka kwenye dola la uingereza[baada ya uhuru wale wote waliokuwapo hapa amabao ni wa dola ya uingereza ...automatically walikuwa na haki ya kuwa raia wa Tanganyika].......wanaomjuwa zaidi Kinana Na Baba yake ni wazee wa Arusha ....ambao mgogoro wake nao ulimfanya Kinana akaacha kugombea ubunge Arusha..pamoja na kuwa alikuwa anakubalika hadi sasa na ni kati ya watoto wa mjini pale........Kile kitendo cha yeye kuacha kugombea ubunge kilitafsiriwa na watu kuwa madai ya wazee wa arusha [hayatofautiani na ya wale wazee wa morogoro kwa mKulo]....ni ya kweli...so that was his political mistake which staginized his polictical career...ni baada ya hapo ndipo alipoenda kutuliza akili marekani na kusoma Harvard...kabla ya kurudi kumsaidia Mkapa kwenye kampeni mwaka 1995 na 2000....
 
70mainrd,
Shusha data mkuu maana wakiona kobe kainama wanadhani kalala. Huyu mtu anazo nyumba UK? Basi ni fisadi pia. Anika kila kitu maana hii ni saa ya ukombozi. TANZANIA tumedhumiwa saana, tunahitaji kujikomboa, ukijulikana ukweli ni ukombozi huo pia.

Words are, of course the most powerful drug used by mankind. Rudyard Kipling.
 
Inasikika toka muda mrefu maneno kwamba City Garden restaurant, na Paradise city hotel (pale posta mpya) zilizo chini ya paradise group zinamilikiwa na wasomali.

Huyu fisadi Kinana hawezi kuwa mmoja wa hao wanaomiliki?

Hawa kina paradise walikuja baadaye .....baba yake alikuwa waziri wa ulinzi ...kufika wakanunua kiwanda cha moro shoes ....[hakifanyi kazi kiliungua]....baadhi ya mitambo iliyookolewa ndio alianzishia hicho kiwanda cha Kigamboni.....pesa nyingine wamechuma hapa....

Kuna hisia zinazofanyiwa kazi kuwa mtandao wa wasomali wanaokamatwa kwenye malori hasa Bagamoyo ....wanakuja kwa mkono wa hawa wenzao waliotangulia....all in all hawa jamaa wana connection kubwa na ndio maana wanadaiwa kutafuta political power kupitia kwa wazawa wenye nasaba na kwao...manajuwa hawa wenzetu ni tofauti na sisi ambao tunaweza kumuamini yeyote....hawa kuaminiana wanaangalia nasaba....na hasa kooo!!
 

Mkuu
Usisahau kwamba wapo watu waliopewa misukosuko ya uraia japokuwa walikuwa watumishi waheshimika wa serikali kwa muda mrefu k.m kina Jenerali Ulimwengu, na wenzake. Kwa vile Kinana ni kibaraka watu wasimjadili?. Kuhusu kupokea wageni waarabu kumbukeni wakati wa Mwinyi Kinana alihusikaje na Loilondo scandal watanzania tunasahau haraka ndo maana tunachezewa mno.
 
Endelea Mkuu wa kazi ili tushangae zaidi maana huyu jamaa ninavyo msikia kila mahali kwenye issue yupo tupe mambo, Pia nasikia kuna mradi wa Land reclamation ambao unaandaliwa hapa Bongo na yeye nimesikia yumo, huyu anaweza kuwa mdudu katika ambaye anachangia ugumu wa maisha ya Mtanzania.


 
kukosa viti vingi na urais ndicho kiwaumacho,
kama tatizo amani kwani wanaochoma magari mwanza, nyumba lindi na tandika ni ccm, si ninyi wa upinzani, mmeshindwa mnatafuta sababu, na bado tutawaongoza sana, CCM Oyee1

ure sick person kindly seek medical attention.
 

Haa huyu waria kumbe jangili!!
 

Umezungumza sana na kwa JAZBA mbona hutupi ukweli kuwa faili lililovutwa na Mrema uhamiaji lilimdisqualify kugombea kwa kuwa siyo raia? Halafu unasema labda akijiunga na upinzani ndipo uraia wake utaulizwa hapo ni kweli unamfahamu Kinana siyo raia kama walivyowengi eg Mkullo.

Hayo maendeleo unayoyatafuta huyapati iwapo akina kinana umewakabidhi mfumo wetu wa uongozi na wapo wengi sana. Kwa hiyo usihofu kuwatambua hao wahamiaji na kuwatenga kwenye issue serious za nchi tena kama unakaa au unafahamu Arusha utakumbuka akina Kagame walivyoondoka usiku usiku kuwaacha wake (dada zetu) wakitanzania bila kujua wengine wakiwa na vichanga hospitani. Walikuwa kwenye nafasi nyeti sana nchini na wametuacha solemba. Hakuna mgeni atakaekujengea nchin yako

CCM wanatuchakachua kwa kuwatumia watu hawa kwa hiyo huyo Kinana wako hakubaliki na atapingwa tu na kubezwa ni Msomali period atawafaa CCM siyo nchi yetu si ulimwona akispin mambo wakati wa uchaguzi?.
 
wewe hujuwi kuwa kaskazini mashariki mwa kenya kuna wakenya ambao wanadamu za kisomali na kuwa katika serikali ni haki yao
unafikiri kwa " masaburi" na ww unachuki na waafrika wenzako wasomali ni waafrika kama ww jaribu kwua mkweli usione wivu wa tofauti ya nywele!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! na unafikiri kuwa si wenzako
wasomali sio wavivu kama ww mtumwa wa wazungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Adui wa waafrica ni waafrica wenzake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
wazungu mnawapa migodi na mchanga wake sikumoja tutwakabizi pia na wake zetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wacha kutetea jambo usilolijua.

Nadhani huwajui wasomali vizuri ukitaka kuwajua anzia kenya enzi ya utawala wa Mzee Moi aliwatoa ajira nyingi kwa raia wa Somalia kwasababu za kisiasa za wakati wake.Wasomali walipoingizwa jeshini wakaanza kupachikana kila sehemu nyeti kiasi kwamba imekuwa vigumu kuwadhiti.

Kenya imegeuka Somalia ndogo fedha haramu zimeingizwa kwenye uchumi.Wasomali wamefika mahali wakaanza kupinga maamuzi ya serekali ya Kenya mfano mzuri serekali ya Kenya ilipomkatalia kibali cha kuishi mjakaika gaidi Al Shabab wazua vurugu ya ajabu jijini Nairobi.
KAKA KENYA INAWAKENYA WENGI WENYE DAMU YA KISOMALI HII NIKUTOKANA NA GEOGRAFIA ANGLIA KASKAZINI MASHARIKI TATIZO NI UBAGUZI AMBAO MMRISISHWA NA WAARABU WA KUONA WAAFRICA WENZENU
WASOMALI SIO VITEGEMEZI NINAWAONA HUKU USA WALIVYOWAJASIRIAMALI NAWANAPEWA KILA AINA MAJINA MABAYA
 
Hana unalodhania bali mjamaa aaslia alie baki katika wanafunzi watiifu wa mwalimu!!!!!!!!!!!!
 
Hana unalodhania bali mjamaa aaslia alie baki katika wanafunzi watiifu wa mwalimu!!!!!!!!!!!!

Ha ha ha. Mjamaa kweli kweli. Huyu si ndio alipewa msaada na wafadhili wakati akiwa mbunge wa Arusha kwaajili ya wananchi wa Arusha. Badala yakusaidia wananchi wa Arusha yeye akafungua biashara ya "dry cleaners" kwaajili ya familia yake. Sikumbuki vizuri jina ya dry cleaners hizo lakini zilikuwa popular sana Arusha. Skendo hii ilikuwa kwenye baadhi ya local newspapers sijui ilikuja kuishia wapi. Sasa sijui huu ulikuwa ni ujamaa asilia pia.
 
<br />
<br />
Mzee kwani wewe ni msomali?mwarabu?fisado?au kada wa chama unaonekana una uchungu sana na kinana kulilo hata nchi yako
 
<br />
<br />
YAP MKUU UMENENA KWALI FAIL LA KINANA LILIPOTEA KATIKA MAZINGIRA YA UTATA IMMIGRATION HIYO MIAKA NA HUYU JAMAA NI MSOMALI PURE ILA WALIHAMIA TZ NA WAZAZI WAKE YEYE AKIWA MDOGO,
 
NDG YANGU FIKIRI MARA MBILI KENYA KUNA WAKENYA WENYE DAMU ZA KISOMALI AMBAO HATA LIGHA YAO SI KISOMALI KA WABORANA GHARE HAWA NI WAKEYA PIA KUA OGADEN AMBAO HATA ETHIOPIA WAPO HILI HALIWAZUII WAO KUWA SERIKALINI PI WASOMALI ASILI NI WAJASIRIA MALI NDIO MAANA WANAPATA MAENDELEO HARAKA
HII CHUKI YA WABONGO IMETOKAWAPI

CHUKI WACHUKIENI HAKI ZAO WAPEWE

:msela:
 
Na kwanini yu karibu sana na viongozi wakuu wa CCM?
 
Kinana duh kumbe yupo hai? Nilidhani kesha kufa!

Acha uzushi wewe!!! Kingunge bado anadunda ije kuwa Kinana ambaye kwa viwango vya chama chao bado ni kijana mbichi kabisa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…