Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 763
Na kwanini yu karibu sana na viongozi wakuu wa CCM?
Pesa za kampeni.
CCM wanataka mtu ambaye anaweza kutumia fedha zake wakati mwingine wanapoishiwa.
Na kwanini yu karibu sana na viongozi wakuu wa CCM?

Majuzi nimesikia kwamba Kinana alitinga kiwanjani kumpokea mwarabu mmoja mwekezaji wa Hotel za Kilinjaro zina jina jipya. Alikuwa kaongozana na wala rushwa waziri gani sijui yule.

Nimejiuliza Kinana ni nani kweney Serikali hadi aende upokea mwekezaji? Alienda kwa jina la CCM ama Serikali ? Kinana na issue yake ya Uraia iliishia wapi?

Nipeni mwelekeo kama kuna mwenye kulijua lolote hapa.

UPDATE: (August 2010)

The campaign director of President Benjamin Mkapa in the Tanzanian presidential contests of 1995 and 2000 was later elected speaker of the East Africa Legislative Assembly (EALA) before becoming the campaign director of President Jakaya Mrisho Kikwete in the Tanzanian presidential contests of year 2010.

A retired colonel who served as foreign minister and later defense minister under President Ali Hassan Mwinyi.

Abdulrahman Omari Kinana is a member of the national executive committee of the ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) party.

Born in the Arusha region in October 1951, Kinana did his primary and secondary studies in that city, before attending the Old Moshi Secondary School.

He was one of those responsible for the TANU party youth organization in the Korogwe district between 1971 and 1972, before following the teachings of the Kivukoni Ideological College in 1973.

From 1974 to 1985, he undertook a long career as a political commissar in several military schools, and from 1984 to 1985, at the 20th division of the Tanzania Peoples Defence Force (TPDF).

In the meantime, in 1984, he had graduated from the university of Ljubljana in Yugoslavia.

For a decade, he also served as MP in the Tanzanian parliament for the district of Arusha.

Abdulrahman Omari Kinana can also boast a master's in management and public administration from Harvard, and heads the Tanzania Red Cross Society, which is under the patronage of President Benjamin Mkapa.

kumbe jamaa njema upstairs hadi kasoma harvad.! Lakini kwanin haisaidii ccm yake??
alikua waziri kamili wa ulinzi.....hili liliwaudhi sana hata wakuu wa vyombo vya ulinzi...

tibwili nadhani kinana yuko dar ni kigogo anakula kwa mrija na ccm wanamwita thinker tank wao
Kumbe hata hao uhamiaji wanashughulikia watu ambao si si-siem pekeyake, lakini km ni si-siem wao wanaruhusiwa kuvunja sheria. Sasa hii ndo mbaya kuliko zote, yaani kwa vile ni si-siem basi basi makosa yako hayaonekani. Lakini wewe si ndo umesema unajua mpaka hospitali aliyozaliwa, kwani wakati akizaliwa ulikuwepo? na kama wazazi wake ni wa-tz kwanini kuwa na hofu? Elewa kuwa ukweli hujisimamia wenyewe!Kama hamumjui Kinana basi mimi namjuwa vizuri sana, mtaa na hospitali aliyozaliwa, Baba yake na mama ake wote ni wa TZ sasa kama nyinyi munaushahidi kuwa Kinana si raia basi thibitisheni hilo ili uhamiaji waweze kumshugulikia! lakini hilo haliwezekani kwani yeye ni kada damu wa CCM labda ajiunge na upinzani!
Huyu Kinana ni Msomali ambaye tumefichwa kuambiwa aliingaje Tanzania na kupewe madaraka mbalimbali ingawa inajulikana kabisa kuwa si mtanzania. Jamaa aliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha!
Huyu Muungwana yupo Dar, baada ya kuondoka kwenye Uspika wa EA, hivi sasa amebaki na Wadhifa wake wa muda mrefu wa Chairman wa Red Cross - Tanzania, akiwa na Katibu wake mkuu na rafikiye mkubwa Adam Kimbisa,pia yupo busy na biashara yake ya kufua nguo pale Namanga - Dar (Falcon).
Ni mjumbe ktk bodi mbalimbali na bado serikali inamtumia kwenye mambo mengi kwa sababu ya Umtandao wake!
Inawezekana kweli yupo Harvard lakini habari hiyo itakuwa mpya zaidi.
Kinana ni msomali amezaliwa AR kabla ya uhuru wa Tanganyika,baba yake na mama yake ni wasomali wanaojua huko kwao somalia na ndugu zao wapo somalia na mawasiliano yalikuwepo kabla ya uhuru,baada ya uhuru yeyote aliyekutwa humu nchini ambaye alikuwa na zaidi ya miaka 18 alikuwa mtanganyika sawia hakustahili kuomba uraia ila kinana wakati huo hakuwa na miaka 18 na alistahili kuomba uraia baada ya kutimiza miaka 18 jambo ambalo hakulifanya mpaka aliposhituliwa na Mrema wakati huo tayari alishapewa nyazifa nyingi humu nchini.na ikabidi aombe uraia kabla ya mambo kuharibika jambo hilo ndiyo lililomfanya asigombee ubunge AR pamoja na kuombwa sana mwenyewe alikataa baada ya kuona wangempaka na kumshushia hadhi.kumbuka kina jenerali ulimwengu walivyofanyiwa na wengine wengi hata mwenyekiti wa ccm kagera wakati huo jina silikumbuki,kiana kenya hasan alikuwa katibu mkuu na wengineo wengi kinana alifanya jambo hilo siri ili asiumbuliwe alikuwa muungwana,hata leo hii bado ana mawasiliano na ndugu zake huko somalia ingawa yeye ni mtanzania kwa kujiandikisha na siyo kuzaliwa