Hao labda walipiga 3someKumbe mke alikua na kazi ya maana tu, mke hajarogwa kweli!!!! Make huyo jamaa ana mauza uza kwakweli
Afadhali nimeachana na hiyo faniMganga mafia kinoma.
Ila mademu wanaliwa kizembe na waganga.
Weka vitu nifah kesho tutakua na mambo mengine si unajua nchi haipoi hiiBasi tufanye kesho au keshokutwa, hiyo ni fupi tu ila kaliiiii sio ndefu kama hii.
Ni hatari sio kidogo!
Bampa to bampa kama CCM na Chauma!Basi tuendelee….
Penzi lanoga, Menina aomba kurekodiwa!
Yes, amini usiamini penzi liliponoga Menina mwenyewe ndiye aliyeomba kurekodiwa na Mwijaku!
Kwa ushirikina huo aliokuwa akiuhusudu na kuamini ya kwamba Mwijaku ndiye anaendana naye nyota basi akazama mazima! Akaomba arekodiwe, Mwijaku hakusita kwa maana alishaona ni fursa ya upigaji na hakuwa akimpenda Menina… akamrekodi!
Mwijaku amtelekeza Mganga, Mganga ang’aka, apindua meza!
Umoja wa washirikina haudumu hakika! Mwijaku aliponogewa na penzi akamsahau Mganga, hakuwa akimkatia chochote wakati yeye ndiye mchora ramani!
Basi, Mganga akaamua kumwaga mboga baada ya Mwijaku kumwaga ugali. Akamweleza ukweli wa mambo ulivyokuwa Menina!
Menina kusikia hayo akaanza kumbadilikia Mwijaku, taratibu akajitoa kwake akawa na mganga na wakaoana kabisa!
Japo ndoa yao haikudumu kwa kipindi kirefu, na walibahatika kupata mtoto mmoja ambaye naye alifariki pia. Mengi yalisemwa maana mganga aliugua kipindi kirefu na Menina alimtelekeza hata msibani hakwenda. Tuyaache hayo sio sehemu yake leo, tuendelee…
Mwijaku acharuka, avujisha picha na video!
Baada ya Menina kujitoa kwa Mwijaku na kuwa na mganga mazima hadi kufunga ndoa, Mwijaku aliamua kutumia picha na video za utupu alizokuwa nazo za Menina kulipa kisasi.
Kwa kutambua kwamba kwao Menina kuna visenti sio haba, Mwijaku akawapa watu video wamtishe nazo atoe hela, Menina akatoa wakatulia.
Baada ya muda Mwijaku akawa anawapa wengine wanamtisha anatoa hela hivyo hivyo wanatulia. Ikaenda hivyo baada ya muda Menina akaona huu mchezo hauwezi kwisha, akaenda kuripoti Polisi!
Mwijaku atiwa mbaroni, Mke afukuzwa kazi UN!
Wengi walilichukulia lile sakata kiwepesi, lilikuwa zito sana! Kiasi lilimgharimu mkewe Mwijaku kazi yake nono huko UN!
UN hawana mchezo, walipojiridhisha pasi na shaka ni Mwijaku aliyehusika kumdhalilisha Menina walimtimua mkewe bila kumpa nafasi ya kumsikiliza!
Na kukosa huko kazi kwa mkewe ambaye ndiye alikuwa breadwinner wa familia ndipo Mwijaku alipoanza kujichetua ili apate fedha za kutunza familia.
Kwa aliyeko makini atagundua baada ya pale ndipo Mwijaku alipokuwa kama mwehu, alipitiliza yote ni kusaka mkate baada ya familia kuyumba kwa upumbavu wake.
Sakata hilo lilileta mtafaruku mkubwa katika familia hasa ya mkewe, Wachagga kuona ndugu yao kapoteza kazi UN na mbaya zaidi ndugu yao aliendelea kuwa na Mwijaku hata baada ya kupoteza kazi walichanganyikiwa! Hadi leo hawana mahusiano mazuri na Mwijaku!
Haya, mliokuwa mnahoji Mwijaku alipata wapi pesa za kuporomosha ule mjengo majibu mnayo, mkewe alikuwa UN! Na kwa kiasi kikubwa nyumba ile ina mkono wa mkewe zaidi yake yeye Mwijaku.
Chama kubwa chamkingia kifua Mwijaku, ashinda kesi kimazabe!
Jamani mkiona watu wanakuwa machawa sometimes waeleweni, bila chama kubwa hii kesi ilikuwa imemkalia vibaya Mwijaku. Pengine hadi hii leo angekuwa anaozea gerezani!
Naam, chama kubwa waliingilia kati kesi ikakosa nguvu hatimaye Mwijaku akashinda.
Wasalaam,
Nifah.
Hizi tunazitaka sana, hakuna kufunikq kombe kwanza mwanaharamu hayupoVipi mnataka kufahamu pia sakata la video za Mtumishi Irene Uwoya ilikuwaje au tufunike kombe?
Semeni nyie wenyewe, wengi watapewa.
Mimi siangaliagi hayo mavitu bobuu
Age is just a number 🤗Babu wewe ukishakula ule mzizi wala hata huruma hujionei…!! 😹😹
Muhimu babu yangu ulisongeshe, mwaga show..!! Ng’ombe hazeeki maini 🤣
Hii comment imenipoza, pm zakutosha unajua ni wateja wa mafriji kumbe watu wanataka connection 😂Hizi clip ninazo kule pm kuna member alinitumiaga kipindi kile, imebidi nikazicheki😂😂😂
Kama inawezekana niwekee hapoSasa nitakuwekeeni story kamili, tena katika namna ambayo usingeweza kuipata kokote.
Sasa hivi amechoka hadi huruma, sijui ni hili sakata bado linamtafuna? Ila kwa uzuri hakika amejaaliwa!
Thank you
View attachment 3343323
Naam, yeyote aliyeko ‘active’ kwenye mitandao ya kijamii anafahamu sakata lililotikisa nchi miaka kadhaa iliyopita ziliposambaa picha za utupu za mwigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya Menina Abdulkarim ‘Meninah’.
Chanzo ni yeye mwenyewe!
Kama kuna wanawake wanaopenda ndoa basi Menina ni kinara! Sifahamu hasa sababu ni malezi ya dini ya Kiislam aliyopatiwa (yanayoasa kuepuka zinaa) au ni yeye tu binafsi anapenda kuolewa, ila chanzo cha yote ni yeye Menina na kupenda kwake kuolewa!
Ilikuwa hivi, Menina alienda kwa mganga amfanyie dawa apate mume wa kuendana naye ki nyota. Mganga akala hela akaingia mzigoni…
Muda ulizidi kwenda bila Menina kuona ‘dalili’ za mume (ikumbukwe mpaka hapo Menina tayari alishaolewa na kuachika)
Mganga kuona Menina amechachamaa ndipo ikabidi amueleze Menina aongeze pesa zaidi ili amfanyie dawa ‘kubwa‘, Menina akaongeza pesa.
Mganga kuona suala limekuwa kubwa akamueleza rafiki yake ambaye ni Mwijaku. Mganga na Mwijaku wakakubaliana wamfanyie ‘chezo’ Menina…
Menina akaambiwa na mganga kuwa ifikapo saa 10 jioni atapigiwa simu, na huyo ndiye atakayekuwa mume wake. Kweli, kufika saa 10 Mwijaku ambaye tayari alishapangwa na Mganga akampigia simu Menina.
Menina kuona simu akalipuka kwa furaha kwa kuamini ni dawa zimefanya kazi, akachombezwa hakuchomoa. Safari ya penzi lililopelekea majuto na doa katika maisha yake ndio ikawa imeanza rasmi!
Menina ajisogeza kwa mke wa Mwijaku, ahamia nyumbani kwao!
Penzi lao (Menina na Mwijaku) liliponoga, huku Menina akiahidiwa kuolewa mke wa pili, walifanya mchezo hatari!
Kwa ustadi wa hali ya juu Menina alijenga ukaribu na mke wa Mwijaku. Ndani ya muda mfupi wakawa mashoga wa kutupwa!
Menina yote hayo ilikuwa mipango yake, lengo likiwa kuhamia nyumbani kwao (Mwijaku na mkewe!)
Menina ikabidi amlilie mke wa Mwijaku kwamba anapoishi kodi imeisha na hawezi kulipa ndani ya muda huo. Hivyo akaomba hifadhi kwa muda wakati akiweka mambo yake sawa, mke wa Mwijaku akakubali na Menina akahamia nyumbani kwao rasmi! Kosa kubwa!
Penzi lanoga ndani ya nyumba ya Mwijaku na mkewe!
Baada ya Menina kuhamia nyumbani kwa Mwijaku ikawa kama wameoana rasmi, pika na kupakua!
Mkewe alipokuwa anawahi kutoka asubuhi kuelekea kibaruani (UN) huku nyuma Menina akawa anahamia chumbani kwa Mwijaku na mkewe wanapeana maraha hadi muda wa Mwijaku kwenda kwenye kipindi (Enzi hizo Leo Tena, Clouds) ufike!
Ilikuwaje hadi kufikia hatua ya kurekodiana? Kwanini Mwijaku aliamua kuvujisha video na picha?
Itaendelea kesho, story ndefu hii.
Chanzo changu ni kile kile nyeti, na habari hii imewajia kwa udhamini mnono kutoka kwake Grahams
Nifah.
Soma muendelezo hapa
👇🏼👇🏼👇🏼
Post in thread 'A-Z Sakata la picha za utupu za Menina!'
A-Z Sakata la picha za utupu za Menina!
Hilo sio la kuuliza mai wangu...Vipi mnataka kufahamu pia sakata la video za Mtumishi Irene Uwoya ilikuwaje au tufunike kombe?
Semeni nyie wenyewe, wengi watapewa.
Calm down boy, nyuzi zipo kibao humu kama una stress move upUPUMBAVU MTUPU. YAANI HILO NDO LILITIKISA NCHI? TAFUTENI PESA. MSITAFUTE MAISHA YA WATU AMBAO HAWANA IMPACT KWETU
Calm down bitch. Hili ni jukwaa huru kila mtu ana uhuru kuchangia apendavyo. Kama una stress bend downCalm down boy, nyuzi zipo kibao humu kama una stress move up