A-Z Sakata la picha za utupu za Menina!

A-Z Sakata la picha za utupu za Menina!

Basi tuendelee….

Penzi lanoga, Menina aomba kurekodiwa!
Yes, amini usiamini penzi liliponoga Menina mwenyewe ndiye aliyeomba kurekodiwa na Mwijaku!

Kwa ushirikina huo aliokuwa akiuhusudu na kuamini ya kwamba Mwijaku ndiye anaendana naye nyota basi akazama mazima! Akaomba arekodiwe, Mwijaku hakusita kwa maana alishaona ni fursa ya upigaji na hakuwa akimpenda Menina… akamrekodi!

Mwijaku amtelekeza Mganga, Mganga ang’aka, apindua meza!
Ushirika wa washirikina haudumu hakika! Mwijaku aliponogewa na penzi akamsahau Mganga, hakuwa akimkatia chochote wakati yeye ndiye mchora ramani!

Basi, Mganga akaamua kumwaga mboga baada ya Mwijaku kumwaga ugali. Akamweleza ukweli wa mambo ulivyokuwa Menina!
Menina kusikia hayo akaanza kumbadilikia Mwijaku, taratibu akajitoa kwake akawa na mganga na wakaoana kabisa!

Japo ndoa yao haikudumu kwa kipindi kirefu, na walibahatika kupata mtoto mmoja ambaye naye alifariki pia. Mengi yalisemwa maana mganga aliugua kipindi kirefu na Menina alimtelekeza hata msibani hakwenda. Tuyaache hayo sio sehemu yake leo, tuendelee…

Mwijaku acharuka, avujisha picha na video!
Baada ya Menina kujitoa kwa Mwijaku na kuwa na mganga mazima hadi kufunga ndoa, Mwijaku aliamua kutumia picha na video za utupu alizokuwa nazo za Menina kulipa kisasi.

Kwa kutambua kwamba kwao Menina kuna visenti sio haba, Mwijaku akawapa watu video wamtishe nazo atoe hela, Menina akatoa wakatulia.

Baada ya muda Mwijaku akawa anawapa wengine wanamtisha anatoa hela hivyo hivyo wanatulia. Ikaenda hivyo baada ya muda Menina akaona huu mchezo hauwezi kwisha, akaenda kuripoti Polisi!

Mwijaku atiwa mbaroni, Mke afukuzwa kazi UN!
Wengi walilichukulia lile sakata kiwepesi, lilikuwa zito sana! Kiasi lilimgharimu mkewe Mwijaku kazi yake nono huko UN!

UN hawana mchezo, walipojiridhisha pasi na shaka ni Mwijaku aliyehusika kumdhalilisha Menina walimtimua mkewe bila kumpa nafasi ya kumsikiliza!

Na kukosa huko kazi kwa mkewe ambaye ndiye alikuwa breadwinner wa familia ndipo Mwijaku alipoanza kujichetua ili apate fedha za kutunza familia.

Kwa aliyeko makini atagundua baada ya pale ndipo Mwijaku alipokuwa kama mwehu, alipitiliza yote ni kusaka mkate baada ya familia kuyumba kwa upumbavu wake.

Sakata hilo lilileta mtafaruku mkubwa katika familia hasa ya mkewe, Wachagga kuona ndugu yao kapoteza kazi UN na mbaya zaidi ndugu yao aliendelea kuwa na Mwijaku hata baada ya kupoteza kazi walichanganyikiwa! Hadi leo hawana mahusiano mazuri na Mwijaku!

Haya, mliokuwa mnahoji Mwijaku alipata wapi pesa za kuporomosha ule mjengo majibu mnayo, mkewe alikuwa UN! Na kwa kiasi kikubwa nyumba ile ina mkono wa mkewe zaidi yake yeye Mwijaku.

Chama kubwa chamkingia kifua Mwijaku, ashinda kesi kimazabe!
Jamani mkiona watu wanakuwa machawa sometimes waeleweni, bila chama kubwa hii kesi ilikuwa imemkalia vibaya Mwijaku. Pengine hadi hii leo angekuwa anaozea gerezani!

Naam, chama kubwa waliingilia kati kesi ikakosa nguvu hatimaye Mwijaku akashinda.

Wasalaam,

Nifah.
 
Basi tuendelee….

Penzi lanoga, Menina aomba kurekodiwa!
Yes, amini usiamini penzi liliponoga Menina mwenyewe ndiye aliyeomba kurekodiwa na Mwijaku!

Kwa ushirikina huo aliokuwa akiuhusudu na kuamini ya kwamba Mwijaku ndiye anaendana naye nyota basi akazama mazima! Akaomba arekodiwe, Mwijaku hakusita kwa maana alishaona ni fursa ya upigaji na hakuwa akimpenda Menina… akamrekodi!

Mwijaku amtelekeza Mganga, Mganga ang’aka, apindua meza!
Umoja wa washirikina haudumu hakika! Mwijaku aliponogewa na penzi akamsahau Mganga, hakuwa akimkatia chochote wakati yeye ndiye mchora ramani!

Queen Kan
 
Kumbe mke alikua na kazi ya maana tu, mke hajarogwa kweli!!!! Make huyo jamaa ana mauza uza kwakweli
 
Kwa hiyo mwijaku akijichanganya kesi inaanza upya.
 
Kumbe mke alikua na kazi ya maana tu, mke hajarogwa kweli!!!! Make huyo jamaa ana mauza uza kwakweli
Yani huwa nikimuona mke wa Mwijaku nakasirika kama ndugu yangu vile.

Mwijaku sio tu mauzauza, ni mshenzi aliyepitiliza. Ila mkewe ndio haambiwi na anasemaga waziwazi kwenye ndoa yake hasikilizi mtu hata ndugu zake alishawaambia!

Alikuwa na kazi ya maana mnooo, hata sasa yuko vizuri japo haiwezi kufikia UN!
 
Kama hajarogwa basi anakuna vizuri sana..... Sababu ni hizo tu.
 
Back
Top Bottom