Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,398
Naam, yeyote aliyeko ‘active’ kwenye mitandao ya kijamii atakuwa anafahamu sakata lililotikisa nchi miaka kadhaa iliyopita ziliposambaa picha za utupu za mwigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya Menina Abdulkarim ‘Meninah’.
Chanzo ni yeye mwenyewe!
Kama kuna wanawake wanaopenda ndoa basi Menina ni kinara! Sifahamu hasa sababu ni malezi ya dini ya Kiislam aliyopatiwa (yanayoasa kuepuka zinaa) au ni yeye tu binafsi anapenda kuolewa, ila chanzo cha yote ni yeye Menina na kupenda kwake kuolewa!
Ilikuwa hivi, Menina alienda kwa mganga amfanyie dawa apate mume wa kuendana naye ki nyota. Mganga akala hela akaingia mzigoni…
Muda ulizidi kwenda bila Menina kuona ‘dalili’ za mume (ikumbukwe mpaka hapo Menina tayari alishaolewa na kuachika)
Mganga kuona Menina amechachamaa ndipo ikabidi amueleze Menina aongeze pesa zaidi ili amfanyie dawa ‘kubwa‘, Menina akaongeza pesa.
Mganga kuona suala limekuwa kubwa akamueleza rafiki yake ambaye ni Mwijaku. Mganga na Mwijaku wakakubaliana wamfanyie ‘chezo’ Menina…
Menina akaambiwa na mganga kuwa ifikapo saa 10 jioni atapigiwa simu, na huyo ndiye atakayekuwa mume wake. Kweli, kufika saa 10 Mwijaku ambaye tayari alishapangwa na Mganga akampigia simu Menina.
Menina kuona simu akalipuka kwa furaha kwa kuamini ni dawa zimefanya kazi, akachombezwa hakuchomoa. Safari ya penzi lililopelekea majuto na doa katika maisha yake ndio ikawa imeanza rasmi!
Menina ajisogeza kwa mke wa Mwijaku, ahamia nyumbani kwao!
Penzi lao (Menina na Mwijaku) liliponoga, huku Menina akiahidiwa kuolewa mke wa pili, walifanya mchezo hatari!
Kwa ustadi wa hali ya juu Menina alijenga ukaribu na mke wa Mwijaku. Ndani ya muda mfupi wakawa mashoga wa kutupwa!
Menina yote hayo ilikuwa mipango yake, lengo likiwa kuhamia nyumbani kwao (Mwijaku na mkewe!)
Menina ikabidi amlilie mke wa Mwijaku kwamba anapoishi kodi imeisha na hawezi kulipa ndani ya muda huo. Hivyo akaomba hifadhi kwa muda wakati akiweka mambo yake sawa, mke wa Mwijaku akakubali na Menina akahamia nyumbani kwao rasmi! Kosa kubwa!
Penzi lanoga ndani ya nyumba ya Mwijaku na mkewe!
Baada ya Menina kuhamia nyumbani kwa Mwijaku ikawa kama wameoana rasmi, pika na kupakua!
Mkewe alipokuwa anawahi kutoka asubuhi kuelekea kibaruani (UN) huku nyuma Menina akawa anahamia chumbani kwa Mwijaku na mkewe wanapeana maraha hadi muda wa Mwijaku kwenda kwenye kipindi (Enzi hizo Leo Tena, Clouds) ufike!
Ilikuwaje hadi kufikia hatua ya kurekodiana? Kwanini Mwijaku aliamua kuvujisha video na picha?
Itaendelea kesho, story ndefu hii.
Chanzo changu ni kile kile nyeti, na habari hii imewajia kwa udhamini mnono kutoka kwake Grahams
Nifah.
Soma muendelezo hapa
👇🏼👇🏼👇🏼
Post in thread 'A-Z Sakata la picha za utupu za Menina!'
A-Z Sakata la picha za utupu za Menina!