Na shetani lazima akupitie kweli, kutoka kusikia tawire mpakaHapo sasa itategemea na shetani atakavyonipitia..!!
Mimi siwezi kukishinda kiumbe kilichoshindana na Mungu 😹😹😹
Yani wewe jamani leo unanichekeshaaa.Halafu Mwijaku sijui ana dawa maana Watu wa kigoma nao si haba ukimuangalia kwa bure hafai wala kwa pesa ila matukio yake unabaki 😳
Akah!!!! Sitaki kuongeza dhambi mie 😂🤣Hi mpya kwangu ilikuwa lini 😁😁😁
Kwa kweli we kama hii ishu ya Wanafunzi jamanii imepotea kama upepo kwa kujitapa juu mshirikina yule 😬Yani wewe jamani leo unanichekeshaaa.
Sasa mtu umeshaambiwa ni rafiki wa mganga kuna maswali tena hapo?
Masudi kipanya sijui aliishia wapi kumnyoosha yule mropokaji.
Subiri ukishajua hii aliimaliza vipi utajiongeza kwenye hizo nyingine.Kwa kweli we kama hii ishu ya Wanafunzi jamanii imepotea kama upepo kwa kujitapa juu mshirikina yule 😬
Chale km kibao cha kashata 😹😹Itakuwa na ukute lile Wowowo lake linachale kama zote kifupi ni mwanga mno 😁😁
Oya Mwijaku wee nikuma, acha kujiteteaView attachment 3343323
Naam, yeyote aliyeko ‘active’ kwenye mitandao ya kijamii anafahamu sakata lililotikisa nchi miaka kadhaa iliyopita ziliposambaa picha za utupu za mwigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya Menina Abdulkarim ‘Meninah’.
Chanzo ni yeye mwenyewe!
Kama kuna wanawake wanaopenda ndoa basi Menina ni kinara! Sifahamu hasa sababu ni malezi ya dini ya Kiislam aliyopatiwa (yanayoasa kuepuka zinaa) au ni yeye tu binafsi anapenda kuolewa, ila chanzo cha yote ni yeye Menina na kupenda kwake kuolewa!
Ilikuwa hivi, Menina alienda kwa mganga amfanyie dawa apate mume wa kuendana naye kinyota. Mganga akala hela akaingia mzigoni…
Muda ulizidi kwenda bila Menina kuona ‘dalili’ za mume (ikumbukwe mpaka hapo Menina tayari alishaolewa na kuachika)
Mganga kuona Menina amechachamaa ndipo ikabidi amueleze Menina aongeze pesa zaidi ili amfanyie dawa ‘kubwa’, Menina akaongeza pesa.
Mganga kuona suala limekuwa kubwa akamueleza rafiki yake ambaye ni Mwijaku. Mganga na Mwijaku wakakubaliana wamfanyie ‘chezo’ Menina…
Menina akaambiwa na mganga kuwa ifikapo saa 10 jioni atapigiwa simu, na huyo ndiye atakayekuwa mume wake. Kweli, kufika saa 10 Mwijaku ambaye tayari alishapangwa na Mganga akampigia simu Menina.
Menina kuona simu akalipuka kwa furaha kwa kuamini ni dawa zimefanya kazi, akachombezwa hakuchomoa. Safari ya penzi lililopelekea majuto na doa katika maisha yake ndio ikawa imeanza rasmi!
Menina ajisogeza kwa mke wa Mwijaku, ahamia nyumbani kwao!
Penzi lao (Menina na Mwijaku) liliponoga, huku Menina akiahidiwa kuolewa mke wa pili, walifanya mchezo hatari!
Kwa ustadi wa hali ya juu Menina alijenga ukaribu na mke wa Mwijaku. Ndani ya muda mfupi wakawa mashoga wa kutupwa!
Menina yote hayo ilikuwa mipango yake, lengo likiwa kuhamia nyumbani kwao (Mwijaku na mkewe!)
Menina ikabidi amlilie mke wa Mwijaku kwamba anapoishi kodi imeisha na hawezi kulipa ndani ya muda huo. Hivyo akaomba hifadhi kwa muda wakati akiweka mambo yake sawa, mke wa Mwijaku akakubali na Menina akahamia nyumbani kwao rasmi! Kosa kubwa!
Penzi lanoga ndani ya nyumba ya Mwijaku na mkewe!
Baada ya Menina kuhamia nyumbani kwa Mwijaku ikawa kama wameoana rasmi, pika na kupakua!
Mkewe alikuwa anawahi kutoka asubuhi kuelekea kazini (UN) huku nyuma Menina akawa anahamia chumbani kwa Mwijaku na mkewe wanapeana vya kupeana hadi muda wa Mwijaku kwenda kwenye kipindi (Enzi hizo Leo Tena, Clouds) ufike!
Ilikuwaje hadi kufikia hatua ya kurekodiana? Kwanini Mwijaku aliamua kuvujisha videos na picha?
Itaendelea kesho, story ndefu hii.
Chanzo changu ni kile kile nyeti, na habari hii imewajia kwa udhamini mnono kutoka kwake Grahams
Nifah.
Inshallah kesho naomba uni tag 😍Jamani jamani! Naomba nilale sasa utaniua kwa vicheko 😂🙌🏾🙌🏾
Maka vijiti vyako unavyotumia vya wapi?Na shetani lazima akupitie kweli, kutoka kusikia tawire mpaka
"mganga hapo hapo,
tia yote, mganga ahsante, nakojoa, nakoja mganga, mganga miguu imechoma tuhamie kitandani, mganga usizamishe yote, kojoa tafadhali, mie nimechoka"
Sasa hapo ibilisi asikushawashi kweli.
Mkuu nitumie pm.Nipo nafatilia Kwa makini hii story yako huku nairudia kutazama ile connection yao
Kumbe alikuwa fundi wa kulamba ice cream za Azam 🙌
Mod yupo makini sana..kwenye huu Uzi....jichanganye!!View attachment 3343323
Naam, yeyote aliyeko ‘active’ kwenye mitandao ya kijamii anafahamu sakata lililotikisa nchi miaka kadhaa iliyopita ziliposambaa picha za utupu za mwigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya Menina Abdulkarim ‘Meninah’.
Chanzo ni yeye mwenyewe!
Kama kuna wanawake wanaopenda ndoa basi Menina ni kinara! Sifahamu hasa sababu ni malezi ya dini ya Kiislam aliyopatiwa (yanayoasa kuepuka zinaa) au ni yeye tu binafsi anapenda kuolewa, ila chanzo cha yote ni yeye Menina na kupenda kwake kuolewa!
Ilikuwa hivi, Menina alienda kwa mganga amfanyie dawa apate mume wa kuendana naye kinyota. Mganga akala hela akaingia mzigoni…
Muda ulizidi kwenda bila Menina kuona ‘dalili’ za mume (ikumbukwe mpaka hapo Menina tayari alishaolewa na kuachika)
Mganga kuona Menina amechachamaa ndipo ikabidi amueleze Menina aongeze pesa zaidi ili amfanyie dawa ‘kubwa’, Menina akaongeza pesa.
Mganga kuona suala limekuwa kubwa akamueleza rafiki yake ambaye ni Mwijaku. Mganga na Mwijaku wakakubaliana wamfanyie ‘chezo’ Menina…
Menina akaambiwa na mganga kuwa ifikapo saa 10 jioni atapigiwa simu, na huyo ndiye atakayekuwa mume wake. Kweli, kufika saa 10 Mwijaku ambaye tayari alishapangwa na Mganga akampigia simu Menina.
Menina kuona simu akalipuka kwa furaha kwa kuamini ni dawa zimefanya kazi, akachombezwa hakuchomoa. Safari ya penzi lililopelekea majuto na doa katika maisha yake ndio ikawa imeanza rasmi!
Menina ajisogeza kwa mke wa Mwijaku, ahamia nyumbani kwao!
Penzi lao (Menina na Mwijaku) liliponoga, huku Menina akiahidiwa kuolewa mke wa pili, walifanya mchezo hatari!
Kwa ustadi wa hali ya juu Menina alijenga ukaribu na mke wa Mwijaku. Ndani ya muda mfupi wakawa mashoga wa kutupwa!
Menina yote hayo ilikuwa mipango yake, lengo likiwa kuhamia nyumbani kwao (Mwijaku na mkewe!)
Menina ikabidi amlilie mke wa Mwijaku kwamba anapoishi kodi imeisha na hawezi kulipa ndani ya muda huo. Hivyo akaomba hifadhi kwa muda wakati akiweka mambo yake sawa, mke wa Mwijaku akakubali na Menina akahamia nyumbani kwao rasmi! Kosa kubwa!
Penzi lanoga ndani ya nyumba ya Mwijaku na mkewe!
Baada ya Menina kuhamia nyumbani kwa Mwijaku ikawa kama wameoana rasmi, pika na kupakua!
Mkewe alikuwa anawahi kutoka asubuhi kuelekea kazini (UN) huku nyuma Menina akawa anahamia chumbani kwa Mwijaku na mkewe wanapeana vya kupeana hadi muda wa Mwijaku kwenda kwenye kipindi (Enzi hizo Leo Tena, Clouds) ufike!
Ilikuwaje hadi kufikia hatua ya kurekodiana? Kwanini Mwijaku aliamua kuvujisha videos na picha?
Itaendelea kesho, story ndefu hii.
Chanzo changu ni kile kile nyeti, na habari hii imewajia kwa udhamini mnono kutoka kwake Grahams
Nifah.
Hivi nalima mwenyewe shambani mwangu, nalima at STP, mbolea, PH ya udongo vyote nazingatia, jua la asubuhi tu.Maka vijiti vyako unavyotumia vya wapi?
Hebu fanya kunifanyia deriver na mimi…😹😹😹
Fanya hivyo bana kwanini lakini wewe jamani?Ila zake waliovujisha waliipata. Baba yake yuko njema aliongea na wenye nchi fasta wakadakwa, hatari!
Sijui story yake hii nayo niwaletee?