A-Z Sakata la picha za utupu za Menina!

A-Z Sakata la picha za utupu za Menina!

Hii story niliipata nusu nusu Mjukuu lakini nilifanikiwa kuona connection yao

Niseme tu Kwa umbile na rangi ya huyo Meninah, hata kama nina umri huu wa miaka 79 ningemkabidhi Kadi yangu ya pension tu 😜
Sasa nitakuwekeeni story kamili, tena katika namna ambayo usingeweza kuipata kokote.

Sasa hivi amechoka hadi huruma, sijui ni hili sakata bado linamtafuna? Ila kwa uzuri hakika amejaaliwa!
 
Sasa bado hujajua, mganga anakuja kupindua meza huko mbeleni hatari na nusu.

Mganga alikuwa noma, kwa bahati mbaya hatunaye tena! RIP

Nakubali, wanawake washirikina ni chakula cha waganga.
Menina nampendaga sema Kwa hii story imemuonyesha ni mwanamke ndumilakuwili asie na Iman...alikuwa anajifanyaga mtu wa dini kupost mambo ya Quran. Na mawaidha ya kimaadili kumbe mtu wa tunguli cjapenda 🥲..
 
Menina nampendaga sema Kwa hii story imemuonyesha ni mwanamke ndumilakuwili asie na Iman...alikuwa anajifanyaga mtu wa dini kupost mambo ya Quran. Na mawaidha ya kimaadili kumbe mtu wa tunguli cjapenda 🥲..
Mi mwenyewe hii story nilipopewa nilishtuka sana, sikuamini!

Hadi mwishowe huruma niliyokuwa namuonea juu ya hizo videos na picha kuvuja ikaondoka! Alimtenda vibaya mwanamke mwenzie, nae yakamkuta.
 
Haji manara a.k.a Half american aki angalia video kwa makini😂😁
FB_IMG_17472442543970394.jpg
 
Back
Top Bottom