Njoon mpate mbuz wa foil hapa The Big L Pub.
Nko pande za mianzini, ushapita hapo???
nipo maeneo ya kiranyi wadau wa atown. Karibu na tank la maji.
mkuu karibu sana arusha ila arusha bado sana kuilinganisha dar..
Ooh, basi haikuwa bahati yetu kuonana! Hapo PRIDE ni karbu kabsa na nilipo, ucjal wakat mwingine ukiwa R'chuga tutatafutana!i wish sweetie ningeipata hii msg mapema maana nilifika hapo mianzini tawi la PRIDE nikawa nafuatilia ishu fulani
Mkuu, pale salon unapata huduma zote!....massage parlour ya ukweli ndani, na warembo wa kifo cha mtu!...halafu ninachowashangaa wale wadada ni wepesi sana kutoa contact zao kabla ya kuombwa, na kumwomba mtteja akienda tena hapo amtafute yeye tu(aliyemhudumia last tym)!...mkuu nilifika hapo mara 2 kula mbuzi. Wahudumu wako fasta sana na mbuzi ni watam sana. Jirani si pana ile saluni kali sana? Ile salun/barber shop sijaiona hapa dar
dawa yao unaenda na mamaa....mkuu, pale salon unapata huduma zote!....massage parlour ya ukweli ndani, na warembo wa kifo cha mtu!...halafu ninachowashangaa wale wadada ni wepesi sana kutoa contact zao kabla ya kuombwa, na kumwomba mtteja akienda tena hapo amtafute yeye tu(aliyemhudumia last tym)!...
yani nilitamani japo kupata muda wa kuingia ndani kunyoa ila ratiba ilikuwa tait sana. niliishia kuiona kwa nje. Kiujumla arusha pako bomba. Mkuu mnafaidi ila sema vitu ghali kweli hukoMkuu, pale salon unapata huduma zote!....massage parlour ya ukweli ndani, na warembo wa kifo cha mtu!...halafu ninachowashangaa wale wadada ni wepesi sana kutoa contact zao kabla ya kuombwa, na kumwomba mtteja akienda tena hapo amtafute yeye tu(aliyemhudumia last tym)!...
Sure mkuu!yani nilitamani japo kupata muda wa kuingia ndani kunyoa ila ratiba ilikuwa tait sana. niliishia kuiona kwa nje. Kiujumla arusha pako bomba. Mkuu mnafaidi ila sema vitu ghali kweli huko
utapata huduma mbovu dont try that....dawa yao unaenda na mamaa....
Sure mkuu!
Bei za vitu hasa madukani ziko kali sana...Viatu, nguo na articles za nyumbani havigusiki..., lakini ndo hivo tunakomaa!..Tukipata nafasi ya kuja Dar ndo tunarudi na mizigo ka wakimbizi! ha ha haaa!
Lakini usiogope kiongozi karibu!
Sure mkuu!
Bei za vitu hasa madukani ziko kali sana...Viatu, nguo na articles za nyumbani havigusiki..., lakini ndo hivo tunakomaa!..Tukipata nafasi ya kuja Dar ndo tunarudi na mizigo ka wakimbizi! ha ha haaa!
Lakini usiogope kiongozi karibu!
Yaani ungejua wala usingeenda Kericho...halafu wewe, w/end hii mbuzi kwa mrombooo, halafu useme hauji
halafu wewe, w/end hii mbuzi kwa mrombooo, halafu useme hauji
Ha ha haaa!mh! Pretta. Hiyo tone uliyotumia... Af kama nakuona vile
Ha ha haaa!
Kiongozi wetu nikupe makontakti nini!!:smile-big:
Hivi tunaongea yupo uBUNGO kIBANGU mitaa ya KAJIMA!...Unashuka RiverSide unakwea bodaboda, hadi pale juu..huyu hapa!
Yaani ungejua wala usingeenda Kericho...
Jana mambo yote ilikuwa ni AFRICANDO, si unajua squad letu?...Tuliharibu hapo mahala kwa WAMERUU balaa mbaya!...
Kwanza bora hukuwepo na ushambaushamba wako wa kutembea na bajaji usiku!
Mkuu, pale salon unapata huduma zote!....massage parlour ya ukweli ndani, na warembo wa kifo cha mtu!...halafu ninachowashangaa wale wadada ni wepesi sana kutoa contact zao kabla ya kuombwa, na kumwomba mtteja akienda tena hapo amtafute yeye tu(aliyemhudumia last tym)!...