A Town, R Chuga

A Town, R Chuga

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,260
Ni wk sasa niko Arusha kikazi zaidi. Sikujua jiji hili ni kubwa hivi. Mji mzuri na umejengeka kweli. Dar iko hati hati ya kupigwa chini na jiji la machalii. Club bomba, kuanzia triple A, masai club, babylon, club AQ n.k. Jana nilikuwa aq club. Hali ya hewa bomba. Arusha ni bomba sema tu vitu bei juu sana. Natamani kuwatafuta pj na preta ila muda ni unabana. Karibuni a town
 
Karibu wewe, sisi wenyeji. Ukrudi utokako wapelekee hz cfa za A'city ili na wao waje kupatembelea! Krb sn.

kumbe na wewe ni mwenyeji wangu? Unapatikana pande zipi unitoe tongotongo zilizosalia?
 
Aisee uko wapi nikualike japo dinner :A S 465::A S 465::A S 465:
 
karibu a cty kribu mianzini ule japo nohha (nguruwe) man
 
Eti wakuu R chuga ni mdudu gani, nasikia hili neno sana mtaani!!
 
mianzini duh!!mic home wajameni!mbona mnatutamanisha!!!!karibu sana sakina man!
 
Mkuu usiondoke kabla ya kupata kitu cha utumbo wa kuchoma mazee, kapate na samaki foil pale niks' pub njiro!
Halafu mtafute pj akupe kikombe, ni authorized dealer wa babu wa loliondo.
 
mkuu nimekusoma. Unanitamanisha tuu. Ila hili la pj nitalifanyia kaz maana lolilo mbali
 
Mkuu usiondoke kabla ya kupata kitu cha utumbo wa kuchoma mazee, kapate na samaki foil pale niks' pub njiro!
Halafu mtafute pj akupe kikombe, ni authorized dealer wa babu wa loliondo.

Kweli hii sio sehemu ya kukosa.....
karibu atown kwa wajanja!
 
nipo maeneo ya kiranyi wadau wa atown. Karibu na tank la maji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom