A shoulder to cry on | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A shoulder to cry on

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by muhanga, Aug 21, 2011.

 1. m

  muhanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kisa kilianza zaidi ya miaka 10 iliyopita, wawili hawa walikuwa wapenzi wakazaa mtoto lakini kutokana na 'external forces' hawakuoana. maisha yakaendelea kila mmoja akashika njia yake na sasa kila mmmoja ameoa/kuolewa na ana watoto wawili katika ndoa yake . lakini hawa watu wana kitu kimoja kinachofanana katika ndoa zao 'matatizo'. katika birthday party ya mtoto wao walijikuta wanakaa pamoja na kila mmoja akagundua kuwa mwenzie ana kitu kinamsumbua walipoamua kuambiana ukweli wakagundua wote wana matatizo makubwa katika ndoa zao.. mambo hayaendi sawa magomvi yasiyoisha, kutokuaminiana, kununiana na hata kufukuzana, kusuluishwa kila mara na hivyo ndoa zao hazina ladha. hapo ndipo mwanamume kwa ujasiri akatoa kauli " look baby.. am here... am a shoulder you can cry on... if you you need someone to talk to I will always be there for you!' maneno hayo yameibua hisia kali za mapenzi kati yao na wameanza kuwasiliana kwa kasi ya ajabu. huyu dada anasema amefika mahali anahisi uzalendo utamshinda na anaweza kujikuta wanarudiana na mpenzi wa zamani na mzazi mwenzie. ananiomba ushauri aamue vipi? mimi kabla ya kumpa jibu nimeona nililete hapa ili mnipe ushauri ili kupitia michango yenu niweze kumshauri vema.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  nionavyo hizi takwimu zinaashiria ya kuwa haya ni wewe mwenywe yamekusibu sasa yawaje usiwe mkweli.......................ile nukuu yaonyesha hii siyo simulizi ila ni wewe yalitoka kinywani mwako....................................kuwa muwazi nikupe ushuri nasaha..................
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hakuna ndoa hazina matatizo... hakuna ndoa zisizo na ups and downs na hakuna ndoa zisizo na madhaifu... Kitu ambacho wanandoa inatakiwa wajue ni kua yule mtu ambae unaishi na kushirikiana nae 24/7 ni lazima inafika wakati mwaweza chokana... lakini haimaanishi kua muachane for hata kama angekua ni mwingine hilo suala lazima liwakute... inaitwa "rut stage"... Unapokua katika hio stage epuka saana kua na mtu ambae mahusiano is possible for amini usiamini huyo huonekana ni bora kuliko mwenzo wako... for after all bado hamja explore-ana to the maximum na to the extent ya kuchokana. Ujanja ni kushinda hio stage na muweze rudi hali yenu ya awali... that is why it is called a marriage... hayo maeneo hamasishi na ni wanandoa (with different partners) na hali mmezaa.... it is not advisable.... For lazima mtafanya... na bora mfanye na m-revive Mapenzi na wenza wenu.. but sio mfanye na mnogewe... Itakua ulimbukeni....
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  the laws of God have been written in your heart and firmly locked in your soul........................that is what I call wisdom...............
   
 5. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wanatafuta tu saabu ya kufanya mapenzi, matatizo yapo tu na hutakiwi kuyakimbia
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  for the record: there is nothing like 'baby,im a shoulder u can cry on,anytime u need me i will be here blah blah' with a married person! yaani ukijidai unataka anytime to cry my friend kuna ratiba! unless the other person is an iddiot (sorry,namaanisha mpuuzi asiyejali ndoa yake hata kidogo ana-almost lala barabarani).
  kwa ushauri,kilichowafanya waachane mwanzo ni ukaribu,na wakiwa karibu tena watatengeneza bomu. its unfair ku-share matatizo yako ya ndoa na ex wako! kwani hawana watu wazima wa kuwashauri? aghhhrrr!
   
 7. Z

  Zedikaya Senior Member

  #7
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unavyoona ni vema kwako, kwani viongozi wengine wa dini wanaowaambia mvumiliane ktk shida na raha mbona wao hawajaingia ili tuwaone wakivumilia
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kama nawaona vile lol

  i bet wameshaanza ku do.....

  huku anajifanya nishauri please...lol
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hao ni dhahiri wamenogewa na kunogewa....lol
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Waachane na hao watu wao wanaowaletea matatizo na warudiane.
   
 11. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  wasiwasi wangu na huyo anaejifanya kupendana nae sasa ikitokea na yeye kachange?
   
 12. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  I can smell that one of them is still single ndio maana wameweza kuwa pamoja kwenye birthday. Haya mwambie ajaribu na huko afu utupe feed back. Na kilowafanya waachane at first place ni nini??? Kazi kweli kweli.
   
 13. m

  muhanga JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  RUTA sio mimi ambaye yamenikuta. mie mtu mzima ati kuachana na miaka yangu hii haitlipa hata kidogo, mkie nikiona vipi napita pita tu kubadili hali ya hewa then narudi zangu kwa mume wangu wa siku zote. hawa ni couples ambao wana kama miaka 7 kwenye ndoa yao. ukweil huyu binti yuko kwenye kasheshe kubwa sana na mumewe, mume hamthamini hata kidogo ni kipanga kuliko maelezo kulala nje kwake ni jambo la kawaid ila kulala nyumbani ndio kama kwa bahati! ukweli she is confused na ameshapoteza matumaini ya kuendelea na hiyo ndoa yake
   
 14. m

  muhanga JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kila mmoja kwa sas ana ndoa yake na watoto wawili huko waliko. waliachana kwa pressure za mzazi wa mume alikuwa hamtaki kbs huyu dada na mwanaume nae akakubaliana na mzazi wake, sasa anajuta
   
 15. m

  muhanga JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  God forbid, Kama wameanza watakuwa wendawazimu, mi sidhani ila kwa ujumla wameanza kwa kasi ya kutishia usalama wakiendelea hivi watashindwa kujicontroll
   
 16. m

  muhanga JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hata mie nilimweleza tangu mwanzo kwamba kosa la kwanza alilofanya ni kutoa nafasi ya mjadala kuhusu hali ya ndoa zao na x wake, tena mwanamume ndio alianza kulalamika kuhusu mkewe ndi na bibie nae akajimwaga, sasa wanataka kuanza kufarijiana. si rahisi watafute watu wazima wa familia yaoo wakawaeleza eti wanataka kuliwazana wakati wako kwenye mkatabawa wa ndoa, tena za kikristozile za kifo kitutenganishe!!! ndio maana anatuambia sie marafiki
   
Loading...