A real man wa kula naye bata:feedback

nikiwe

JF-Expert Member
Feb 4, 2013
775
345
Niliwah kuandika kuhusu kumpata mwenye sifa nilizohitaji kwenye sred ya awali ila wengi hawakuiona may be na hivyo kuendelea kuniPM.tulishakutana na so far mambo yako shwari, next month tutaelekea joburg naenda kikazi na yeye atanipa company.shukrani kwa wote mlio niPM its sad nafasi ilikuwa moja tu.
 
Hongera sana kwa feedback huo ndio uungwana, nahiyo inaleta moyo kuwa jukwaa letu linasaidia, kila la heri na mungu awatangulie huko hata kama ni jbug ya kisarawe.
 
Feedback nzuri sana,,,ila tutaaminije kuwa kweli umempata?.... kama mmoja alivyoshauri naye ajimwage kidogo tu kuwa ndie unaekula nae bata... ni mawazo yangu tu lakini.....
 
nishampata na tushapima wenzenu, mtabaki midungaembe hivyohivyo, ebu acheni kukisumbua king'asti changu, kireeembo halafu kina ela zake kama mimi, ful bata tu, chezeya toto ya mr Politician weye,ndani ya south hiyo next week.
 
nishampata na tushapima wenzenu, mtabaki midungaembe hivyohivyo, ebu acheni kukisumbua king'asti changu, kireeembo halafu kina ela zake kama mimi, ful bata tu, chezeya toto ya mr Politician weye,ndani ya south hiyo next week.
Uringe??!!
 
Tuwasiliane nikupe vitu, kuna miss Ludewa bahati nzuri sasa ni mjamzito, ila bado kuna kimoja tunakiita Kiredio kwakweli kinajua ku-care.
mzee hivyo vya kupewa vitu kutu kuna shem wako hapa nmemit nae anaitwa pquite mambo yetu yanaenda fresh we unataka kuniharibia kwa kuniletea shombo zenu.
 
Akikuboa ni PM, nshaskia kaharufu ka neema,mara tu safari kwa Mandiba,AKISHINDWA KAZI, let me be the runner up, si unajua tena wabongo tunavyopenda VYA MTEREMKO,:second:

Au kama vp ntaftie shosti wako anaeshangaashanga kama ulivyokua wewe lakini mambo yake yawe safi,MIMI NAPENDA SANA KITONGA.:A S 39:
 
Back
Top Bottom