A Night Date with a Man

A Night Date with a Man

😂😂😂 choku na kinuthia hawa wamevuka mipaka sasa, si ndio wamefanya trans,

Mie nafit kwa Noel au Frankie Maston. Au Rio Paul, Rehmtullah kiduchuu.
😂😂😂😂

Hongera kuwa na uzazi wa karibu mno
Boss wako ameamua aishi uhalisia wake, hope hayuko Bongo.
Alikuwa boss wangu miaka iliyopita ila sasa sio na yuko states, hayuko bongo
Ni mtu mzima, mtoto wake wa kiume yuko chuo hakosi miaka 57 hivi

jamaa kasema unanipga umbea nikasema isije kuwa anko T?

Kuna mpangaji wangu mmoja anaitwa juma chande nae ni popular unamjua?
Lazima mjuane
 
landa alifundishwa hivyo najuaje, nakumbuka nilikuwa na girl, aisee isingekuwa mamb yaliingiliana angekuwa mke sasa.
Yule kuna siku tunatoka posta miaka hiyo wakati naamza chuo. Gari daladala za posta zilikuwa za kugombania. Yule girl tuligombania vizuri kuja kwenye siti tunasukumana kuja kuangalia ni yeye, tena mke mtarajiwa. Haha now yuko marekani anasimea masters ya udaktari MD

Huyu niliyekuwa nae, wakati nakutana nae alinipisha nikae kwenye siti nilishangaa sana. Ikanidi nijifanye gentleman nimwambie kaa wewe
Huyo ndio type yako sasa 🤣🤣
Maisha hayawezi kuwa too serios, tunaenjoy while we can. Soon kunachwea
Kabisaa kwanza heshima ya kumpisha mtu ni wachache mno wanayo!
Acha ufala faza mwenyew🤣🤣🤣🤣
Aah umesema mwenyewe ushakuwa faza tulia basi🤣🤣
Haha mimi najua kabisa uko late 20s labda 28, 29 hivi.
Hmm umri wa dogo huo, shazeeka kabisa!
Nacheka eti umesahau
Ndioo😁
 
Huyo ndio type yako sasa 🤣🤣

Kabisaa kwanza heshima ya kumpisha mtu ni wachache mno wanayo!

Aah umesema mwenyewe ushakuwa faza tulia basi🤣🤣

Hmm umri wa dogo huo, shazeeka kabisa!

Ndioo😁
Sema unaona kwenye public transport jamaa kampakata mwanamke mahsllah kila mtu anakodoa

Unajiuliza wanashangaa au wanaona wivu.
Nakubaliana na wewe

Wewe katika maisha haya hakuna anayetaka kuwa alone, yani hata ukimpata ambae yuko too serious unaishi nae
The most important thing, you already said it unamjua na kumzoea

Wakati nakutana na wife alikuwa mnakaa let say living room. Mnaweza kaa 3 hrs hamjasemeshana. Unaweza sema ugomvi vile, story mpaka nianzishe mimi, mpaka leo yuko hivyo
Unazoea tu

Wakati huku unaona nyuzi watu wanaandika wake zao they talk too much🙂 unapata huyo huyo unapambana nae
 
Kwani unajali? Uchizi wenu ukiendana mnaishi sana..

Hmm mimi hapana!

Basi ni mkimya tu kama mpaka leo yupo hivyo! Bora ushazoea ungekutana na wasionyamaza tena ungeona kero kama kuna muda unahitaji utulivu!

Uweeh huyo ndo mzuri wanaongea mpaka uzoee kabisa!
 
Guys, nipo mji fulani hivi sasa mwenyeji wangu kwenye kazi nilipewa mkaka, ni wale wakaka mahandsome wanaojipenda, kucha zake zimekatwa kiutaalam sio zile za kung'atwa na meno, nywele zake fupi flani hivi, meno masafi meupe, ananukia muda wote, hanuki mdomo wala makwapa, hana ndevu,

First day tunakutanishwa nilimuona kabisa amenielewa hakuweza kuficha hisia zake, nikasema akijichanganya kunitongoza tu na kazi hana, lakini alikua mstaarabu mwenye heshima na uwoga ndani yake, mimi nikiwa kazini hua sina masikhara ni kazi kazi niliona kabisa anaenda na speed yangu, kila kitu kilikua kimenyooka, tukawa tunaelewana,

Ijumaa, nimerudi zangu ninapoishi baada ya mihangaiko ya siku nzima, nikapokea text yake, "samahani madam, nakupa pole kwa kazi za leo najua umechoka lakini usisahau kula..." nikajikuta natabasamu, nikamjibu pia "thanks, bado sijala, wewe umekula?", hapo ndio tulipoanza kuchat, nikasema hebu nimpe nafasi ya kumfahamu zaidi, basi chattings zikawa nyingi hadi tukafika kwenye kupata dinner, mpango ukapangwa tukakubaliana iwe siku inayofata yaani jumamosi mida ya saa moja usiku,

Jumamosi, nikajua nina a friendly dinner date, nikajiandaa vizuri alikua anakuja kunichukua nilipo twende pamoja, hapa nataka niweke sawa kwanini nilikubali kwenda nae dinner, licha ya usafi wake, ustaarabu wake lakini pia hana ndevu, yes huyu kijana wa miaka thelathini hana ndevu kabisaaaa, jamani sipendi ndevu mimi tena yakiwa yale yamejiotea hovyo hovyo kama mchicha pori yananitia kichefu chefuuu, mnyoe ndevu nyie wanaume wa humu ndani,

Tukafika hotel iliyokusudiwa, meza ilikua imeshaandaliwa kwa ajili yetu, huyu kijana alikua nervous sana ni wazi hakujiamini ila na mimi nilikosea kitu nilipendeza sanaaaaa yani nilivunja kabati labda ningevaa kawaida angepata hali ya kujiamini, hata hivyo nilifanya kazi kumuondolea huo uoga, nikawa namuuliza maswali anafunguka ni kijana smart sana na hana papara na maisha,
Baada ya kula msosi mzuri nikamwambia tubadilishe location, anipeleke sehemu yenye vibe tuachane na uzungu mwingi sie waswahili babu weee,

Tukaenda a night club hakukua na watu wengi sana sababu ilikua bado mapema, nikamuuliza nyimbo anazopenda akanitaji nikamfata DJ nikampa list ya nyimbo akaanza kuzipiga moja moja nikamwambia tucheze akawa anaona ona aibu baadae aibu ikaanza kumtoka akaanza kucheza, ulikua ni usiku mzuri sana, tulipata kampani zaidi ya marafiki, tulicheza, tulikunywa, tulikula, tulifurahi, mida ya saa sita usiku tukawa barabarani ananirudisha kwangu, akanisubiri nikaingia ndani na yeye akaondoka.

NB: Binafsi a date na Mwanamke ni amazing zaidi kuliko a date na Mwanaume, it was fun but it was not enough.
... 'Angenitongoza tu kazi hana'...

Wewe huyo huyo ... 'Binafsi a date na mwanamke ni amazing kuliko a date na mwanaume, it was fun but it was not enough'.

Tukueleweje sasa?

Ni kweli kwa usemi usemao "mwanamke hajui anachokitaka katika maisha yake"!
 
Kwani unajali? Uchizi wenu ukiendana mnaishi sana..

Hmm mimi hapana!

Basi ni mkimya tu kama mpaka leo yupo hivyo! Bora ushazoea ungekutana na wasionyamaza tena ungeona kero kama kuna muda unahitaji utulivu!

Uweeh huyo ndo mzuri wanaongea mpaka uzoee kabisa!
Seran, you always one of my favorite peeps on JF. And pleasure talking to you
But now its late and I have to go

Cont...conversation where we left off

Have a wonderful night, 🙂
 
Guys, nipo mji fulani hivi sasa mwenyeji wangu kwenye kazi nilipewa mkaka, ni wale wakaka mahandsome wanaojipenda, kucha zake zimekatwa kiutaalam sio zile za kung'atwa na meno, nywele zake fupi flani hivi, meno masafi meupe, ananukia muda wote, hanuki mdomo wala makwapa, hana ndevu,

First day tunakutanishwa nilimuona kabisa amenielewa hakuweza kuficha hisia zake, nikasema akijichanganya kunitongoza tu na kazi hana, lakini alikua mstaarabu mwenye heshima na uwoga ndani yake, mimi nikiwa kazini hua sina masikhara ni kazi kazi niliona kabisa anaenda na speed yangu, kila kitu kilikua kimenyooka, tukawa tunaelewana,

Ijumaa, nimerudi zangu ninapoishi baada ya mihangaiko ya siku nzima, nikapokea text yake, "samahani madam, nakupa pole kwa kazi za leo najua umechoka lakini usisahau kula..." nikajikuta natabasamu, nikamjibu pia "thanks, bado sijala, wewe umekula?", hapo ndio tulipoanza kuchat, nikasema hebu nimpe nafasi ya kumfahamu zaidi, basi chattings zikawa nyingi hadi tukafika kwenye kupata dinner, mpango ukapangwa tukakubaliana iwe siku inayofata yaani jumamosi mida ya saa moja usiku,

Jumamosi, nikajua nina a friendly dinner date, nikajiandaa vizuri alikua anakuja kunichukua nilipo twende pamoja, hapa nataka niweke sawa kwanini nilikubali kwenda nae dinner, licha ya usafi wake, ustaarabu wake lakini pia hana ndevu, yes huyu kijana wa miaka thelathini hana ndevu kabisaaaa, jamani sipendi ndevu mimi tena yakiwa yale yamejiotea hovyo hovyo kama mchicha pori yananitia kichefu chefuuu, mnyoe ndevu nyie wanaume wa humu ndani,

Tukafika hotel iliyokusudiwa, meza ilikua imeshaandaliwa kwa ajili yetu, huyu kijana alikua nervous sana ni wazi hakujiamini ila na mimi nilikosea kitu nilipendeza sanaaaaa yani nilivunja kabati labda ningevaa kawaida angepata hali ya kujiamini, hata hivyo nilifanya kazi kumuondolea huo uoga, nikawa namuuliza maswali anafunguka ni kijana smart sana na hana papara na maisha,
Baada ya kula msosi mzuri nikamwambia tubadilishe location, anipeleke sehemu yenye vibe tuachane na uzungu mwingi sie waswahili babu weee,

Tukaenda a night club hakukua na watu wengi sana sababu ilikua bado mapema, nikamuuliza nyimbo anazopenda akanitaji nikamfata DJ nikampa list ya nyimbo akaanza kuzipiga moja moja nikamwambia tucheze akawa anaona ona aibu baadae aibu ikaanza kumtoka akaanza kucheza, ulikua ni usiku mzuri sana, tulipata kampani zaidi ya marafiki, tulicheza, tulikunywa, tulikula, tulifurahi, mida ya saa sita usiku tukawa barabarani ananirudisha kwangu, akanisubiri nikaingia ndani na yeye akaondoka.

NB: Binafsi a date na Mwanamke ni amazing zaidi kuliko a date na Mwanaume, it was fun but it was not enough.
Unapiga miguu yote?

Unainjoi kusagana kuliko kutombana?
 
Seran, you always one of my favorite peeps on JF. And pleasure talking to you
But now its late and I have to go

Cont...conversation where we left off

Have a wonderful night, 🙂
Thanks ulale salama faza😎

Mimi mpaka kukuchee🤸🏽‍♂️
 
Alikuwa boss wangu miaka iliyopita ila sasa sio na yuko states, hayuko bongo
Ni mtu mzima, mtoto wake wa kiume yuko chuo hakosi miaka 57 hivi

jamaa kasema unanipga umbea nikasema isije kuwa anko T?

Kuna mpangaji wangu mmoja anaitwa juma chande nae ni popular unamjua?
Lazima mjuane
😂😂😂😂 huwa si engage na watu ambao hawako level zangu, naweza kumfahamu labda kwa kumuona huko mitandaoni picha zake labda.

Oooh boss wako yuko mambele huko, hiyo imekaa poa sana.
 
Nimesoma haraka docta nikijue mbele kuna scene ya kimasihara nianze kushangaa!!!!!

But kijana umemuelezea vizuri sana
Kuna kipande hakijamaliziwa,inaonekana Mwamba alitunukiwa mzeebabaa kusoma hujui hata picha huoni?

Kazi za usalama ni ngumu sana aisee yaani hadi noniliu ikibidi unatoa tu kmmq,🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom