A living reincarnation, rebirth..!

Both because they are all living entities in the spiritual realm
but there must be one thing among those is just a fiction or never happen and the other one is real and truly happening...right??

Mana kwa maelezo yako moja ni according to wanaoamini Mungu(rebirth) na ingine ni mlengo wa upande wa pili (reincarnation)...

kama sijakosea
 
Yes it's correct.... You are right but I am a muti believer... Whatever the case both two phenomenas have spiritual states
 
mkuu hii kitu ilinitokeaga mm nikiwa certificate chuo kimoja hivi lilikuwa somo la ujasiriamali, ticha aliuliza swali watu wakawa hawajibu kuna demu akanitumia sms kuwa "hilo swali utajibu ww na utapata maana nilipata maana leo nimeota utajibu swali darasani na kupigiwa makofi" nikamwambia haiwezi tokea maana mm sinaga tabia za kujibu au kuchangia mada darasani ila dk 5 hazikuisha ticha akanifata akasema nijibu na kweli nilipigiwa makofi ile sms nilipiga screen shot nikawa natafakari ila sikupataga jibu
 
haya ma deja vu mimi sikuizi ndio yanisumbua zaidi maana naweza kunena kitu halafu nikahisi nmewahi kunena kabla katika situation hiyo hiyo mpaka unakuta kichwa kina stuck kidogo
 
haya ma deja vu mimi sikuizi ndio yanisumbua zaidi maana naweza kunena kitu halafu nikahisi nmewahi kunena kabla katika situation hiyo hiyo mpaka unakuta kichwa kina stuck kidogo
Fanya meditation utatangua siri nyingi sana
 
Mkuu mshana..Mara nyingi Mimi nikijaribu kufnya meditation sehem ya paji la uso inaniuma sana na naamua kucha na inapelekea kichwa kuuma siku nzima, INA maan gani hii...napia mara nyingi huw nikihisi kitu huwa kinatokea kweli iko vipi pia na hii.
 
Mmh una shida ya shinikizo la moyo? Kuhusu kuhisi kitu na kikatokea kuna mahusiano na hii mada
 
Hali ambayo mimi inanitokea ni
Kufananishwa sana na watu.
Kwenda sehemu ngeni kabisa najiona kama nilishawahi kufika lakini kiuhalisia sijawahi kufika kabisa
Na pia kuwaza kitu kwenye fikRa zangu hasa mimi binafsi kinanitokea yaani mfano nikienda kufanya jambo lolote iwe mtihani , inteview; na huwa napataa majibu kabla hata hajatoka
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…