A living reincarnation, rebirth..!

Nimekusoma vizuri sana Mshana Jr lakn nina swali kidogo mkuu

Je mtu anapoamua kuuwa mtu kwa makusudi Je roho yake inakuwa imepotea kwa mda....maana kuna kipindi kule Bukoba kulikuwa kuna watu wanauwa watu lakn walikuwa wanadili na walevi tu.

Lakin siku walioyokamatwa wakahojiwa na Tiss walikili kosa na kusema kuwa walikuwa wanapigania dini yao kuwa usilam auruhusu unywaji wa Pombe .

Awo Jamaa wako watatu ...na sasa hivi wako Gerezan lakin wako humble sana na ni watu wakusali sana

Then sahv wanatumikia vifungo vya maisha vinne kwa makosa ya kuchoma makanisa...na bado wanauzuria mahakaman kwa kuwa bado wanakabiliwa na kesi za mauji 28
 
Katika maisha ogopa sana vitu vinavyohusika na roho imani na hisia... Unaweza pia kuita dini na mapenzi... Hivi vitu hivi shetani I mean kwa maana ya nguvu hasi amewekeza sana mtaa huo sasa ukikosea step kidogo tu.. Mawakala wake wanakubeba mzima mzima na kuharibu, kisha ukishamaliza wanajitenga nawe na akili kukurudi ila ukiwa tayari uneshaharibu
 
mshana. Mimi kuna kipindi niko high school wakati tumepiga kama miezi 3 hv alikuja msichana hapo shuleni alikuja kusoma kwa mda mfupi tu maana alikuwa anaenda sijui canada kwa masomo. But huyu dada kwenye ubongo wangu ni mtu nayemjua kabisa yaani sura yake ni kwamba labda nimeiona kwa muda sehemu ndo maana haijatoka kichwani CHA ajabu na yeye alikuwa anawaza kitu hiko hiko kwamba ananijua lakini hajui wapi tulikutana basi siku moja tukasalimiana tukaulizana kama wapi tumewahi kukutana.CHA ajabu kingine ni kuwa katika sehemu zote za maisha yake hajawahi kaa sehemu ambayo mimi nimekaa kabisa. But swali likabaki wapi TUMEKUTANA?? sababu sura yake ni mtu kabisa nayemfahamu. Mpaka anaondoka school hatukuwahi pata jibu. Mpaka leo hata sijui kitu gani hiki? Je tuliwahi ishi kwenye ulimwengu mwingine?
 
HUWA NAJIULIZA SANA KUHUSU NDOTO....
Kwamba kama roho inatoka moshi na kwenda dar (ndotoni) inakuwaje akili ifanye kazi hapa moshi wakati roho ipo dar?? AU AKILI NA ROHO NI VITU VIWILI TOFAUTI?
 
Je mada hii imejibu na kutatua kitendawili cha miaka na miaka!? May be reincarnation is real. . nimetumia MAY BE kwa sababu maalum
 
Katika maisha ogopa sana vitu vinavyohusika na roho imani na hisia... Unaweza pia kuita dini na mapenzi... Hivi vitu hivi shetani I mean kwa maana ya nguvu hasi amewekeza sana mtaa huo sasa ukikosea step kidogo tu.. Mawakala wake wanakubeba mzima mzima na kuharibu, kisha ukishamaliza wanajitenga nawe na akili kukurudi ila ukiwa tayari uneshaharibu
Kwaiyo unaweza tumia njia gani kujiokoa
 
Ni juzi tu hapa nimekutana na mtu ambaye nahisi kabisa namjua na tulikua na ukaribu lakini too bad hatukumbuki ni wapi tumekutana au tumewahi onana,hii ya tukio kutokea na kuhisi lilishawahi kutokea in past na kuhisi kama marudio yake ni kawaida sana kwangu imekuwa ,nahisi kuhitaji uelewa zaidi juu ya hili somo......
 
HUWA NAJIULIZA SANA KUHUSU NDOTO....
Kwamba kama roho inatoka moshi na kwenda dar (ndotoni) inakuwaje akili ifanye kazi hapa moshi wakati roho ipo dar?? AU AKILI NA ROHO NI VITU VIWILI TOFAUTI?
Chaji ya akili ni roho... Roho inaposafiri partial depart/disposal... Haiondoki kamili... Ni sawa na umeme wenye backup ya UPS?
Lakini vile vile roho sio solid form hivyo huweza kusafiri mamilioni ya mail wakati ikikuacha hapo ulipo... Sasa hivi unaweza kuwa unasoma ama kuandika lakini fikra zako ziko maybe Marekani
 
Kwaiyo unaweza tumia njia gani kujiokoa
Kuwa mtu wa tafakuri na kulinda moyo/roho yako kuliko kingine chochote kile
Kuwa na tafakuri kwenye fikra
Kuwa na tafakuri kwenye kunena
Kuwa na tafakuri kwenye kutenda
Kwa lolote uwazalo kunena ama kutenda pima na matokeo ya athari zake... Utajiokoa na mkono wa giza katika mengi
 
Ni juzi tu hapa nimekutana na mtu ambaye nahisi kabisa namjua na tulikua na ukaribu lakini too bad hatukumbuki ni wapi tumekutana au tumewahi onana,hii ya tukio kutokea na kuhisi lilishawahi kutokea in past na kuhisi kama marudio yake ni kawaida sana kwangu imekuwa ,nahisi kuhitaji uelewa zaidi juu ya hili somo......
Reincarnation a spiritual way of coming back.... Your past and present can determine your future reincarnation /rebirth... Memories unfolded in a very strange way
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom