Mama mimi nitawasikiliza maana naona hapa baba kaandika ngumu kumesaMme wangu utanielekeza chumban naona hapa akili haijakaa sawaa
Aya ya mwisho umenena vema sana hupingi wala hukubaliani bali unapenda kujifunza!!!!... Nakuhakikishia kwa njia hii utajifunza mengi sana kwakuwa huna mipaka na hujajifunga na nira za kiimaniMama mimi nitawasikiliza maana naona hapa baba kaandika ngumu kumesa
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kwakweli Mshana Jr kuna sababu nyuma ya ujumbe huu
niliwahi kujiuliza zile imani kabla a imani ya mzungu baba anakufa halafu watoto wanagombania kuondoka na baba
then anazikwa na ng'ombe na pombe na vitu kadhaa vya maisha ya kule after life
Nilipokuwa nasoma historia fulani nilishangaa sana kule korea,china,misri na nchi kadhaa nimesahau yaani akifa mtu kutoka katika familia ya kifalme ama cheif kutoka familia zile zenye nguvu basi anaweza kuzikwa hadi na watu kama 100 hivi.
Israel tu kuna kaburi alizikwa malkia na wanajesh kibao kama watwasi kama wote yaani ni kufuru mno
sasa ukijiuliza yote haya ni kabla ya dini ngeni walipata wapi imani hizi????/
always ni hoja ambazo siwezi kuzipinga wala kuzikubali ila huwa najifunza niweze kuzielewa ili kama akili itakuwa imeshiba basi nitajua nini ni nini
Asanthe Mshana Jr nikweli watu wengi wamefungwa mno na imaniAya ya mwisho umenena vema sana hupingi wala hukubaliani bali unapenda kujifunza!!!!... Nakuhakikishia kwa njia hii utajifunza mengi sana kwakuwa huna mipaka na hujajifunga na nira za kiimani
Asanthe Mshana Jr nikweli watu wengi wamefungwa mno na imani
Shida kubwa unakuta mtu ni sheikh(sijui kama nimeliandika sahihi) au mchungaji lakini elimu juu ya ulimwengu haielewi kabisa
side effect hawezi kufanya reference nzuri sasa ya mafundisho na uhalisia uliopo.
Niliwahi kutana na mtumishi mmoja hivi kuna jambo alifundisha kwakweli nilikuwa kidato cha kwanza wakati huo ila nikaona kabisa hapa katupeleka chaka waumini
Ila nilipokuja kumdodosa anasema roho mtakatifu nilicheka kimoyo moyo nakuondoka,
Nadhani kuna mambo ya Ufahamu na mambo ya kupokea japo wengi hata ya ufahamu wanayaweka makundi a kupokea.
Elimu ni elimu tu tumejifunza mwanadam asili yake ni nyani tumeyaacha shuleni hukohuko, ila ukileta hoa hizi utaonekana mdogo ake na ibilisi kabisaaa.
Let's learn because we need to teach others, and always the best learner naamini ndio the best teacher














Nakumbuka nikiwa ktk madarasa ya utambuzi mwalimu wangu (Adept) aliniambia mada hiyo ni ngumu kidogo kuweza mimi kuielewa tukaachia hapo na mbaya sikuendelea sana hizo ‘classes ‘ baada ya mbinyo mkubwa wa jamii yangu na tope zito la mambo ya mila, dini na tamaduni zetu ambazo hazitaki tutoke nje ya boxes na vitisho hapo vya laana ya jamii na wazazi
But still ‘ I’m spiritual seeker ‘ muda ukifika nitatoka tu ktk hii ‘cycle’ na nipate ‘ self realization ‘ /enlightenment












Ni nin maana ya hii picha mkuu maana kuuliza c ujinga
Hawa viongozi wa kidini wanatakiwa wajue namna ya ku-link mambo ya kiroho, kisayansi na hata kijamii kwa sababu kama kutatokea changamoto ambazo zinaibuliwa na watu kama Mshana Jr. na watu wakakosa back up ya maarifa ya waalimu wao (masheikh, wachungaji) inakuwa ni taabu kweli kweli.Asanthe Mshana Jr nikweli watu wengi wamefungwa mno na imani
Shida kubwa unakuta mtu ni sheikh(sijui kama nimeliandika sahihi) au mchungaji lakini elimu juu ya ulimwengu haielewi kabisa
side effect hawezi kufanya reference nzuri sasa ya mafundisho na uhalisia uliopo.
Niliwahi kutana na mtumishi mmoja hivi kuna jambo alifundisha kwakweli nilikuwa kidato cha kwanza wakati huo ila nikaona kabisa hapa katupeleka chaka waumini
Ila nilipokuja kumdodosa anasema roho mtakatifu nilicheka kimoyo moyo nakuondoka,
Nadhani kuna mambo ya Ufahamu na mambo ya kupokea japo wengi hata ya ufahamu wanayaweka makundi a kupokea.
Elimu ni elimu tu tumejifunza mwanadam asili yake ni nyani tumeyaacha shuleni hukohuko, ila ukileta hoa hizi utaonekana mdogo ake na ibilisi kabisaaa.
Let's learn because we need to teach others, and always the best learner naamini ndio the best teacher
Hawa viongozi wa kidini wanatakiwa wajue namna ya ku-link mambo ya kiroho, kisayansi na hata kijamii kwa sababu kama kutatokea changamoto ambazo zinaibuliwa na watu kama Mshana Jr. na watu wakakosa back up ya maarifa ya waalimu wao (masheikh, wachungaji) inakuwa ni taabu kweli kweli.





Sana MKuuu Umenena vyemaHawa viongozi wa kidini wanatakiwa wajue namna ya ku-link mambo ya kiroho, kisayansi na hata kijamii kwa sababu kama kutatokea changamoto ambazo zinaibuliwa na watu kama Mshana Jr. na watu wakakosa back up ya maarifa ya waalimu wao (masheikh, wachungaji) inakuwa ni taabu kweli kweli.
Hiyo kitu ilishawahi kunitokea mkuu Mshana Jr ingawa ni mda mrefu Sana umepita.
Ilikuwa ni mwaka 2005.Tulienda mbuga ya wanyama ya Manyara na wenzangu wakati tukiwa kidato Cha Kwanza.
Ilikuwa mchana mida ya saa tisa,kwenye mapumziko tukila chakula Cha mchana.
Sikujua ni kwa Nini au lini,lakini Kuna kumbukumbu zinakuja kuwa Haya mazingira nilishawahi kufika kabla.Sikumbuki nilikuwa Nani wakati huo,ila niliona Yale mazingira tuliyokuwa na wenzangu hayakuwa mageni kabisa(yaani Kama flash back flani hivi).Niliishia kujiuliza Maswali ambayo sikupata majibu kabisa.Sikuwahi kumwambia mtu.Niliyaacha hayo mawazo nikachukulia poa kabisa.
Ila Leo umenifungua kichwa mkuu.
Thanks Sana Mshana jr






















Mkuu hiyo ni kweli kabisa kwani kwa watu wengine unakuta anafanya kitu lakini anahisi kama hichi kitu amewahi kufanya japo hawezi kukumbuka ni wapi na ni lini japo ni kweli au mwingine roho yake inatoroka na kwenda kwenye matukio ya mbele na kuhifadhi kumbukumbu na baada ya muda yale matukio yanatokea vilevile kwa wale ambao tumeangalia filamu ya final destination tunafahamu hili.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Nimeshindwa kupata neno zuri la kichwa cha habari kitakachoendana na maudhui hivyo nimeamua kutumia hicho cha kiingereza.... Naomba radhi kwa watakaokwazika...!!!
Kabla sijaendelea naomba nitoe tafsiri ya reincarnation lakini pia nitoe na tafsiri ya rebirth (hizi zote kwa kiswahili ni kuzaliwa tena, ama kuzaliwa mara ya pili)
REINCARNATION ni mchakato wa kuzaliwa tena katika umbo la kiumbe hai kingine kutokana na matendo yako ya nyuma baada ya kufa.... Hii wanaitumia sana waamini wasioamini katika Mungu mmoja bali miungu... Kwao hakuna neno MSAMAHA... ukitenda baya utalipwa baya... Ukitenda jema utalipwa jema... Na hii hutokea ukiwa hai ama ukizaliwa TENA....!!!
REBIRTH ni mchakato wa kuzaliwa mara ya PILI lakini katika mwili ule ule ila likiwa ni tendo la kiroho zaidi... Hii hutumiwa sana na waamini wanaoamini katika Mungu mmoja na maisha ya peponi baada ya kifo kama ukitubu na maisha ya jehanum kama usipotubu na kuungama madhambi yako... Rebirth ni tendo la kuokoka kiroho....
Yote kwa yote kuna mstari mwembamba sana kati ya tafsiri hizi mbili rebirth na reincarnation... Moja ikiwa ni kuzaliwa tena na nyingine ikiwa ni kuzaliwa mara ya pili.... Moja ikiwa ni tendo la kiroho zaidi na nyingine ikiwa ni tendo la kimwili pamoja na kiroho... Mfanano wao ni kwamba zote ni imani!
Turejee kwenye mada yetu sasa..
Kuna usemi maarufu duniani kuwa dunia wawili wawili... Kwamba kuna watu wa kaliba tofauti kabisa.. Nchi tofauti kabisa au maeneo tofauti kabisa lakini wamefanana kama mayai... Naamini umeshawahi kusikia mtu akikwambia kuwa nimemuona mtu anafanana na wewe kabisa... Hii ndio living reincarnation ninayotaka kuijadili hapa
Swala la matunzo ya watoto waliotelekezwa na wazazi wa kiume pamoja na kwamba limekuwa la kisiasa zaidi.. Lakini kiroho lina tafsiri yake pana sana... Tafsiri ya kwamba hapa duniani sura yako si yako pekee mtatofautiana vingine kama kabila umri eneo nk lakini sura ni ile ile.... Kitendo kilichofanywa na baadhi kutaka kuthibitisha madai yao ni kuweka sura za watoto na wababa wanaotuhumiwa kuwa hao ni watoto wao....
Hiki ni kichekesho kwakuwa wengi hawajui kuhusu living reincarnation or rather rebirth... Kwamba kipimo pekee kinachoweza kuthibitisha uhusiano wa mzazi wa kiume na mtoto ni kipimo cha kupima damu cha DNA....!!! hiki ndio kipimo pekee chenye majibu sahihi vingine vyote ni vya kufikirika na kuhisi zaidi kuliko uhalisia....
Lakini vile vile ni mara ngapi huwa tunahisi kuwa sehemu ambayo wala hatujawahi kufika... Saa nyingine tumeona kwenye luninga, gazeti au mitandaoni... Au unafika mahali kwa mara ya kwanza lakini unakuwa na hisia kamili kuwa hapo mahali unapafahamu..
Roho zetu ni kitu kikubwa mno na kilicho huru.. Ni roho zetu hizi hutuhama nje ya ufahamu wetu na kwenda kuzurura kwenye ulimwengu wa roho na hata kuweza kuingia kwenye majumba roho ya mili mingine ama kupita sehemu ambazo hubeba kumbukumbu zake na kurudi nazo kwenye mwili asili..
Kumbukumbu hizo zikihifadhiwa kwenye ubongo hubaki na kutengeneza picha ya uhalisia usio timilifu... Hii hali hupelekea yafuatayo;
- Kukutana na mtu kwa mara ya kwanza lakini unahis kabisa si mara yenu ya kwanza kukutana.. Basi huishia kusema tu nimekufananisha.
- Kufika eneo kwa mara ya kwanza lakini ukiwa na fikra kuwa si mara ya kwanza... Jua roho ilikutoroka na kwenda yenyewe.
- Kufananishwa na mtu ambaye hamfahamiani kabisa na mko mbalimbali
- Kuwa na fikra ya kukaribia kutokea kitu fulani ambacho kiuhalisia hakijawahi kukutokea
Ulimwengu wa roho ni timilifu na huweza kufanya vitu nje ya utashi wa kawaida wa binadamu na kutuletea Kumbukumbu zisisotimia.... Na hii ndio living reincarnation au living rebirth katika uhalisia wake..
- Kufanya kitu kipya kabisa huku fikra zikikukumbusha kukifanya kitu hichohicho lakini bila kumbukumbu kamili
Mimi sina mtoto wa kusingiziwa.... Mkioneshwa yeyote tunafanana hata vitabia jueni tu ya kwamba hiyo ni michezo ya roho katika kuvinjari kwake!