A game

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Unaelezea jinsi kitendo kinavyofanyika. Anayefuata anataja jina la kitendo hicho, kisha naye anaelezea kitendo kingine kwa anayefuata kukitaja jina lake na kuendelea.
Mifano:
1.Kutoa sauti iliyopangiliwa kwa ustadi.
2.Kuimba.
Kutia chakula mdomoni kukitafuna na kukimeza.
3.Kula.
Kutoa mtoto mchanga tumboni. . . . .
 
Kuzaa.
Kutoa fedha kwa muuza duka na kupokea bidhaa . . .
 
....inategemea na choo,vingine mabomba yapo hukohuko chooni,kopo la nini?

Kitendo cha kuchukua kitu cha mtu mwingine bila ridhaa yake..
 
Lia...
Hufanywa na watengeneza vyungu kwa kutumia maji,udongo na mikono.
 
Samahani sana Wajad,mtu akitoa jibu la uongo inakuaje?mfano kuna mtu aliuliza,kuchanganya nguo,maji na sabuni Madame B akajibu ni kufua,that is a wrong answer,jibu ni loweka/kuloweka.Naomba mwongozo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom