A game

Samahani sana Wajad,mtu akitoa jibu la uongo inakuaje?mfano kuna mtu aliuliza,kuchanganya nguo,maji na sabuni Madame B akajibu ni kufua,that is a wrong answer,jibu ni loweka/kuloweka.Naomba mwongozo.

Mtu mwingine anaweza akajibu tena swali ambalo hakuridhika na jibu lilotolewa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom