A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

Utasikia kujikosha anajidai serikali itagharamia matibabu yake apelekwe India..... hiyo ni baada ya kuona huyo bwana hakufa..... Madaktari kataeni asimwone... kwanza kwa hali yake hatakiwi kuonana na watu...wanaweza kumsababishia ugonjwa zaidi.


Huyo Kikwete anaenda kufanya lini ??? Kuani ajajua kwa ametekua ??? na kama amejua amechukua measures gani ??? Anaenda sasa kuangalia kama issue imetimia au vipi ???
Kwa nini Daktari ambae anahatia, ana utajiri, ana nyumba wala pesa alifanyiwa hivyo ?? Tunasubiri kusikia KIKWETE atasema nini kuhusu tokea hili na hawa mapolisi anafanya utafiti kani wakati lazima wanajua mtandao zote ?? KWELI NCHI YETU HII NI YA UMAFIA. MUNGU AWABARIKI KWA TENDO HILI.

DR. WETU MUNGU AKUTETE UPONE.
 
Naona tusimtukane, bali tumuelimishe pengine ni ule ujinga uliofungwa ndani ya kichwa cha mtoto ambao hauondoki ila fimbo ya adhabu itauondolea mbali.
 
Madaktari hawapo katika kutetea huduma za afya wangekuwa wanatetea kuboreshwa huduma wasingekuwa wanagoma kuacha watu wafe. Wao wapo ki maslahi binafsi!

Maundumula tushakujua mlengo wako,mwanzo umeanza na jolly mara unakuja na madakitare,stick to the sredi inavyotaka kama haujui funga bakuli.
 
Dr.Uli,Mungu amekuwa upande wako,ninavyo jua msitu wa pande au nimakusudi ya Mungu kutoa ushaidi kamili,
i hope you get well soon.
 
Yap!! tena giza tororo!! ... But namqoute tena mdau mmoja aliyemqoute Gandhi!! ... Huwezi kuficha 3 things;Jua, Mwezi na Ukweli!! ... All will be known and avenged!

Thanks for good quote from Gandhi...nikawa najiuliza, hawa jamaa zangu wanasoma hata articles ndogo ndogo kweli? Mbona kama vichwa vyao vyote viko obsolete! Sasa hivi ni kama zimebaki story tu
 
Kimsingi hata kama ni Raisi hana exclusive rights kumwona mgonjwa kama; Daktari wa mgonjwa husika atakataa kwa idhini ya mgonjwa husika au mwanafamilia wa mgonjwa husika.
 
Madaktari hawapo katika kutetea huduma za afya wangekuwa wanatetea kuboreshwa huduma wasingekuwa wanagoma kuacha watu wafe. Wao wapo ki maslahi binafsi!
weredi kidogo unakusumbua, watabibu wanahitajika kwa afya yako ya ubongo.
 

Uko na shughuli gan inayokupelekea unalipa kodi? Na kama umeajiliwa je una uhakika kuwa unakatwa kodi? Na kama ww ni mfanya biashara ni kwel unalipa kodi ? Kwa sababu kuna watu hapa wanazungumzia kodi zetu wakati awana shughul inayowafanya walipe kodi na wale walipa kodi ndo kwanza wanawaonea huruma ma daktari huruma na ww usiye lipa kodi wajitia kujua kuwa madoctor wanatumia kodi zetu tambua kitu kitu hawa madoctor wana madai ya msingi ambayo yatakuwa ya maana kama serikali itayatekeleza na watakao faidika pia ni wagonjwa ambao wataenda kuhudumiwa na hao ma doctor watakaokuwa wameboreshewa mazingira yao ya kazi na kupewa vitendea kazi, nacho taka kukushauri ndugu kuwa na uzalendo na utambue hii nchi ni yetu sote na madoctor walipaswa kufanya kazi katika mazingira mazuri zaidi ya hapa kulingana na utajiri tulionao kwenye nchi yetu. Ni vitu ambavyo viko wazi na akuna swala la kujiuliza juu ya haya,
 

Mkuu hapo kwenye red sidhani kama kuna ukweli. Mimi ningekuwa Ulimboka ningekataa mtawala yoyote kuja kuniona. Ila kwasasa nadhani ni uamuzi wa Ulimboka mwenyewe. Get well soon Dr.
 
wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.
Msalimie Boflo, nasikia mlikuwa wote usiku kucha.
 
Anaenda kuona jinsi vijana wake wa kazi walivyo tekeleza waliyotumwa!
 
Wewe ndio amekutuma umetetee? yaani wewe ndio unamjua sana, kwani nani kasema ni mtu wa visasi?

Ukweli ndio huo kuwa mkweree ni mtu wa visasi na wakwere wenzie wa Msoga wanathibitisha hilo kuwa, kuwa na visasi huyu bwana amerithi toka kwa marehemu mama yake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…