tabu kuishi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 353
- 44
Acha kuonyesha ujinga wako kama hiyo serikali yako, wenyewe hawaaminiani nani atawaamini,kama kweli hao watu wapo wangeanza na serikali yao ambayo inasababisha kuwa na maisha magumu ambayo inapelekea mdr kugoma,wao kosa lao lipo wapi?kudai haki ya msingi?Inawezekana na wewe freemason umehusika?Wezi wakubwa mnataka siku zote watu waone cheupe cheusi,cheusi cheupe,watu wakiona sawa2 inakuwa tabu,sasa mwisho wa siku wamesaidia nini baada ya kumuumiza?ndugu zao wametibiwa pumba........................Wewe mvivu wa kufikiri, serikali haiwezi kufanya mbinu dhaifu kama hiyo, bila shaka system inawatu waliofundishwa kufanya hivyo kwa ustadi mkubwa na sio Tanzania tu, nchi zote duniani zina watu hao. Serikali haiwezi kumuua mtu na kuacha 'traces" rahisi hivyo. Kumbuka hawa madaktari wamesababisha watu wengi kufukuzwa kazi, wengi wamefiwa na ndugu zao wapendwa wakati wa mgomo, sasa kwanini hamkuanzia hapo. Unakurupuka na kuishtumu serikali, mawazo yaleyale ya chuki kama yakina Kijo Disimba. Usiwe mchovu wa kufikiri, tumia kichwa kuamua sio moyo
the highest VAPOUR of the day!madaktari.
Washenzi kabisa.
Pengine hawana dini ni 'makafiri'.
Mmepewa fani muhimu sana kwa maisha yetu kama wanadamu.
Mnapogoma kwa sababu ya madai yenu kwa serikali, hamtutendei haki watanzania, hasa sisi wa kipato duni tunaojazana kwenye hospitali zenu zenye huduma mbofu mbofu.
Eti mnagoma kuishinikiza serikali, hao wakubwa waa swrikalini wana uwezo wa kutibiwa popote hata kama msingekupo ninyi.
Kuna wapumbavu wengine wanalishabikia hili suala kisiasa, acheni hizo.
Fikiria kama wewe ndo ungekuwa pale na mgonjwa wako mahututi halafu unambiwa kuna mgomo..
Uzalendo unahitajika!
Mbona enzi ya mwalimu hakukuwa upuuzi huu?
Eti migomo inatokea wakati huu ambao wenye taaluma hiyo tunashudia wakiishi maisha ya kifahari.
Kuchagua fani hakuhalilishi wewe kufanya kazi kwenye kiyoyozi na meza za kuzunguka na mabeseni mazuri ya kujiosha mikono na vyumba vya chai wakati madaktari lazima wavunje migongo kuwahudumia wagonjwa chini kwa kukosa vizaziMadaktari waache Politics wakafanye kazi zao. Tulipokuwa tunasoma kila mtu alichagua njia yake ya maisha kwa sababu mbali mbali sitaki kuamini kwamba motivation yao ilikuwa ni mapesa tu!
Bora wewe umejitambulisha vzr kile unachofwaza na kutenda, ndio maana michango yako imekaa kijolly jolly tu, kutwa nzima unawaza jolly tu! unadhani na wengine wako hvy.Nasikia Dr Ulimboka alikuwa Jolly alipofikwa na maafa haya ni kweli?
Mkuu umenena maisha magumu ni kwa kila Mtanzania...kila taaluma ina umuhimu wake.Watanzania wote tuwalaani madaktari kwa kitendo chao cha kinyama
Hebu fikiria mama mzee, mlemavu wa kuona anaishi Tandika, mwanaye pekee anaye msaidia kwa kazi ya kuendesha boda boda kapata ajali pale machinjioni temeke. Dr Ulimboka kwa msaada wa wanaharakati wachache wanaotaka kuona malengo ya chama chao ya nchi isitawalike yakifanikiwa, anawachochea madaktari wasimhudumie huyu mtoto wa masikini na hivyo kusababisha kifo chake. Lazima alipie machungu haya LIWALO NA LIWE
Kwanza acha kuongelea habari kama hizo,asilimia kubwa ya ajali ni uzembe bara2ni acha wapate hiyo adhabu,kila mmoja angekuwa makini ajali zingetokea?mbona nchi za watu waliostaarabika hakuna ajali za holela kama kwetu,ujuaji umewazidi watu weusi utafikiri vyombo vya moto mnavitengeneza nyinyi,watengenezaji wanaviheshimu lakini nyinyi....kwa hiyo kisa huyo bibi ndo afanye madr waendelee kulipwa kidogo?tena yeye mtoto wake kama hajapata ajali anakusanya hela ya kutosha kwa siku,akatibiwe privateHebu fikiria mama mzee, mlemavu wa kuona anaishi Tandika, mwanaye pekee anaye msaidia kwa kazi ya kuendesha boda boda kapata ajali pale machinjioni temeke. Dr Ulimboka kwa msaada wa wanaharakati wachache wanaotaka kuona malengo ya chama chao ya nchi isitawalike yakifanikiwa, anawachochea madaktari wasimhudumie huyu mtoto wa masikini na hivyo kusababisha kifo chake. Lazima alipie machungu haya LIWALO NA LIWE
Anaendelea vizuri nimechart na jamaa yangu lhrc kaniambia jamaa anarecover ingawa kasema lengo la watekaji ilikuwa ni kuua na walijua wameua!!!!!!!!!!!ngoja nimcheki tena baada ya mida .
rais wa tano acha upuuzi wewe, kwani migomo mingine ikitokea watu hawaendi ATM? Au madaktari tu ndio hawapaswi kwenda kwenye ATM wakigoma.wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.
Hebu fikiria mama mzee, mlemavu wa kuona anaishi Tandika, mwanaye pekee anaye msaidia kwa kazi ya kuendesha boda boda kapata ajali pale machinjioni temeke. Dr Ulimboka kwa msaada wa wanaharakati wachache wanaotaka kuona malengo ya chama chao ya nchi isitawalike yakifanikiwa, anawachochea madaktari wasimhudumie huyu mtoto wa masikini na hivyo kusababisha kifo chake. Lazima alipie machungu haya LIWALO NA LIWE
Wewe amba siye kafiri na mwenye dini katibie wagonjwa,kwanza inavyoonyesha wewe ni mvivu wa kufanya kazi,kama umeajiriwa basi wanakuvumilia tumadaktari.
Washenzi kabisa.
Pengine hawana dini ni 'makafiri'.
Mmepewa fani muhimu sana kwa maisha yetu kama wanadamu.
Mnapogoma kwa sababu ya madai yenu kwa serikali, hamtutendei haki watanzania, hasa sisi wa kipato duni tunaojazana kwenye hospitali zenu zenye huduma mbofu mbofu.
Eti mnagoma kuishinikiza serikali, hao wakubwa waa swrikalini wana uwezo wa kutibiwa popote hata kama msingekupo ninyi.
Kuna wapumbavu wengine wanalishabikia hili suala kisiasa, acheni hizo.
Fikiria kama wewe ndo ungekuwa pale na mgonjwa wako mahututi halafu unambiwa kuna mgomo..
Uzalendo unahitajika!
Mbona enzi ya mwalimu hakukuwa upuuzi huu?
Eti migomo inatokea wakati huu ambao wenye taaluma hiyo tunashudia wakiishi maisha ya kifahari.
Mi niko tofauti kidogo. Mambo yaende kimyakimya message inasomwa vizuri sana. Kuandamana sawa, lakini serikali za miafrika zinachomekea maneno tofauti na kubadili maana. Sasa tunangojea manesi waweke silaha chini, wafamasia, maabara na kila mahali, walete wachina wao watibu mpaka kwenye zahanati, maana wanakubali kwamba tatizo lipo na pesa ipo lakini sio ya kuboreshea huduma za afya, ila kuwalipa wachina na yeyote kutoka nje ya nchi na au majeshi.Walidhamiria kumuua hawa.
Madaktari andamaneni juu ya ukatili dhidi ya Dr. Ulimboka
Wananchi tuandamane kudai huduma mahospitalini na
Wanaharakati wa haki za binadamu, andamaneni dhidi ya ukatili wa Dr. Ulimboka na ukosefu wa huduma kwa wananchi!
Ugua pole Dr.
Angekuwa na akili asingeweka mguu wake Muhimbili kumwona Dr.Ulimboka,possibility ya kummalizia haospitali ni kubwa zaidi.
Hivi wewe enzi za mwalimu viongozi walikuwa wakiishi hivi?au maisha yalikuwa hivi?mnajua kwamba kazi yao inarisk kubwa kuliko unavyofikiria wewe?madr na manesi wangapi wanaambukizwa magonjwamadaktari.
Washenzi kabisa.
Pengine hawana dini ni 'makafiri'.
Mmepewa fani muhimu sana kwa maisha yetu kama wanadamu.
Mnapogoma kwa sababu ya madai yenu kwa serikali, hamtutendei haki watanzania, hasa sisi wa kipato duni tunaojazana kwenye hospitali zenu zenye huduma mbofu mbofu.
Eti mnagoma kuishinikiza serikali, hao wakubwa waa swrikalini wana uwezo wa kutibiwa popote hata kama msingekupo ninyi.
Kuna wapumbavu wengine wanalishabikia hili suala kisiasa, acheni hizo.
Fikiria kama wewe ndo ungekuwa pale na mgonjwa wako mahututi halafu unambiwa kuna mgomo..
Uzalendo unahitajika!
Mbona enzi ya mwalimu hakukuwa upuuzi huu?
Eti migomo inatokea wakati huu ambao wenye taaluma hiyo tunashudia wakiishi maisha ya kifahari.
je una taarifa za hali ya Dr. ulimboka?