Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Hahhah kumbe muoga eenhYaani wewe ukiingia kila Bar watu wanakujua! Nikipata demu design hii hata wiki haipiti, natambaa!
Hahhah kumbe muoga eenhYaani wewe ukiingia kila Bar watu wanakujua! Nikipata demu design hii hata wiki haipiti, natambaa!
Acha nijiandae tu [emoji4][emoji4]Weekend hii Bucket moja ya Heineken kwako juu yangu.
Jibu unalijua.
Siendi kila bar kwanza. Kwingine naendaga tu ila kujulikana haikwepeki hata sehemu ambazo sijaenda kabisa siku nikienda lazima nikitane na mtu tunajuana. We hufai kutoka na mimi maana utanikimbia mezani ukiona navyosalimiana na watu [emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe ukiingia kila Bar watu wanakujua! Nikipata demu design hii hata wiki haipiti, natambaa!
Unaanzaje kwa mfano. Mi ndo maana siwezi kudate mwanaume Dar maaba maisha yangu yako huru sana. Halafu anaweza nikuta na watu akatetemeka bure kumbe mi marafiki zangu[emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna siku nilikaa sehemu akaha ex wangu na rafiki ake. Na walinikuta niko peke yangu ila rafiki ake alipanic kwanini ananiruhusu nikae sehemu zenye mafisi bila kujua wale mafisi hata kunitongoza hawawezi sababu ni washkaji sana.😀😀😀na kweli mlikuwa hamtongozeki.
heri yako wewe wengine wana watoto na bado mwendo ni uleule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bahati mbaya kati ya hao atakaokutana nao najuana nao ni ngumu sana kukutana hata na ex wangu sasa anaogopa nini jamani.Hahhah kumbe muoga eenh
rafiki alikuwa anahofu juu ya mali ya jamaa yake😀😀Unaanzaje kwa mfano. Mi ndo maana siwezi kudate mwanaume Dar maaba maisha yangu yako huru sana. Halafu anaweza nikuta na watu akatetemeka bure kumbe mi marafiki zangu[emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna siku nilikaa sehemu akaha ex wangu na rafiki ake. Na walinikuta niko peke yangu ila rafiki ake alipanic kwanini ananiruhusu nikae sehemu zenye mafisi bila kujua wale mafisi hata kunitongoza hawawezi sababu ni washkaji sana.
Eeeh. Alivyoambiwa aah wale hawana shida akaanza we huwajui wale. Hawafai. Hawakai na mwanamke kamribu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].rafiki alikuwa anahofu juu ya mali ya jamaa yake😀😀
😀😀😀Eeeh. Alivyoambiwa aah wale hawana shida akaanza we huwajui wale. Hawafai. Hawakai na mwanamke kamribu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
You see. Japo kuna wanawake kweli huwaweki karibu na baadhi ya watu maana hatabakisha hata mmoja. Sema RRONDO muoga sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hafai kukaa na mimi sehemu maana angekua bwana angenivunja miguu😀😀😀
ME wengi wana huo uwoga..
kama ndege ni wako ni wako tu! labda aamue mwenyewe kuwa wa wote
kweli kabisa.You see. Japo kuna wanawake kweli huwaweki karibu na baadhi ya watu maana hatabakisha hata mmoja. Sema RRONDO muoga sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hafai kukaa na mimi sehemu maana angekua bwana angenivunja miguu
oil=oilsA day spent well with my bloods..
Discussion in 'Jamii Photos' started by donlucchese, Yesterday at 9:49 P
Blood = bloods
milk = milks
water = waters
luggage = luggages
stationery = stationeries
Kuna kaukweli.kweli kabisa.
ila huwezi jua yeye kapitia yepi mpaka anakuwa na hiyo hofu
kabisaaKuna kaukweli.
hhahaahah, ahsante kwa kuongezea nyama nyamaoil=oils
soda=sodas
bange=bangez
Hahah yaan rrondo we ndio utakaemuweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bahati mbaya kati ya hao atakaokutana nao najuana nao ni ngumu sana kukutana hata na ex wangu sasa anaogopa nini jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hiyo ya kukukimbia mezani ukisalimiana na washkajiSiendi kila bar kwanza. Kwingine naendaga tu ila kujulikana haikwepeki hata sehemu ambazo sijaenda kabisa siku nikienda lazima nikitane na mtu tunajuana. We hufai kutoka na mimi maana utanikimbia mezani ukiona navyosalimiana na watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Haniwezi kwa uoga huo wakunyumba nikianza kusalimiwa si ataniacha bar huyu.Hahah yaan rrondo we ndio utakaemuweza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna muda nikienda sehemu sigeuki wala siendi washroom maana nitakutana na mtu na sitaki kumkera niliekaa nae.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hiyo ya kukukimbia mezani ukisalimiana na washkaji