MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,084
hahahaha shost nakugawa!kumbe unapenda pombe namna hyo!yan nimechekaNimetamani kutoka kitandani nikaonje hata moja.
hahahaha shost nakugawa!kumbe unapenda pombe namna hyo!yan nimechekaNimetamani kutoka kitandani nikaonje hata moja.
Yes ni two diff. Occasions mkuuMkuu mlipomaliza kula kiti moto
1.mlihama meza kutoka ya kioo hadi ya plastic
2.mlibadili bia kutoka heineken hadi windhoek
Naona Euro € 50/50 hapo hadi kuzimaliza hizo si mlitambaa?
haaaaaaaaahhHeineken jaman usinifanyie hivyo
Haahahahaa. Kwanza sasa hivi nimepunguza kunywa kabisa. Muda ule pale natamani Heineken za huyu kaka nilikuitwa naitwa Triple 7 ila nikamshinda shetani nikalalahahahaha shost nakugawa!kumbe unapenda pombe namna hyo!yan nimecheka
ohhhh !mie siwez fululiza kbs!hv hapa nilikunywa saturday hapanaweza kaa mwezi kbs!safi kupunguzaHaahahahaa. Kwanza sasa hivi nimepunguza kunywa kabisa. Muda ule pale natamani Heineken za huyu kaka nilikuitwa naitwa Triple 7 ila nikamshinda shetani nikalala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu mlipomaliza kula kiti moto
1.mlihama meza kutoka ya kioo hadi ya plastic
2.mlibadili bia kutoka heineken hadi windhoek
Naona Euro € 50/50 hapo hadi kuzimaliza hizo si mlitambaa?
Mi naweza kunywa kila siku aisee sema nisiwe na stress maana nikiwa na stress nalewa haraka halafu naweza fanya tukio litakalonifanya nisiguse pombe hata week 3. Sema muda kweli sijafanya tukio la pombe sababu sinywi mfululizo. Ingekua enzi zile sina kazi mbona saa hizi ndo ningekua namalizia malizia kunywa nilale [emoji23] [emoji23] [emoji23]ohhhh !mie siwez fululiza kbs!hv hapa nilikunywa saturday hapanaweza kaa mwezi kbs!safi kupunguza
Mi naweza kunywa kila siku aisee sema nisiwe na stress maana nikiwa na stress nalewa haraka halafu naweza fanya tukio litakalonifanya nisiguse pombe hata week 3. Sema muda kweli sijafanya tukio la pombe sababu sinywi mfululizo. Ingekua enzi zile sina kazi mbona saa hizi ndo ningekua namalizia malizia kunywa nilale [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Raha sana jamani. Kuna siku tulienda 777 saa saba usiku hapo tumetoka kwenye harusi tumeanza kunywa saa 2 sijui. Tulikaa 777 mpaka kesho yake saa kumi na moja jioni. Ikabidi tuchukue room regency kwa ajili ya kuoga na kubadilisha waliochoka wanalala kwenye gari. Yale maisha ngoja nitulie niyaanze yalikua matamuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]hhahahhahahaaaaa aisee raha sana
Usihukumu Mkuu, kuna tofauti kati ya mlevi na mnywajiWanawake walevi...
[emoji445]...baada ya hustling hustling sioni ajabu, kujimix na wanangu ndo zangu nisahau tabu...[emoji445] [emoji445] View attachment 714946View attachment 714947
Sio poa mwana,maana wengine hata Fanta hatuzioni usawa huu.🙂
Raha sana jamani. Kuna siku tulienda 777 saa saba usiku hapo tumetoka kwenye harusi tumeanza kunywa saa 2 sijui. Tulikaa 777 mpaka kesho yake saa kumi na moja jioni. Ikabidi tuchukue room regency kwa ajili ya kuoga na kubadilisha waliochoka wanalala kwenye gari. Yale maisha ngoja nitulie niyaanze yalikua matamuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli na miaka ndo inakimbia hivi wacha nimalizie maliziehahaha yafanye mama utayakumbuka ukiolewa
Kwani ni mdogo hivyo? 21-23?Kwa kweli na miaka ndo inakimbia hivi wacha nimalizie malizie
Niliowaambia hivyo wananielewa.Usihukumu Mkuu, kuna tofauti kati ya mlevi na mnywaji
Hapana nina 17-21Kwani ni mdogo hivyo? 21-23?
Dan utani was hivi niliwahi nyimwa papuchi wiki mbili MTU kanuna!..........ila alikua mlev kweli sasa,basi tu!Wanawake walevi...