A day spent well with my bloods..

A day spent well with my bloods..

bora wako mara 100
Hahhhaha wa kwangu naona kazidi nakumbuka miaka flani ilikuwa bday yangu sasa rafiki yangu wa kike kanipigia akaniambia nipo na shemeji yako namuaga aga nitachelewa kuja ngoja nimtume mdogo wangu wa kiume atangulie akuje nikamjibu sawa nikakata simu

Basi tupo kwenye sherehe yule mdogo wake kaja nikaenda kumsalimia kumkaribisha nikamfata mr huyu mdogoa akee flani ye anakuja badae kamtanguliza woiii akaniambia usiniletee uchizi kama umeleta bwana ako kijanja na party inaishia hapa hapa usitake nimwage kila kitu mwambie aondoke ikabidi nimfate mkaka wa watu naomba tu uende mr wangu haelewi chochote mwambie ney nampigia kumuelewesha aliondoka na party ikaendelea
 
Shunie umenichekesha jaman!dah hawa watu wanafanana sana sana jaman!
kuna kipindi tulikwaruzana akasema why huwa simuag napoenda town..siku moja nikawa na stress za kazin nikasema nna miaka 2 sijaenda sehem walau nisikize miziki lain!ila nikasema nikimuaga nikiwa home tu dakika 0 atakuwa hapa ashafika !
nikaondoka hm km saa 1 kasoro,kufika kule nikamwambia leo naham na kusikiza mizk na kucheza !nipo na fulan na fulan hotel fulan!hapo ndo tumeagza dompo na mashost zangu!jaman dk 4 nying ashafika !akanikol toka nje !nikamwambia njoo tu ndan!

shoga alifika pale haksalimia mtu akanionesha ishara ninyanyuke !nikajua labda leo ananihug!akanishika mkono hao kwenye gari !kifpi hata ile wine sikusip ht mara 3!jaman nilichukiaaa!eti kwann nakaa hapo!hapo wanajiuzaga blahblah kibao!jaman alinifedhehesha sana !

since then siagi na sisem nipo wap nipo radh kwenda kuomba radh maana anapenda huyo kuombwa radh pasi na sababu namjua hatakag kukaa na mashost !yaan chaa!

nashangaa kwa demi alikubali kukaa na ss!lol
 
Nyama chomeni io michuzi michuz ya kachumbari mnaishiaga kuchafua hewa
 
Hahahhaaa. Poleni jamani ila ndo ndoa mtafanyaje sasa.
 
Hahhhaha wa kwangu naona kazidi nakumbuka miaka flani ilikuwa bday yangu sasa rafiki yangu wa kike kanipigia akaniambia nipo na shemeji yako namuaga aga nitachelewa kuja ngoja nimtume mdogo wangu wa kiume atangulie akuje nikamjibu sawa nikakata simu

Basi tupo kwenye sherehe yule mdogo wake kaja nikaenda kumsalimia kumkaribisha nikamfata mr huyu mdogoa akee flani ye anakuja badae kamtanguliza woiii akaniambia usiniletee uchizi kama umeleta bwana ako kijanja na party inaishia hapa hapa usitake nimwage kila kitu mwambie aondoke ikabidi nimfate mkaka wa watu naomba tu uende mr wangu haelewi chochote mwambie ney nampigia kumuelewesha aliondoka na party ikaendelea
Bora alikuwa mstaarabu kidogo, wa kwangu ngumi zingepigwa na party ingeishia hapo
 
Shunie umenichekesha jaman!dah hawa watu wanafanana sana sana jaman!
kuna kipindi tulikwaruzana akasema why huwa simuag napoenda town..siku moja nikawa na stress za kazin nikasema nna miaka 2 sijaenda sehem walau nisikize miziki lain!ila nikasema nikimuaga nikiwa home tu dakika 0 atakuwa hapa ashafika !
nikaondoka hm km saa 1 kasoro,kufika kule nikamwambia leo naham na kusikiza mizk na kucheza !nipo na fulan na fulan hotel fulan!hapo ndo tumeagza dompo na mashost zangu!jaman dk 4 nying ashafika !akanikol toka nje !nikamwambia njoo tu ndan!

shoga alifika pale haksalimia mtu akanionesha ishara ninyanyuke !nikajua labda leo ananihug!akanishika mkono hao kwenye gari !kifpi hata ile wine sikusip ht mara 3!jaman nilichukiaaa!eti kwann nakaa hapo!hapo wanajiuzaga blahblah kibao!jaman alinifedhehesha sana !

since then siagi na sisem nipo wap nipo radh kwenda kuomba radh maana anapenda huyo kuombwa radh pasi na sababu namjua hatakag kukaa na mashost !yaan chaa!

nashangaa kwa demi alikubali kukaa na ss!lol
Jamaniii, basi mimi alinikubali.
 
Bongo kwakuoenda misosi na mambo ya matanuzi haijambo ,
 
Uwiiiiii wangu akiamua kukupa kipigo anapiga kuna siku nikajibebea nguo zote viatu vyoteee handbags zote akarudi kakuta nyumba nyeupe nilivyo muoga
Mi sijui siku ya kupiga hata kibao itakuaje. Sijui yani. Ntamuangushia kilio hatajarihu kunigusa tena.
 
Uwiiiiii wangu akiamua kukupa kipigo anapiga kuna siku nikajibebea nguo zote viatu vyoteee handbags zote akarudi kakuta nyumba nyeupe nilivyo muoga

hahahaha!!aisee wa kupiga hao wabaya.. mm aliwah nidunda siku 1 nasemaga mm nna mwili mzuri jaman!ila siku ile nilimisbehave !ahaha nilikuwa tungi la smirnof blak ice!anasemaga mbiti mm sitakuja kukupiga tena ntakuua!pyeeeeee
 
Back
Top Bottom