MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
yatamkuta kwa desgn nyingnMwache acheke tu![]()
yatamkuta kwa desgn nyingnMwache acheke tu![]()
Siku huyu akijua ID yangu ya jf nimekwishaaaaaaaa![]()
Acha kabisa shoga, akili zake nazijua miehaaaaaaaaaaaa ah mm woga huo shoga umenipita hv!jaman demi anamgwaya mumewe ahd naogopaga kumcheki !
Sio demi hata me jaman kwahiyo anajua upo jf yaan me anajua napenda sana jf naifatilia kama guest kuna siku tupo wote huku nafatilia jf nikamwambia baby nataka kujirejister jf niwe member weeeeeeh acha anitukane uwe member kwani hivyo hupati habari zinazoendelea jf au ndio unataka tena kuwa member ili mtongozane tu huko na umalaya eeenh ndio kujua huyu mtu hapendi niwe member woiiii acha nijirejister kimya kimya nikitoka nalog out nikiwa naye nafatilia kwa browser kama guesthaaaaaaaaaaaa ah mm woga huo shoga umenipita hv!jaman demi anamgwaya mumewe ahd naogopaga kumcheki !
Uwiiiiiii hauko peke yako mama tupo wengi nahisi na talaka itanihusuSiku huyu akijua ID yangu ya jf nimekwishaaaaaaaa![]()
Sio kumuogopa. Mtu mshamba unamuacha na ushamba wake. Staki kero!hhahh hv why unamuogopa hhvyo? tena mm ajuw tu
Ni heshima mbiti ya nini kushindana naye huku unamjuwa alivyohhahh hv why unamuogopa hhvyo? tena mm ajuw tu
Kweli kabisaSio kumuogopa. Mtu mshamba unamuacha na ushamba wake. Staki kero!
Bora wewe talaka tu. Mimi nitatolewa meno na macho, na itakuwa breaking news all over ze world!Uwiiiiiii hauko peke yako mama tupo wengi nahisi na talaka itanihusu
Sio demi hata me jaman kwahiyo anajua upo jf yaan me anajua napenda sana jf naifatilia kama guest kuna siku tupo wote huku nafatilia jf nikamwambia baby nataka kujirejister jf niwe member weeeeeeh acha anitukane uwe member kwani hivyo hupati habari zinazoendelea jf au ndio unataka tena kuwa member ili mtongozane tu huko na umalaya eeenh ndio kujua huyu mtu hapendi niwe member woiiii acha nijirejister kimya kimya nikitoka nalog out nikiwa naye nafatilia kwa browser kama guest
hhahahahaha aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !natakiwa nitathimin kwakwel!😵Bora wewe talaka tu. Mimi nitatolewa meno na macho, na itakuwa breaking news all over ze world!
Ahhahahha yaan me nawaza tu itakuwaje jamani yule mwanaume anaweza hata kuuuwaBora wewe talaka tu. Mimi nitatolewa meno na macho, na itakuwa breaking news all over ze world!
Hahahhaha wa kwako muelewa mama hawa wengine wanahisi kutongozwa tu ila sio mtu wa kufatilia jf angekuwa anafatilia angenibamba na hii avatar safari hiihhahhha mm naamka saa10 naingia jf ila namgeukia ! nikiona kituko namuamsha ananiambia toka hapa na chadema wenzako sijawah log out!jaman mm msipa wa woga sinaga!mrad simtkan akuu! ila akiingia leo hii au jana atanijua kwa avatar!yelewii polen!
Ahhahahha yaan me nawaza tu itakuwaje jamani yule mwanaume anaweza hata kuuuwa
Aisee, duh mbona wanafanana? Ukute mume wetu mmoja ha.haaaaaAhhahahha yaan me nawaza tu itakuwaje jamani yule mwanaume anaweza hata kuuuwa
Hahahhaha wa kwako muelewa mama hawa wengine wanahisi kutongozwa tu ila sio mtu wa kufatilia jf angekuwa anafatilia angenibamba na hii avatar safari hii
Aisee, duh mbona wanafanana? Ukute mume wetu mmoja ha.haaaaa




nimecheka sana jamani
Nakwambiaje wa kwako muelewa mamaduh!aise!mm jf ndo starehe yangu!amezuia kwenda starehe zoote sawa ila jf neva jaman
Mtata anakuruhusu kuwa mpaka jf huyo mpolempole !ila mtata
Atakufungisha ndoa ya lazima na Max nakwambiaSiku huyu akijua ID yangu ya jf nimekwishaaaaaaaa![]()




