Sasa si unaona, yani hadi nikuite
Ooh! jamani cjakusahau na wewe upo pale kwenye Wotewote... au ngoja nikuite Doppelganger, ila una jina gumuSijaitwa kwa jina,nimejing'ang'aniza tu kusikiliza hivyo hivyo! Price
Yeah...nimefurahi!Nzuri parapapapapa!Ooh! jamani cjakusahau na wewe upo pale kwenye Wotewote... au ngoja nikuite Doppelganger, ila una jina gumu
Chezea mimi wewe
naona aibu....Aaaaah! malizia jamani
jamani kujitahidi kote huko...
Inamaana hamkuiona au? ngoja niwaite mje mpige beat kwa mdomo.... Haya DEMBA, utafiti, Excel, miss neddy, Vaileth, miss chagga, kabanga, Mtambuzi, Blueband, kobun, conductor, lara 1, mwekundu, washa washa, Heaven on Earth, kwamtoro na wote wote come here