We ndo yule mpiga beat nini
napenda hiyo mimi!
We ndo yule mpiga beat nini
Inamaana hamkuiona au? ngoja niwaite mje mpige beat kwa mdomo.... Haya DEMBA, utafiti, Excel, miss neddy, Vaileth, miss chagga, kabanga, Mtambuzi, Blueband, kobun, conductor, lara 1, mwekundu, washa washa, Heaven on Earth, kwamtoro na wote wote come here
Vaa earphones usikie vizuuuuuuriiiiii.
pii pii popooooo...
mdada wewe Price wavijua vitu vitamu, yaonyesha nawe u....Acha tu nisimalizie!
nini....?nisifie...!Mhhhhhhhhhhhhhhhhh
nini....?nisifie...!
ah!binamu nimalizie nini?malizia tu binamu