99% ya power bank zote zilizopo sokoni Tanzania ni fake

Electronics accessories nyingi madukani ni za viwango vya chini ama fake kwa miaka hii, sio mouse, keyboard, USB hubs, chargers, Flash drives, pci cards, headphones, yani wafanya biashara wanaenda na mziki wa rahisi kwa faida kubwa. Kuna maduka ukiingia unaweza ukakagua duka zima na usikute bidhaa yeyote genuine, labda milango na grill maana hata wauzaji nao ni feki tu.
Na hili tatizo limekua sugu lipo kila upande ukienda maduka ya hardwares utasikitika, hawa TBS sijui wanafanya kazi gani. labda wameamua kubana matumizi kwa kupunguza baadhi ya majukumu yao muhimu kama haya ya kupambana na bidhaa feki.
 
Kumbe hili janga tunalo watu wengi eeh, mimi nina power bank aina ya samsung ukiichaji ndani ya 24 hrs utumie au usitumie inaisha charge bila hata kuchajisha simu!!
 

Yaan unachokifanya wewe ni sawa na wanandoa wawili wanazozana kuhusu kuzaa, mwanamke anapiga kelele kwamba mumewe hazalishi wakat huo huo anashindwa kuelewa kwamba inaezekana na mwenyew hana mayai. Kwa mantiki hiyo inaezekana simu au betri yako ndio fake, kwahiyo ukitumia kwenye power bank original utahis ufake tu.
 
Nunua simu yenye battery 4000 na kuendelea
 
ww lazima utakuwa unauza power bank fake na wakiluda kuja kubadilisha na hivyo ndivyo unavyo wajibu.
 
Umemaliza mkuu
 
Sasa xiaomi oroginal inapatikana wapi mkuu
 
ww lazima utakuwa unauza power bank fake na wakiluda kuja kubadilisha na hivyo ndivyo unavyo wajibu.

Hahahaha mkuu simo kabisa kwenye hizo biashara za simu wala powerbank ila naona jamaa anashupalia suala la powerbank wakat hata simu zinazokuja Tanzania asilimia kubwa ni fake, sasa kwanini asiiwazie japo na simu yake walau
 
Tupo tofauti.... ushawahi kujiuliza kwann hata vidole vya kwenye mkono wako mwenyewe havilingani??
 
Sorry,
Memory card card ni nzuri maana ninazo km 3 zote feki zinasumbua nataka nikatafute oeijino ya kuanzia GB 8
 
Mimi shanunua memory card zaidi ya 15 zoote ni kimeo yani nikitumia sku kadhaa tu zinakufa jaman naomba kama kuna mtu anajua sehemu wanakouza memory card nzuri anielekezee
Ww km mimi tu
Nimechoka
 
Nunua techo utaacha kutembea na mi powey bank boom j 8 yangu haina wenge kwenye chaji
kwa matumizi makubwa sidhani hata kama masaa 5 inatoboa hio, wewe ndio huna matumizi thats why inakaa na chaji sababu simu za mediatek ni vimeo sana kwenye chaji.
 
Sorry,
Memory card card ni nzuri maana ninazo km 3 zote feki zinasumbua nataka nikatafute oeijino ya kuanzia GB 8
class 10 uhs 1 au 3, brand yoyote kubwa iwe sandisk, samsung inafaa.

hio class huandikwa juu ya memory card na uhs huandikwa kama kialama cha U chenye namba moja au 3



ila ni za kutafuta sana, hasa hasa maduka ya camera ndio utazipata zinakuwa na adapter
 
Hiyo fast charging ndiyo original?
 
Nunua techo utaacha kutembea na mi powey bank boom j 8 yangu haina wenge kwenye chaji
Matumizi yako kiduchu mkuu. BOOM J8 ni 3000mah. Kwa watumiaji wakuu kama mimi haitoshi.Mimi kidogo simu yangu ina 4850mah.Kidogo inanivuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…