99.9% ya Wananchi wanamkubali Rais Samia Suluh Hassan

99.9% ya Wananchi wanamkubali Rais Samia Suluh Hassan

Pamoja na.mapungufu ya kila mwanadamu mmoja mmoja kwangu mimi bado tu naimani na nina mkubali Raisi wetu Mhe Samia Suluhu Hassan. Mungu azidi kumlinda na kumpa maono na utulivu zaidi. Kwa maendeleo ya Tanzania yetu[emoji1317][emoji1317]
Ameen,dua yako ikubaliwe.
 
Hapo Tanganyika, katika jiji la Tanganyika.

Huku Afrika ukiona kiongozi anategemea wapambe waonyeshe kuwa anapendwa, basi ujue ni kinyume chake. Na ushahidi ni ikifika kipindi cha uchaguzi utaona hujuma, wizi wa kura na uhayawani mwingine wa wazi ili kupata ushindi wa dhuluma.
 
Wananchi ndio wanaopenda ,Mh Rais wetu hakuna wapambe.Mfano hapo Kenya ni Afrika,Odinga alisema kaibiwa kura,kenda mahakamani,huko nako kashindwa.Kubiwa kura ni dhana potofu,inaokaa kichwani kwa asiyekubali kushindwa.
 
Hata mpewe usimamazi wa uchaguzi bado hamuwezi kupita maana hamuwezi kupata kura za wananchi, Nani awape kura? Kwa Sera na ajenda zipi mlizonazo? Mh Rais wetu Mama Samia Hana mpinzani Wala mtu wakuweza kushindana Naye kutoka huko upinzani

Kama ni hivyo, kipi kinawafanya muogope tume huru ya uchaguzi? Kenya hapo wamedhibitsha viongozi wanapatikana kihalali.
 
Kama ni hivyo, kipi kinawafanya muogope tume huru ya uchaguzi? Kenya hapo wamedhibitsha viongozi wanapatikana kihalali.
Ukiwa na fikira za kuibiwa,hata uwe tume ni wewe,utataka uwende mahakamani.Odings kaenda mahakamani,kwa kusema kaibiwa kura,nako pia kapigwa chini.
 
Nimetembea sehemu nyingi sana Tanzania, kwenye mikusanyiko ya watu wanampongeza Rais Samia kwa kuwa na uongozi thabiti. Mpaka jana, kulikuwa na maonyesha ya biashara ya kina mama wa kila kabila, kila dini na wa kila rangi. Maonyesho hayo yanaoitwa Women Galla.

Wanawake walileta mpaka vyakula wanavyouza mitaani(mama ntilie, huku wanaiwata mama lishe) na bidhaa mbalimbali nk. waliniambia tumefanya biashara tunamshukru Mungu, na tunamshukuru Mh. Rais Samia. Kina mama wajasiriamali waliniambia wapo hapo jana ikiwa ni siku 4 na pia wakamshukuru sana Meya wa mji huo kwa kuandaa tamasha hilo.

Na wakazi wa mji huo pia walifurahi nakusema ni ubinifu haujawahi kutokea, na kuwaletea wasanii wa Mama Kimbo, waliniambia huu ni ubunifu wa hali ya juu hasa kufanyika katikati ya mji. Vijana wengi pia walishukuru kwa kupata kazi ya usalama wa eneo husika, walipata ajira.

Pia vijana wa bodaboda, bajaji, guta ya pikipiki kwa wingi wao walishukuru sana kwa kupata abiria. Wenye maguta walikuwa wakipata bidhaa za wafanyabiashara. Bila kuwasahau wenye biashara ndogo ndogo na wenye michezo ya watoto kama magari ya watoto, mabembea nk. nao walishukuru sana.
 
Attachments

  • 448E5BC7-63AA-43CF-BA18-9D6AECCF034D.jpeg
    448E5BC7-63AA-43CF-BA18-9D6AECCF034D.jpeg
    29.7 KB · Views: 10
Kama ni hivyo, kipi kinawafanya muogope tume huru ya uchaguzi? Kenya hapo wamedhibitsha viongozi wanapatikana kihalali.
Huoni Odinga analalama huko unakosifia, pili lazima utambue kuwa mtu anachaguliwa na watu na kutangazwa na tume, Sasa nyinyi Nani atawachagua? Kwa Sera na ajenda zipi? Maana kwa Sasa hamna Sera Wala ajenda za kugusa maisha ya watu,

mh Rais wetu anakubalika kutokana na utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM yenye Mambo na vitu vinavyogusa maisha ya watu kutokana na Sera na ajenda nzuri zinazotokana na maoni ya watu na mahitaji yao
 
Ukiwa mvivu hutaki kufanyakazi,kila kitu utalaumu,ondoa uvivu,fanyakazi,utaacha kulaumu laumu.
Nyinyi ndiyo viumbe wavivu kuwahi kutokea hapa duniani! Maana maisha mnayoishi, hayana tofauti na yale maisha ya chawa.
 
Mimi sio simpendi Samia hapana .
Kwa maana samia hajaleta vita nchi ipo na amani na furaha mtoa mada asante kwa taarifa shida ipo hivi siku moja hao wamama watampiga mawe why yeye kaweka hilo tamasha ili ajue wanapata sh. Ngapi kwa mwezi awakate tozo kulinga na elfu tano wanayopata huyu mama hana huruma na wafanya biashara wowote uwe mkubwa au mdogo .

Halafu wananchi wanasema ni mmbaya na huku ni magufuli alianza na alimfundisha kutoza tozo na pia alihakikisha biashara nyingi kufungwa alizuia waeekezaji wawekeze na wandani aliwatoza hadi wakashindwa kuendelea .

Halafu mnasema mwokozi wenu kafa hupi huyo nahuku akifanya wengi presha jujuuu .

Mwacheni samia bhana hana huruma maana ameshazoeshwa kutoza watu .
Alieanza ni Magufuli halafu mnamsifu ni kiongozi mzuri labda kwa mapunguani tu kama nyie naangekuwepo chato ingekuwa kama zanibar ingewekwa kama moja ya nchi zingine mzee alijitafutia yeye na mkoa wake hadi majirani wanendesha prado halafu unasema alikuwa kiongozi mwema .

Nakukashifu huyu mama why hana huruma ukishaprogramiwa acha tu mtu anajenga mazoea na kuacha ni kazi .

Hakuna mwema duniani ndio maana ijumapili watu wanaungama .

So huu ujinga wakumuweka muweka mtu wenye kuishi maisha yake najitahidi alipo ni ujinga wanaume mmekuwa wenye wivu sana .

Kila wakati samia samia mbona sisi hatumsemi mwanaume yeyote aliyewahi kuwa raisi vibaya .
Good day.
 
Nimetembea sehemu nyingi sana Tanzania, kwenye mikusanyiko ya watu wanampongeza Rais Samia kwa kuwa na uongozi thabiti. Mpaka jana, kulikuwa na maonyesha ya biashara ya kina mama wa kila kabila, kila dini na wa kila rangi. Maonyesho hayo yanaoitwa Women Galla.

Wanawake walileta mpaka vyakula wanavyouza mitaani(mama ntilie, huku wanaiwata mama lishe) na bidhaa mbalimbali nk. waliniambia tumefanya biashara tunamshukru Mungu, na tunamshukuru Mh. Rais Samia. Kina mama wajasiriamali waliniambia wapo hapo jana ikiwa ni siku 4 na pia wakamshukuru sana Meya wa mji huo kwa kuandaa tamasha hilo.

Na wakazi wa mji huo pia walifurahi nakusema ni ubinifu haujawahi kutokea, na kuwaletea wasanii wa Mama Kimbo, waliniambia huu ni ubunifu wa hali ya juu hasa kufanyika katikati ya mji. Vijana wengi pia walishukuru kwa kupata kazi ya usalama wa eneo husika, walipata ajira.

Pia vijana wa bodaboda, bajaji, guta ya pikipiki kwa wingi wao walishukuru sana kwa kupata abiria. Wenye maguta walikuwa wakipata bidhaa za wafanyabiashara. Bila kuwasahau wenye biashara ndogo ndogo na wenye michezo ya watoto kama magari ya watoto, mabembea nk. nao walishukuru sana.

Ukweli ni kwamba kwenye nchi ya demokrasia ya kweli Raisi awezi kukubaliwa kwa 90% au kukataliwa kwa 90%. Hivyo mwandishi umeandika bila kujua mambo au una hakiki sisi bado hatuna demokrasia
 
Huoni Odinga analalama huko unakosifia, pili lazima utambue kuwa mtu anachaguliwa na watu na kutangazwa na tume, Sasa nyinyi Nani atawachagua? Kwa Sera na ajenda zipi? Maana kwa Sasa hamna Sera Wala ajenda za kugusa maisha ya watu,

mh Rais wetu anakubalika kutokana na utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM yenye Mambo na vitu vinavyogusa maisha ya watu kutokana na Sera na ajenda nzuri zinazotokana na maoni ya watu na mahitaji yao

Hakuna hata mtu ana muda na hicho chama kichovu, na huo utapeli wa sera sijui nini. Viongozi nchi hii wanachaguliwa kwa haiba na sio hizo hadithi za sera. Ingekuwa mshindi anapatikana kwa sera nchi hii, leo hii tungekuwa na tume huru ya uchaguzi. Kenya, Zambia nk viongozi ndio wanachaguliwa kwa sera. Ila kwa kuwa we ni Mzee huwezi kuelewa hili
 
Back
Top Bottom