99.9% ya Wananchi wanamkubali Rais Samia Suluh Hassan

A
Lucas mwashambwa nakubaliana na wewe kabisa....tena kwa sasa ni asilimia 100. Hakuna anayepinga. Halafu pia usisahau kuweka na zile data tulikubaliana kuzisambaza. Safi sana... Tuwazime hawa wapinzani....

Zile tulizopewa juzi juzi hapa Lumumba umezisahau? Na IDs sasa uwe unachagua moja....maana unatumia zote kiasi sometimes tutaonekana tunachanganya Kikwajuni One .mi huwa nashauri unaamua week hii unatumia Id hii nyingine id nyingine.
Acha unafiki wako hapa na akili ya kitoto
 
Huku Afrika ukiona kiongozi anategemea wapambe waonyeshe kuwa anapendwa, basi ujue ni kinyume chake. Na ushahidi ni ikifika kipindi cha uchaguzi utaona hujuma, wizi wa kura na uhayawani mwingine wa wazi ili kupata ushindi wa dhuluma.
Kazi za mama zipo wazi na zinaonekana wazi kwa mtu asiyejipa ukipofu, kazi za mama zimegusa maisha ya wengi, Angalia namna suala la mbolea za Ruzuku namna zilivyogusa wakulima secta ambayo imeajiri mamillioni ya watanzania nchini

Angalia Ni kundi gani ambalo ukienda utakuta halijaguswa kiutendaji na mh Rais wetu? Kila sehemu mh Rais wetu kafanya kazi inayoonekana na kugusa na kubadilisha au kurahisishia maisha ya watanzania, mfano usogezaji wa huduma za Afya Elimu maji na hata umeme kumempunguzia adha mwananchi wa kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma

pia ukienda katika Elimu unakuta kafanya kazi kubwa ambapo hata mtoto aliyetokea familia maskini anao uhakika wakupata Elimu, maana kwa Sasa jukumu la Ada mpaka kidato Cha sita lipo mikononi mwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani
 
Nani wa kuingia msituni? Aingie apambane na Nani? Wananchi walishawakataa kitambo Sana maana ninyi Ni wababaishaji, ndio maana wananchi wameendelea kuwa na Imani na CCM

Wananchi wana imani na CCM kwa kura za kuletwa kwenye vyumba vya kura na vyombo vya dola? Huo ujinga hata Mugabe, Elbashir, Mubarak nk waliamini wanaoongoza makondoo, siku kilinuka hawakuamini.
 
Kasome utafiti wa Twaweza uone namna watanzania wanavyokubali na kuunga mkono juhudi za mh Rais wetu
 
Kazi za mama zipo wazi na zinaonekana wazi kwa mtu asiyejipa ukipofu, kazi za mama zimegusa maisha ya wengi, Angalia namna suala la mbolea za Ruzuku namna zilivyogusa wakulima secta ambayo imeajiri mamillioni ya watanzania nchini

Angalia Ni kundi gani ambalo ukienda utakuta halijaguswa kiutendaji na mh Rais wetu? Kila sehemu mh Rais wetu kafanya kazi inayoonekana na kugusa na kubadilisha au kurahisishia maisha ya watanzania, mfano usogezaji wa huduma za Afya Elimu maji na hata umeme kumempunguzia adha mwananchi wa kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma

pia ukienda katika Elimu unakuta kafanya kazi kubwa ambapo hata mtoto aliyetokea familia maskini anao uhakika wakupata Elimu, maana kwa Sasa jukumu la Ada mpaka kidato Cha sita lipo mikononi mwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani

Hata kazi za wakoloni zilikuwa zinaonekana wazi na kina Nyerere wakajipa upofu. Huko Afrika kusini kazi za makaburu mpaka leo zinaonekana. Sasa sijui akina Mandela walikuwa wanataka nini wakati maendeleo ya makaburu tunayoana mpaka leo kwa macho.
 
Kwahiyo watanzania wote ni hao wanawake mama lishe na hao bodaboda?!

Ninachoshukuru ni kuwa hizi shida na ugumu wa maisha ni watu wa chini ndio wanaoteseka sababu ya kukosa kwao akili.

Huwezi kuta mtu mwenye akili zake timamu anashiriki upuuzi kama huo. Ni hao bodaboda, mama ntilie, wazee wasio na mbele wala nyuma, na wapuuzi wengine ndio kazi yao kujitokeza kwenye hizo hafla za kipuuzi ili kuambulia 5000 na kofia halafu wanarudi majumbani mwao na kulalamika nyoko nyoko nyoko tozo..... Matako yao.

Endeleeni kusapoti na mtakomeshwa tu maana nyie ndio mnabeba limsalaba la ugumu wa maisha. Matozo, maVAT, madeni na kadhalika nyie ndio mnalipishwa katika vibukubuku mnavyonyang'anywa na mgambo na tra na halimashauri.

Shenzi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno magumu yenye ukweli ndani yake
 
Hata kazi za wakoloni zilikuwa zinaonekana wazi na kina Nyerere wakajipa upofu. Huko Afrika kusini kazi za makaburu mpaka leo zinaonekana. Sasa sijui akina Mandela walikuwa wanataka nini wakati maendeleo ya makaburu tunayoana mpaka leo kwa macho.
Ndio maana tuliwafukuza ili tujiongoze wenyewe na kujichagulia viongozi tinaowataka na kupanga mipango yetu ya maendeleo kwa manufaa yetu wenyewe Kama ilivyo kwa Sasa chini ya CCM na uongozi madhubuti wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani
 
Kwa taarifa yako, wakoloni wangekuwepo hadi leo, maendeleo yangekuwa makubwa kuliko haya ya chama cha washirikina.
 
Nimetembea sehemu nyingi sana Tanzania, kwenye mikusanyiko ya watu wanampongeza Rais Samia kwa kuwa na uongozi thabiti. Mpaka jana, kulikuwa na maonyesha ya biashara ya kina mama wa kila kabila, kila dini na wa kila rangi. Maonyesho hayo yanaoitwa Women Galla.

Wanawake walileta mpaka vyakula wanavyouza mitaani(mama ntilie, huku wanaiwata mama lishe) na bidhaa mbalimbali nk. waliniambia tumefanya biashara tunamshukru Mungu, na tunamshukuru Mh. Rais Samia. Kina mama wajasiriamali waliniambia wapo hapo jana ikiwa ni siku 4 na pia wakamshukuru sana Meya wa mji huo kwa kuandaa tamasha hilo.

Na wakazi wa mji huo pia walifurahi nakusema ni ubinifu haujawahi kutokea, na kuwaletea wasanii wa Mama Kimbo, waliniambia huu ni ubunifu wa hali ya juu hasa kufanyika katikati ya mji. Vijana wengi pia walishukuru kwa kupata kazi ya usalama wa eneo husika, walipata ajira.

Pia vijana wa bodaboda, bajaji, guta ya pikipiki kwa wingi wao walishukuru sana kwa kupata abiria. Wenye maguta walikuwa wakipata bidhaa za wafanyabiashara. Bila kuwasahau wenye biashara ndogo ndogo na wenye michezo ya watoto kama magari ya watoto, mabembea nk. nao walishukuru sana.
Wewe si katibu tawala Lazima umkubali
 
Kwahiyo watanzania wote ni hao wanawake mama lishe na hao bodaboda?!

Ninachoshukuru ni kuwa hizi shida na ugumu wa maisha ni watu wa chini ndio wanaoteseka sababu ya kukosa kwao akili.

Huwezi kuta mtu mwenye akili zake timamu anashiriki upuuzi kama huo. Ni hao bodaboda, mama ntilie, wazee wasio na mbele wala nyuma, na wapuuzi wengine ndio kazi yao kujitokeza kwenye hizo hafla za kipuuzi ili kuambulia 5000 na kofia halafu wanarudi majumbani mwao na kulalamika nyoko nyoko nyoko tozo..... Matako yao.

Endeleeni kusapoti na mtakomeshwa tu maana nyie ndio mnabeba limsalaba la ugumu wa maisha. Matozo, maVAT, madeni na kadhalika nyie ndio mnalipishwa katika vibukubuku mnavyonyang'anywa na mgambo na tra na halimashauri.

Shenzi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii hata wapumbavu wameelewa vzr,ngoja waendelee kushabikia ujinga waone kama watakula matako yao.
 
Wewe Ni mnafiki Sana usiyejitambua,
Ukiwa kwenye ID hii unakuwa mkali sana komredi. Tunajenga nyumba moja tunagombania fito za nini? Tunakubaliana vizuri unakuja huku unanichafua. Ili ionekane we una uchungu sana? Siku ile nlikuwa nakucheck tu unavyojieleza kwa katibu kuwa sisi wengine hatufanyi kazi....
 
Mbona kila siku nakwambia acha unafiki
 
Back
Top Bottom