99.9% ya Wananchi wanamkubali Rais Samia Suluh Hassan

Ukiwa na fikira za kuibiwa,hata uwe tume ni wewe,utataka uwende mahakamani.Odings kaenda mahakamani,kwa kusema kaibiwa kura,nako pia kapigwa chini.

Unadhani ameshindwa kirahisi? Na isitoshe huko mahakamani mambo mengi yamebainika. Hapa kwetu mahakama ni sehemu ya wizi wa kura. Kwa viwango walivyonavyo Wakenya, najuta kuzaliwa kwenye hii nchi ya makondoo.
 
Nimetembea sehemu nyingi sana Tanzania, kwenye mikusanyiko ya watu wanampongeza Rais Samia kwa kuwa na uongozi thabiti. Mpaka jana, kulikuwa na maonyesha ya biashara ya kina mama wa kila kabila, kila dini na wa kila rangi. Maonyesho hayo yanaoitwa Women Galla.

Wanawake walileta mpaka vyakula wanavyouza mitaani(mama ntilie, huku wanaiwata mama lishe) na bidhaa mbalimbali nk. waliniambia tumefanya biashara tunamshukru Mungu, na tunamshukuru Mh. Rais Samia. Kina mama wajasiriamali waliniambia wapo hapo jana ikiwa ni siku 4 na pia wakamshukuru sana Meya wa mji huo kwa kuandaa tamasha hilo.

Na wakazi wa mji huo pia walifurahi nakusema ni ubinifu haujawahi kutokea, na kuwaletea wasanii wa Mama Kimbo, waliniambia huu ni ubunifu wa hali ya juu hasa kufanyika katikati ya mji. Vijana wengi pia walishukuru kwa kupata kazi ya usalama wa eneo husika, walipata ajira.

Pia vijana wa bodaboda, bajaji, guta ya pikipiki kwa wingi wao walishukuru sana kwa kupata abiria. Wenye maguta walikuwa wakipata bidhaa za wafanyabiashara. Bila kuwasahau wenye biashara ndogo ndogo na wenye michezo ya watoto kama magari ya watoto, mabembea nk. nao walishukuru sana.
Wanamkubali kwa lipi? Labda familia yako na yake yeye pekee kule alikotokea
 
Kipande kidoogo tu cha tanzania (Zanzibar) ndo kimewakilisha dude kuuubwa la Tanzania na kuja na 99.9%. Nimeamini ni kwa nini siku hizi unafunua matako ili kuitafuta chupi.
 
Nimetembea sehemu nyingi sana Tanzania, kwenye mikusanyiko ya watu wanampongeza Rais Samia kwa kuwa na uongozi thabiti. Mpaka jana, kulikuwa na maonyesha ya biashara ya kina mama wa kila kabila, kila dini na wa kila rangi. Maonyesho hayo yanaoitwa Women Galla.

Wanawake walileta mpaka vyakula wanavyouza mitaani(mama ntilie, huku wanaiwata mama lishe) na bidhaa mbalimbali nk. waliniambia tumefanya biashara tunamshukru Mungu, na tunamshukuru Mh. Rais Samia. Kina mama wajasiriamali waliniambia wapo hapo jana ikiwa ni siku 4 na pia wakamshukuru sana Meya wa mji huo kwa kuandaa tamasha hilo.

Na wakazi wa mji huo pia walifurahi nakusema ni ubinifu haujawahi kutokea, na kuwaletea wasanii wa Mama Kimbo, waliniambia huu ni ubunifu wa hali ya juu hasa kufanyika katikati ya mji. Vijana wengi pia walishukuru kwa kupata kazi ya usalama wa eneo husika, walipata ajira.

Pia vijana wa bodaboda, bajaji, guta ya pikipiki kwa wingi wao walishukuru sana kwa kupata abiria. Wenye maguta walikuwa wakipata bidhaa za wafanyabiashara. Bila kuwasahau wenye biashara ndogo ndogo na wenye michezo ya watoto kama magari ya watoto, mabembea nk. nao walishukuru sana.
Hasa Vijijini na wale ambao walikuwa jobless bila kusahau wafanyabiashara..

Ila hiyo asilimia ni uongo mkuu.
 
Uzi una page sita ila comments ni za id hazizidi 3.
 
Hakuna hata mtu ana muda na hicho chama kichovu, na huo utapeli wa sera sijui nini. Viongozi nchi hii wanachaguliwa kwa haiba na sio hizo hadithi za sera. Ingekuwa mshindi anapatikana kwa sera nchi hii, leo hii tungekuwa na tume huru ya uchaguzi. Kenya, Zambia nk viongozi ndio wanachaguliwa kwa sera. Ila kwa kuwa we ni Mzee huwezi kuelewa hili
Basi weka hao viongozi wako wa haiba wasio na Sera Wala ajenda waje washindane na viongozi wachapa kazi toka chama kubwa CCM
 
CCM ilishachoka kushindana ndio maana inategemea vyombo vya dola. Labda wapinzani waingie msituni kupambana na vyombo vya dola tu, lakini CCM ya kushindana nayo ilishatoweka muda mrefu.
 
Nimetembea sehemu nyingi sana Tanzania, kwenye mikusanyiko ya watu wanampongeza Rais Samia kwa kuwa na uongozi thabiti. Mpaka jana, kulikuwa na maonyesha ya biashara ya kina mama wa kila kabila, kila dini na wa kila rangi. Maonyesho hayo yanaoitwa Women Galla.

Wanawake walileta mpaka vyakula wanavyouza mitaani(mama ntilie, huku wanaiwata mama lishe) na bidhaa mbalimbali nk. waliniambia tumefanya biashara tunamshukru Mungu, na tunamshukuru Mh. Rais Samia. Kina mama wajasiriamali waliniambia wapo hapo jana ikiwa ni siku 4 na pia wakamshukuru sana Meya wa mji huo kwa kuandaa tamasha hilo.

Na wakazi wa mji huo pia walifurahi nakusema ni ubinifu haujawahi kutokea, na kuwaletea wasanii wa Mama Kimbo, waliniambia huu ni ubunifu wa hali ya juu hasa kufanyika katikati ya mji. Vijana wengi pia walishukuru kwa kupata kazi ya usalama wa eneo husika, walipata ajira.

Pia vijana wa bodaboda, bajaji, guta ya pikipiki kwa wingi wao walishukuru sana kwa kupata abiria. Wenye maguta walikuwa wakipata bidhaa za wafanyabiashara. Bila kuwasahau wenye biashara ndogo ndogo na wenye michezo ya watoto kama magari ya watoto, mabembea nk. nao walishukuru sana.
Na Kodi zote na tozo zote Bado wanamkubali?sasa kama anakubalika kwanini hataki watu wampige na vyuma kwenye mikutano ya hadhara?makamu wake na uvccm wao kila siku kiguuu na njia kufsnya kampeni,,upinzani wakitia mguu kitaa,pingu!!
Huyu mama hajui kitu,Hana plan,kila analofsnya anapangiwa na wazee wa mtandao,huyu alistahili awe mkuu wa wilaya,Hana mental capacity ya kuwa Raisi wa nchi,hawezi kujenga hoja,anategemea nguvu za Dora kutawala na kufanya anayotaka,Hana ushawishi kabisa,
Raisi wa nchi anaenda kuzindua kituo Cha polisi kidogo Cha kata!!DC yupo,RC yupo,Waziri yupo,PM yupo,VP yupo????!!aibu tupu
 
MaCHADEMA utayaona tu yanakuja kuhara humu. Ukweli ndio huo Samia kipenzi cha watanzania wote. Isipokua machadema 2000 wa SUPACE.
 
Nimetembea sehemu nyingi sana Tanzania, kwenye mikusanyiko ya watu wanampongeza Rais Samia kwa kuwa na uongozi thabiti. Mpaka jana, kulikuwa na maonyesha ya biashara ya kina mama wa kila kabila, kila dini na wa kila rangi. Maonyesho hayo yanaoitwa Women Galla.

Wanawake walileta mpaka vyakula wanavyouza mitaani(mama ntilie, huku wanaiwata mama lishe) na bidhaa mbalimbali nk. waliniambia tumefanya biashara tunamshukru Mungu, na tunamshukuru Mh. Rais Samia. Kina mama wajasiriamali waliniambia wapo hapo jana ikiwa ni siku 4 na pia wakamshukuru sana Meya wa mji huo kwa kuandaa tamasha hilo.

Na wakazi wa mji huo pia walifurahi nakusema ni ubinifu haujawahi kutokea, na kuwaletea wasanii wa Mama Kimbo, waliniambia huu ni ubunifu wa hali ya juu hasa kufanyika katikati ya mji. Vijana wengi pia walishukuru kwa kupata kazi ya usalama wa eneo husika, walipata ajira.

Pia vijana wa bodaboda, bajaji, guta ya pikipiki kwa wingi wao walishukuru sana kwa kupata abiria. Wenye maguta walikuwa wakipata bidhaa za wafanyabiashara. Bila kuwasahau wenye biashara ndogo ndogo na wenye michezo ya watoto kama magari ya watoto, mabembea nk. nao walishukuru sana.

Nadhani wakati mwingine tunamshangaza sana Mungu. Pale anaposhindwa kuona tofauti ya wenye mental health issues na wale wasiokuwa na mental health issues, Mungu lazima ashangae. Labda ndiyo maana baadhi ya wagonjwa wa akili hawaponi. Mungu anajua hata wakipona hakutakuwa na tofauti yoyote, kwasababu wagonjwa na wazima hawana tofauti.
 
CCM ilishachoka kushindana ndio maana inategemea vyombo vya dola. Labda wapinzani waingie msituni kupambana na vyombo vya dola tu, lakini CCM ya kushindana nayo ilishatoweka muda mrefu.
Nani wa kuingia msituni? Aingie apambane na Nani? Wananchi walishawakataa kitambo Sana maana ninyi Ni wababaishaji, ndio maana wananchi wameendelea kuwa na Imani na CCM
 
Back
Top Bottom