99.9% ya Wananchi wanamkubali Rais Samia Suluh Hassan

Nimetembea sehemu nyingi sana Tanzania, kwenye mikusanyiko ya watu wanampongeza Rais Samia kwa kuwa na uongozi thabiti. Mpaka jana, kulikuwa na maonyesha ya biashara ya kina mama wa kila kabila, kila dini na wa kila rangi. Maonyesho hayo yanaoitwa Women Galla.

Wanawake walileta mpaka vyakula wanavyouza mitaani(mama ntilie, huku wanaiwata mama lishe) na bidhaa mbalimbali nk. waliniambia tumefanya biashara tunamshukru Mungu, na tunamshukuru Mh. Rais Samia. Kina mama wajasiriamali waliniambia wapo hapo jana ikiwa ni siku 4 na pia wakamshukuru sana Meya wa mji huo kwa kuandaa tamasha hilo.

Na wakazi wa mji huo pia walifurahi nakusema ni ubinifu haujawahi kutokea, na kuwaletea wasanii wa Mama Kimbo, waliniambia huu ni ubunifu wa hali ya juu hasa kufanyika katikati ya mji. Vijana wengi pia walishukuru kwa kupata kazi ya usalama wa eneo husika, walipata ajira.

Pia vijana wa bodaboda, bajaji, guta ya pikipiki kwa wingi wao walishukuru sana kwa kupata abiria. Wenye maguta walikuwa wakipata bidhaa za wafanyabiashara. Bila kuwasahau wenye biashara ndogo ndogo na wenye michezo ya watoto kama magari ya watoto, mabembea nk. nao walishukuru sana.
Idadi ya Wajinga inaongezeka kwa Asilimia 99.9%
 
Ngoja waje chawa wengine, lucas, the sunk njooni muandike essay hapa uwanja ni wenu
Mama Hana mpinzani anayeweza ingia Naye uwanjani, mama Ni habari nyingine, kila Eneo utakalogusa utakuta mama kaweka baraka zake, Ni kazi juu ya kazi, Ni mwendo wa kutimiza ahadi, Ni mwendo wa kuwatumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka na wenye kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
 
Nimekwambia acha matusi, Mimi siwezi kukutukana maana ninamheshimu kila mtu bila kujari tunatofautiana kwa kiasi kipi, tunaweza tukatofautiana na bado tukaheshimiana tu bila shida yoyote Ile,

mh Rais wetu anaendelea kututoa kimasomaso watanzania, Nchi kwa Sasa ipo mikononi mwetu watanzania ndio maana unaona watanzania tukishirikishwa katika ujenzi wa Taifa letu pendwa,

Maendeleo tunayaona na kazi ya mh Rais wetu inaonekana na kugusa maisha ya watanzania
 
Nimetembea sehemu nyingi sana Tanzania, kwenye mikusanyiko ya watu wanampongeza Rais Samia kwa kuwa na uongozi thabiti. Mpaka jana, kulikuwa na maonyesha ya biashara ya kina mama wa kila kabila, kila dini na wa kila rangi. Maonyesho hayo yanaoitwa Women Galla.

Wanawake walileta mpaka vyakula wanavyouza mitaani(mama ntilie, huku wanaiwata mama lishe) na bidhaa mbalimbali nk. waliniambia tumefanya biashara tunamshukru Mungu, na tunamshukuru Mh. Rais Samia. Kina mama wajasiriamali waliniambia wapo hapo jana ikiwa ni siku 4 na pia wakamshukuru sana Meya wa mji huo kwa kuandaa tamasha hilo.

Na wakazi wa mji huo pia walifurahi nakusema ni ubinifu haujawahi kutokea, na kuwaletea wasanii wa Mama Kimbo, waliniambia huu ni ubunifu wa hali ya juu hasa kufanyika katikati ya mji. Vijana wengi pia walishukuru kwa kupata kazi ya usalama wa eneo husika, walipata ajira.

Pia vijana wa bodaboda, bajaji, guta ya pikipiki kwa wingi wao walishukuru sana kwa kupata abiria. Wenye maguta walikuwa wakipata bidhaa za wafanyabiashara. Bila kuwasahau wenye biashara ndogo ndogo na wenye michezo ya watoto kama magari ya watoto, mabembea nk. nao walishukuru sana.
Weka na nanba ya Simu please.
 
Lucas mwashambwa nakubaliana na wewe kabisa....tena kwa sasa ni asilimia 100. Hakuna anayepinga. Halafu pia usisahau kuweka na zile data tulikubaliana kuzisambaza. Safi sana... Tuwazime hawa wapinzani....
 
Data nyingi Sana zilitolewa na serikali yetu pendwa majuzi tu hapo, Hivyo zipo tu Ni suala la mtu kujionea ukweli huo Kama vile ujenzi wa vituo vya Afya 234 kutokana na tozo zetu watanzania, mama yupo kazini na ametufikia na kuwafikia watanzania, kazi iendelee
 
Rais Samia Suluhu ni kiongozi wa ndito zetu watanzania tunamkubali sana hakuna mfano katufanyia ,engi sana ndani ya mwaka mmoja
 
Zile tulizopewa juzi juzi hapa Lumumba umezisahau? Na IDs sasa uwe unachagua moja....maana unatumia zote kiasi sometimes tutaonekana tunachanganya Kikwajuni One .mi huwa nashauri unaamua week hii unatumia Id hii nyingine id nyingine.
 
Hiyo ipo wazi machoni na akilini mwa mamilioni ya watanzania ambao wameonyesha upendo wa kipekeee kwa mh Rais wetu kwa namna wanavyomkubali, hata Mimi huku niliko kiukweli mh Rais wetu anakubalika sijapata kuona,

watu wanaimani kubwa Sana na mh Rais wetu, watu wanasema wanahitaji mh Rais aendelee kutuongoza Kama Rais kutokana na namna alivyo gusa maisha yao.

Kama kwetu wakulima ndio hutwambii kitu juu ya mh Rais wetu kwa namna alivyogusa na kukonga nyoyo zetu baada ya kutoa Ruzuku katika mbolea na kupelekea kushuka kwa Bei ambayo Ni tofauti na msimu uliopita
Kwa maendeleo aliyoyafanya mama 2025 hana mpinzani
 
Mama Hana mpinzani anayeweza ingia Naye uwanjani, mama Ni habari nyingine, kila Eneo utakalogusa utakuta mama kaweka baraka zake, Ni kazi juu ya kazi, Ni mwendo wa kutimiza ahadi, Ni mwendo wa kuwatumikia watanzania kwa utumishi ulio tukuka na wenye kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
mama hana mpinzani aisee umenena vyema watanzania wa hali ya chini ametusaidia sana hasa katiika sekta muhimu ya afya elimu maji mama anaupiga mwingi
 
Kwa maendeleo aliyoyafanya mama 2025 hana mpinzani
Hana mpinzani kabisaa, yoyote atakaye jitokeza kushindana Naye hakika atavuna aibu ya karne, maana kwa Sasa mh Rais wetu mpendwa anakubalika na kuungwa mkono na watanzania kila Kona itakayopita kutokana na utendaji kazi wake uliogusa maisha ya watanzania
 
mama hana mpinzani aisee umenena vyema watanzania wa hali ya chini ametusaidia sana hasa katiika sekta muhimu ya afya elimu maji mama anaupiga mwingi
Hapo bado hujaongelea kilimo ambako huko ndiko hutwambii kitu sisi wakulima ambao kwetu kilimo ndio pumzi yetu, mh Rais wetu ametoa billioni Mia moja hamsini Kama Ruzuku na kupelekea kushuka kwa mbolea na kwa Sasa mbolea inapatikana kwa elfu sabini wakati awali ilikuwa inauzwa kwa shilingi laki moja na 40
 
Hana mpinzani kabisaa, yoyote atakaye jitokeza kushindana Naye hakika atavuna aibu ya karne, maana kwa Sasa mh Rais wetu mpendwa anakubalika na kuungwa mkono na watanzania kila Kona itakayopita kutokana na utendaji kazi wake uliogusa maisha ya watanzania
Kweli kabisa ndani ya siku 535 amefanya mambo makubwa miradi mingi imekamilika kwa wakati ametoa ajira yingi na kwa ambao hwajapata ajira wanawezeshwa waweze kujiajiri kweli Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi sana
 
Hapo bado hujaongelea kilimo ambako huko ndiko hutwambii kitu sisi wakulima ambao kwetu kilimo ndio pumzi yetu, mh Rais wetu ametoa billioni Mia moja hamsini Kama Ruzuku na kupelekea kushuka kwa mbolea na kwa Sasa mbolea inapatikana kwa elfu sabini wakati awali ilikuwa inauzwa kwa shilingi laki moja na 40
Kati ya vitu vikubwa mama amefanya hii ni kubwa kuliko kupunguza gharama za kilimo na kurahisisha masoko ya mazao saizi mkulima ukivuna hauwazi utauza wapi masoko yameandaliwa na unauza kwa bei nzuri sio ya hasara kama zamani hakuna tena kuuziwa na madalali watanzania tutake nini tena
 
Zamani nilijua mtu akiongea uongo mkubwa basi kaupewa na shetani skiz nmejua kunawatu waongo kumliko...yaani hadi shetani babu wa uongo anashtuka
 
Nimetembea sehemu nyingi sana Tanzania, kwenye mikusanyiko ya watu wanampongeza Rais Samia kwa kuwa na uongozi thabiti. Mpaka jana, kulikuwa na maonyesha ya biashara ya kina mama wa kila kabila, kila dini na wa kila rangi. Maonyesho hayo yanaoitwa Women Galla.

Wanawake walileta mpaka vyakula wanavyouza mitaani(mama ntilie, huku wanaiwata mama lishe) na bidhaa mbalimbali nk. waliniambia tumefanya biashara tunamshukru Mungu, na tunamshukuru Mh. Rais Samia. Kina mama wajasiriamali waliniambia wapo hapo jana ikiwa ni siku 4 na pia wakamshukuru sana Meya wa mji huo kwa kuandaa tamasha hilo.

Na wakazi wa mji huo pia walifurahi nakusema ni ubinifu haujawahi kutokea, na kuwaletea wasanii wa Mama Kimbo, waliniambia huu ni ubunifu wa hali ya juu hasa kufanyika katikati ya mji. Vijana wengi pia walishukuru kwa kupata kazi ya usalama wa eneo husika, walipata ajira.

Pia vijana wa bodaboda, bajaji, guta ya pikipiki kwa wingi wao walishukuru sana kwa kupata abiria. Wenye maguta walikuwa wakipata bidhaa za wafanyabiashara. Bila kuwasahau wenye biashara ndogo ndogo na wenye michezo ya watoto kama magari ya watoto, mabembea nk. nao walishukuru sana.
Mnatumia nguvu kubwa sana. Lakini ukweli utabaki pale pale.
 
Hiyo ipo wazi machoni na akilini mwa mamilioni ya watanzania ambao wameonyesha upendo wa kipekeee kwa mh Rais wetu kwa namna wanavyomkubali, hata Mimi huku niliko kiukweli mh Rais wetu anakubalika sijapata kuona,

watu wanaimani kubwa Sana na mh Rais wetu, watu wanasema wanahitaji mh Rais aendelee kutuongoza Kama Rais kutokana na namna alivyo gusa maisha yao.

Kama kwetu wakulima ndio hutwambii kitu juu ya mh Rais wetu kwa namna alivyogusa na kukonga nyoyo zetu baada ya kutoa Ruzuku katika mbolea na kupelekea kushuka kwa Bei ambayo Ni tofauti na msimu uliopita
Kizuri chajiuza! Kibaya chajitembeza. Tafakari, chukua hatua.
 
Back
Top Bottom