Hukuona alipofanya ziara mikoa ya nyanda za juu kusini namna alivyopokelewa na mafuriko ya wananchi kila alipifika na kusimamaAfanye ziara tuone nyomi Ili tuthibitishe
Mama ndio tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo, mama ametoa nuru katika mioyo ya watanzania, kwa Sasa mama Hana mpinzani anayeweza kushindana Naye popote paleMsijali wakuu,
Huyu jamaa kaandika kinyume chake ili asiwaudhi machawa wa mama kina the sank the falacy
Acha kabisa kumfananisha Yesu na huu ujinga wako.Maneno haya ,ndio wakamuandama,mkombozi wetu,wakamsulubu, Na kumuua,kweli,aliye mwema,hathaminiwi kwao.
Asante allypipi kwa kutuwekea Zaburi hii nilikua sijaisoma mdaZaburi 12:1-5
[1]BWANA, uokoe, maana mcha Mungu amekoma,
Maana waaminifu wametoweka katika wanadamu.
[2]Husemezana yasiyofaa kila mtu na mwenziwe,
Wenye midomo ya kujipendekeza;
Husemezana kwa mioyo ya unafiki;
[3]BWANA ataikata midomo yote ya kujipendekeza,
Nao ulimi unenao maneno ya kiburi;
[4]Waliosema, Kwa ndimi zetu tutashinda;
Midomo yetu ni yetu wenyewe,
Ni nani aliye bwana juu yetu?
[5]Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge,
Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji,
Sasa nitasimama, asema BWANA,
Nitamweka salama yeye wanayemfyonya
Tanzania tuna tatizo kubwa nyinyi wanawake wengi mnatumia za chini kupata nyadhifa chamani na serikalini na vyuoni kisha mnakuja kutu vulugia nchiTumia akili na fikri kabla hujaandika kitu hapa jukwaani
Huna hoja.Mara nyingine minyoo husababisha makalio kuwasha washa [emoji23][emoji23][emoji23] hebu jitahidi upate japo ALBENDAZOLE asubuhi sana kabla jogoo hajawika
Huo ndio ukweli,kila mwananchi,anamuunga mkono,Rais wetu.Hiyo ipo wazi machoni na akilini mwa mamilioni ya watanzania ambao wameonyesha upendo wa kipekeee kwa mh Rais wetu kwa namna wanavyomkubali, hata Mimi huku niliko kiukweli mh Rais wetu anakubalika sijapata kuona,
watu wanaimani kubwa Sana na mh Rais wetu, watu wanasema wanahitaji mh Rais aendelee kutuongoza Kama Rais kutokana na namna alivyo gusa maisha yao.
Kama kwetu wakulima ndio hutwambii kitu juu ya mh Rais wetu kwa namna alivyogusa na kukonga nyoyo zetu baada ya kutoa Ruzuku katika mbolea na kupelekea kushuka kwa Bei ambayo Ni tofauti na msimu uliopita
Hio ndio ukweli.Mama ndio habari ya mjini kwa sasa
Tumeona wenye macho,wananchi wanavyomkubali Rais wetu.Hukuona alipofanya ziara mikoa ya nyanda za juu kusini namna alivyopokelewa na mafuriko ya wananchi kila alipifika na kusimama
Huwezi kuwa na akili kama hujaiona hoja katika hiloHuna hoja.
Punguza kuota mchanaNimetembea sehemu nyingi sana Tanzania, kwenye mikusanyiko ya watu wanampongeza Rais Samia kwa kuwa na uongozi thabiti. Mpaka jana, kulikuwa na maonyesha ya biashara ya kina mama wa kila kabila, kila dini na wa kila rangi. Maonyesho hayo yanaoitwa Women Galla.
Wanawake walileta mpaka vyakula wanavyouza mitaani(mama ntilie, huku wanaiwata mama lishe) na bidhaa mbalimbali nk. waliniambia tumefanya biashara tunamshukru Mungu, na tunamshukuru Mh. Rais Samia. Kina mama wajasiriamali waliniambia wapo hapo jana ikiwa ni siku 4 na pia wakamshukuru sana Meya wa mji huo kwa kuandaa tamasha hilo.
Na wakazi wa mji huo pia walifurahi nakusema ni ubinifu haujawahi kutokea, na kuwaletea wasanii wa Mama Kimbo, waliniambia huu ni ubunifu wa hali ya juu hasa kufanyika katikati ya mji. Vijana wengi pia walishukuru kwa kupata kazi ya usalama wa eneo husika, walipata ajira.
Pia vijana wa bodaboda, bajaji, guta ya pikipiki kwa wingi wao walishukuru sana kwa kupata abiria. Wenye maguta walikuwa wakipata bidhaa za wafanyabiashara. Bila kuwasahau wenye biashara ndogo ndogo na wenye michezo ya watoto kama magari ya watoto, mabembea nk. nao walishukuru sana.