666-nyayo za kuzimü

666-nyayo za kuzimü

MziziMkavu like yangu kwa leo :A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
Last edited by a moderator:
Tehe tehe...mwenyew katutelekeza apa na hatuonan....sembuse aje kabsa!!...u ngeisoma no!
acha tu! Imekuwa kama hivi...tumepanda juu ya mti akatuambia ruken mtaangukia kny godoro,si tukajiachia tukaruka halafu yeye akaondoa godoro, MziziMkavu twajua una majukumu mengi lakini please dont leave us alone,666 wanakuja hao,au ndo wameanza na ww??
 
Last edited by a moderator:
acha tu! Imekuwa kama hivi...tumepanda juu ya mti akatuambia ruken mtaangukia kny godoro,si tukajiachia tukaruka halafu yeye akaondoa godoro, MziziMkavu twajua una majukumu mengi lakini please dont leave us alone,666 wanakuja hao,au ndo wameanza na ww??

Hahaha...umenfraishaa...et kaenda na jesh 666..hahaha
 
Last edited by a moderator:
Kwa hyo hii,ilikuwa marketng stratgy yco naona umefanikisha weka wazi bei basi hapa maji 2lixha yavulia nguo lazima 2yaoge
 
Nani kawaambia MziziMkavu anauza vitabu? Tutambue kuwa hata Mzizi ana majukumu tofauti na kuturushia hii kitu, nashauri tuwe na subra.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hongera sana Mzizi mkuu hadithi tamu na yatisha vile vile. Hii sehemu ya 40 imenikumbusha nilipolazwa hospitali moja hapa jijini,usiku sikulala kabisa kabisa.Hospitali zetu zina maroho ya ajabu sana.
 
Mmmh.... inatishaaaaaa!!!! kumbe ndivyo wafanyavyo mahospitalini eeh... Eeeeh Mungu pishia mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom